Kitendo cha watu kulia harusini, tatizo ni nini?

Kitendo cha watu kulia harusini, tatizo ni nini?

Mda mwingine nikiwaza ishu ya ndoa najishisi kama mfugo tu hapa nyumbani!!! Wamejitolea tu kunilea, akija kijana fulani hapo ananichukua kuanzia mwili mpaka jina!!! Daah!!! Wanawake tuna shida, yaani unaanza maisha upya na familia nyingine...
Muda ukifika utakubaliana na kila hali mama, hakuna jinsi sie ni kama mfugo unabadirishiwa mfugaji tu toka baba Mzazi hadi baba mlezi ambae ni mumeo
 
Mda mwingine nikiwaza ishu ya ndoa najishisi kama mfugo tu hapa nyumbani!!! Wamejitolea tu kunilea, akija kijana fulani hapo ananichukua kuanzia mwili mpaka jina!!! Daah!!! Wanawake tuna shida, yaani unaanza maisha upya na familia nyingine...
Sio mwili tu roho
 
Mda mwingine nikiwaza ishu ya ndoa najishisi kama mfugo tu hapa nyumbani!!! Wamejitolea tu kunilea, akija kijana fulani o ananichukua kuanzia mwili mpaka jina!!! Daah!!! Wanawake tuna shida, yaani unaanza maisha upya na familia nyingine...
Usijali bhana. Kuna wanaume wasiochukua majina. Your name will remain as it is. Kumbuka siyo kwamba amekuchukua mazima, hata yeye ana kwao. Mmechukuana... Usijali mpendwa.
 
Mm nawaza siku ya ndoo nitaliaje japo mwanaume!!!!!!!!!
Kitakachokuliza ni Mawazo juu ya majukumu mapya na kufikiri namna utakavyoweza kumtunza mke kama baba yako alivyomtunza mama yako
 
Kuanza kumpenda mwanamke mwingine badala ya mama yangu loo!
 
Usijali bhana. Kuna wanaume wasiochukua majina. Your name will remain as it is. Kumbuka siyo kwamba amekuchukua mazima, hata yeye ana kwao. Mmechukuana... Usijali mpendwa.
Mmh! Kanichukua bwana!!! Mi si ndo natolewa mahari!
 
Kitakachokuliza ni Mawazo juu ya majukumu mapya na kufikiri namna utakavyoweza kumtunza mke kama baba yako alivyomtunza mama yako
Ila kudaiwa mahaba kila siku Nayo kazi kweli,wakati nimejizoelea kwa mwez Mara 1
 
Mahari haithaminishi kuwa umechukuliwa. Ni tamaduni tu iliyozoeleka baina ya Jamii zetu za Kiafrika. Hujachukuliwa, mimi sitakuchukua.... Tutachukuana... [Emoji23]
 
Kuna mengi huwepo;
- Pengine haamini kuwa amemchukua kweli kutokana na wingi wa wadowezi (Male)
- Pengine hajawahi kuupata mgegedo (Virgin)
- Pengine amemuona yule aliyevunja naye jungu jana (female) anaona yaani ndo baasi uhuru kwisha??
- Pengine anayakumbuka alofundwa jana kuhusu aendako.
Kwetu kuna mithali isemayo "Mshigeni atonge, erevona vuathi va ithanga." Ni Kikikuyuuu cha kwetu. Mwombeni mshan jr awatafsirie.
 
Mm nawaza siku ya ndoo nitaliaje japo mwanaume!!!!!!!!!
Tehteh
Kwanini jamani??
Shida itakua nini??

Pole sana kama nakuona unalia vile
images(14).jpeg
 
Back
Top Bottom