Kitendo cha watu kulia harusini, tatizo ni nini?

Kitendo cha watu kulia harusini, tatizo ni nini?

mahondaw its time to sleep now... Go to bed...


Nipo shift ya usiku buana

Nikalale Nile nini??
Si kwa Usawa huu kuchezea kibarua!
Nishapiga vitendea kazi vyangu hapa
Bongesa la mkoti kofia na rungu pembeni
 
Nipo shift ya usiku buana

Nikalale Nile nini??!
Si kwa Usawa huu kuchezea kibarua !!
[emoji12] Nitakutafutia kazi ya mchana.. Unaingia asubuhi mwisho saa kumi... Kazi za usiku hazikufai binti kama wewe...
 
Nipo shift ya usiku buana

Nikalale Nile nini??
Si kwa Usawa huu kuchezea kibarua!
Nishapiga vitendea kazi vyangu hapa
Bongesa la mkoti kofia na rungu pembeni
Hahaha... You are you watching or hunting??
 
Nipo shift ya usiku buana

Nikalale Nile nini??
Si kwa Usawa huu kuchezea kibarua!
Nishapiga vitendea kazi vyangu hapa
Bongesa la mkoti kofia na rungu pembeni
Mambo ya chuga nini?
Chuga pa ukweli sana..
But mahondaw unachelewaga kulala kumbe upo kwenyw mishe.
Good luck
 
Kwa sababu ya kuwaacha wazazi na ndugu ambao unakuwa umeishi nao tangu kuzaliwa na unawapenda sana.
Kuolewa/ kumuoa umpendaye kwa dhati
Kufurahia kutimiza malengo yako/yenu mliyokuwa mmewekeana wakati wa uchumba n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maumivu yoyote yaliyozidi huwezi kumaliza au kuyapunguza kwa kucheka bali ni kwa kupiga kelele hasaa kulia.
Furaha au raha yoyote iliyozidi huwezi kuimaliza kwa kucheka katu ikaisha bali ni kwa kulia.
Kitu kikizidi ni hatari kisaikolojia maana akijizuia kulia aweza kujisababishia matatizo kiafya.
Unapozidiwa na raha solution ni kulia. Unapolia unaijenga afya yako.
Hata wanawake wachache wanaolia wawapo na wapenzi wao ktk mahaba afya na ngozi zao ni saafi mno ukilinganisha na wale ambao hawalii.
Unapolia ni tiba.
Mfano halisi mh.J.K retired president alilia yeye na mkewe mara tu baada ya kutangazwa kuwa rais wa nchi hii. Ukiwatazama utagundua kuwa wana afya nzuri ni kwa kuwa kiwango chao cha kutoa machozi kipo juu.
Ukiawatazama watu wasio na huruma makatili hata sura zao hazina mngao hata wapakae mafuta gani. Siku zote wanawake warembo wana huruma sana na uchungu ingawaje mengine ni kinyume chake (hapa siongelei urembo wa kununua).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku nayo nitakayo muoa mwanamke wangu nahisi atalia kwa furaha..maana ana machozi ya karibu sana
 
Unashangaa nini?
Usikate hao madem watatu hapo chini washapigwa nao na mshkaji. Au yule jamaa juu yao ashakamata mashine ya moto ya bestgirl kitambo na walikua anapasha kiporo sasa imeisha.
Usiombe tuulize tuliowahi kuoa
 
Back
Top Bottom