Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,385
- 100,492
- Thread starter
- #61
Hahahahaha Propaganda? DuhChadema mnapoteza muda na propagandaaa
Hahahahaha Propaganda? DuhChadema mnapoteza muda na propagandaaa
We endelea kufukua makaburi ukidhani utaikuta sura ya bibi yako..magufuli aliyekuwa chini ya utawala ni tofauti na magufuli anayetawala..alipoingia ikulu mlisema TV magogoni rimoti msoga..sasa kila santuri mnayojaribu kuicheza haimalizi siku imechuja..zikiisha zote nadhani mtachukua majembe mkalime..maana hakutakuwa na namna tena
... sasa hivi watu hata malipo yao stahiki watu hawapati unadhani ni sawa hiyo?
Mtaje hapa mbunge hata mmoja wa CCM na ushahidi hata wapicha akizomea nami nitajitoa kujadili siasa..Leo wakati Mama Jenista Mhagama (Sijui hata Wizara yake) akijibu hoja za Mheshimiwa Mbowe kwa mbwembwe alijikuta akizomewa na Wabunge wote hasa wa CCM baada ya kusema Serikali inafanya mambo kwa "surprise" kama surprise ya kuwasomesha bure watoto wote hadi kidato cha NNE!!
Kwangu Mimi hii sio ishara njema kwa wana CCM, tulizoea kuwaona wakiwa pamoja hata kwenye mambo ya "vichekesho" lakini Leo hii eti wanamzomea Mama Jenista.
Hii sio kawaida something is wrong somewhere, huenda ushauri wa Mheshimiwa Lema wa Jana umeanza kuwaingia. All the best!!
isee ni kwereee this govt.Mbona mapema sana??
Sasa kama hao wabunge ni wabubnge wa TUMBO. Tupa kule tena wende kwa huyo Lowasa wao! maana ni mwenzao anayejali tumbo lake na si watanzania!Mkuu kuna kitu kimekupita kidogo. Na nadhani sio oeke yako Bali wengi tuu.
Wageni waliokuwa wamekaa pale juu wana impact kubwa na mabadiliko uliyoona leo bungeni kwa wabunge wa ccm.
Mpwa Elli, moyo ni kitu cha ajabu sana. Hujawahi kuona umpendaye hata kama ni kwa siri tabasamu linaweza kukuumbua?
Ukweli ni kuwa wabunge wengi wa ccm wanamoenda sana Lowassa kuliko Magufuli ila wanalinda tumbo tuu.
Hivi wewe bado upo. Ile m.u.s.u ya kumpa Zito uliitupia wapi.?? Na wewe umeweka historia duniani humuAlidhani atapigiwa makofi
Nakwambia ccm wanakodoa kodo...mpaka wafanye mkakati wa kumrudisha bwana yule kwenye media ili kutengua tension za wabunge maana " sokomoko bahari"Leo wakati Mama Jenista Mhagama (Sijui hata Wizara yake) akijibu hoja za Mheshimiwa Mbowe kwa mbwembwe alijikuta akizomewa na Wabunge wote hasa wa CCM baada ya kusema Serikali inafanya mambo kwa "surprise" kama surprise ya kuwasomesha bure watoto wote hadi kidato cha NNE!!
Kwangu Mimi hii sio ishara njema kwa wana CCM, tulizoea kuwaona wakiwa pamoja hata kwenye mambo ya "vichekesho" lakini Leo hii eti wanamzomea Mama Jenista.
Hii sio kawaida something is wrong somewhere, huenda ushauri wa Mheshimiwa Lema wa Jana umeanza kuwaingia. All the best!!
kwahio lazima watafute kituko siku mbili hizi eeeghh hahahahahaha au atafutwe mtu wa kutumbuliwa.Nakwambia ccm wanakodoa kodo...mpaka wafanye mkakati wa kumrudisha bwana yule kwenye media ili kutengua tension za wabunge maana " sokomoko bahari"
Hatari sanaHii nchi Lowasa pekee ndiye anastahil kuongoza na kutawala. Angalia tu kumzuia imefanya uchumi kuyumba kushuka na serekali kufulia.
Chief, don't be distracted, hizi ngonjera waachie wenyewe. Piga mzigo you will be remembered as a hero...
Ushauri wa ovyo sana. Kuna watu wamepiga mzigo sana katika nchi hii hawajawahi kufanikiwa kutokana na mifumo mibaya iliyopo. Piga mzigo na endelea kudai watawala kutimiza wajibu wao kikamilifu ndipo unaweza kufanikiwa. Idiot....
Huyu mama anakadiploma kake ambako hakajahakikiwa (uhakiki ni kwa watu wadogo tu) umakini atautoa wapi? kazi yake kukariri vifungu na sera ndicho kinachomuweka kwenye hizo nafasiila huyu mama mi sijawahi muona kama yupo makini
kweli kabisaHuyu mama anakadiploma kake ambako hakajahakikiwa (uhakiki ni kwa watu wadogo tu) umakini atautoa wapi? kazi yake kukariri vifungu na sera ndicho kinachomuweka kwenye hizo nafasi