Kitendo cha Wabunge Kuzomea sio Ishara njema

Kwi kwi kwi lol! Eti Serikali inafanya mambo kwa surprise. Serikali mzigo iliyoshindwa kuongoza nchi sasa wamebaki kusema uongo wa mchana kweupe. Mfano, "Hakuna ukosefu wa madawa katika mahospitali nchini" Ummy Mwalimu. Serikali ya wasema uongo.

Leo wakati Mama Jenista Mhagama (Sijui hata Wizara yake) akijibu hoja za Mheshimiwa Mbowe kwa mbwembwe alijikuta akizomewa na Wabunge wote hasa wa CCM baada ya kusema Serikali inafanya mambo kwa "surprise" kama surprise ya kuwasomesha bure watoto wote hadi kidato cha NNE!!

Kwangu Mimi hii sio ishara njema kwa wana CCM, tulizoea kuwaona wakiwa pamoja hata kwenye mambo ya "vichekesho" lakini Leo hii eti wanamzomea Mama Jenista.

Hii sio kawaida something is wrong somewhere, huenda ushauri wa Mheshimiwa Lema wa Jana umeanza kuwaingia. All the best!!
 
Heeeheeee..... supriiiiiiiiiise Baby [emoji131]
What a shame [emoji51]
 
Leo wakati Mama Jenista Mhagama (Sijui hata Wizara yake) akijibu hoja za Mheshimiwa Mbowe kwa mbwembwe alijikuta akizomewa na Wabunge wote hasa wa CCM baada ya kusema Serikali inafanya mambo kwa "surprise" kama surprise ya kuwasomesha bure watoto wote hadi kidato cha NNE!!

Kwangu Mimi hii sio ishara njema kwa wana CCM, tulizoea kuwaona wakiwa pamoja hata kwenye mambo ya "vichekesho" lakini Leo hii eti wanamzomea Mama Jenista.

Hii sio kawaida something is wrong somewhere, huenda ushauri wa Mheshimiwa Lema wa Jana umeanza kuwaingia. All the best!!
Tatizo kubwa pia ni ubora wa waziri mwenyewe. Kweli unaweza ukamshangilia mtu kama huyu. It's time to have thinking operators
 
Don't be dramatic my friend. Kitu cha ovyo ni cha ovyo tu...

Do you even know where the term "Distracted" in my post? Call it whatever, I have told you I wrote such a post to the right person who understands our language, your failure to grasp the contents is not my fault. I think I was very clear, kinaweza kuwa cha hovyo kwako and I am Ok with that, simply because you are not Copenhagen DN

I think you should focus kwenye vitu vyako ambavyo sio vya hovyo...am so shocked why are you spending so much energy kwenye kitu cha hovyo? In fact, you should learn to understand why I quoted a certain post.
 
Hao waliozomoea nahisi ni sehemu ya yule aliekutwa na binduki 10 na anashukiwa kuhusika na ujangili. Sasa Magu kakaba kila kona inabidi tu wamtoe kwenye reli kwa mazomeo.
 
Do you even know where the term "Distracted" in my post? Call it whatever, I have told you I wrote such a post to the right person who understands our language, your failure to grasp the contents is not my fault. I think I was very clear, kinaweza kuwa cha hovyo kwako and I am Ok with that, simply because you are not Copenhagen DN

I think you should focus kwenye vitu vyako ambavyo sio vya hovyo...am so shocked why are you spending so much energy kwenye kitu cha hovyo? In fact, you should learn to understand why I quoted a certain post.
umerydia kwenye avatar yako ya zaman tuliyoizoea
 
Kwema mkuu?
Eagle anahusika sana kwenye Avatar, nilienda kumpiga sop sop mwewe amerudi anag'aa.
Jamaa alitaka kuni distract from our important job ya box...
Piga kazi kaka.
 
Nilishikwa na bumbuwazi niliposikia hii kauli!! Wengi wa viongozi wa CCM hawajitambui na hawajui nini cha kufanya!!

Kwa mtu anaejielewa huwezi sema unafanya vitu kwa surprise!! Hii serikali inaishi kwa matukio sioni dira yoyote!!

Anaposema sapraiz anamaanisha matukio,sasa mmeona vijana wa chuo wamepigwa sapraiz
 
Kuwepo Kwa Edward Lowassa na Fredrick Sumaye bungeni hiyo ni dalili tosha mambo yanaanza kuwa mabaya kwa CCM, Mwenyekiti achukue na akubali ushauri wa hawa wabunge wa CCM otherwise chama kinaweza kumeguka na kufia mikononi mwake.
 
Back
Top Bottom