Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,404
- 100,603
- Thread starter
- #41
CCM unaruhusiwa kuhoji???Kikubwa ni kupinga kwa hoja na sio kuzomea,unapokuwa ccm cyo kwamba hurusiwi kuhoji kwa masirahi mapana ya taifa,kilichofanyika hapo ni utovu WA nidhamu.