Kitendo cha Wabunge Kuzomea sio Ishara njema

Leo wakati Mama Jenista Mhagama (Sijui hata Wizara yake) akijibu hoja za Mheshimiwa Mbowe kwa mbwembwe alijikuta akizomewa na Wabunge wote hasa wa CCM baada ya kusema Serikali inafanya mambo kwa "surprise" kama surprise ya kuwasomesha bure watoto wote hadi kidato cha NNE!!

Kwangu Mimi hii sio ishara njema kwa wana CCM, tulizoea kuwaona wakiwa pamoja hata kwenye mambo ya "vichekesho" lakini Leo hii eti wanamzomea Mama Jenista. Hii sio kawaida something is wrong somewhere, huenda ushauri wa Mheshimiwa GODBLESS Lema wa Jana umeanza kuwaingia. All the best!!
Kiongozi aliyepatikana kwa ajali uunda mfumo mfu wa kitabaka ambao utumia majibu hasi kuaminisha umma uongo kuwa ukweli, kinachoendelea sasa ni majigambo butu yasiyokuwa na tija kwa taifa kwa Mtanzania wa kawaida, taifa linalofanya maendeleo kwa suprise ni taifa dhaifu kimkakati na mipango, Majibu ya Waziri ni dhaifu na ndo maana amezomewa.
 
Dahh hivi hii ni episode ya ngapi vile",...¿!
Watz wanataka mabadiliko,wasipoyapata ndani ya c.c.m yatayatafuta nje ya c.c.m
Mpe nchi mtu anayependwa na watu wengi in Our late Mwl.J.K.N voice
 
Leo wakati Mama Jenista Mhagama (Sijui hata Wizara yake) akijibu hoja za Mheshimiwa Mbowe kwa mbwembwe alijikuta akizomewa na Wabunge wote hasa wa CCM baada ya kusema Serikali inafanya mambo kwa "surprise" kama surprise ya kuwasomesha bure watoto wote hadi kidato cha NNE!!

Kwangu Mimi hii sio ishara njema kwa wana CCM, tulizoea kuwaona wakiwa pamoja hata kwenye mambo ya "vichekesho" lakini Leo hii eti wanamzomea Mama Jenista. Hii sio kawaida something is wrong somewhere, huenda ushauri wa Mheshimiwa GODBLESS Lema wa Jana umeanza kuwaingia. All the best!!
Nilicho kiona hapo huyo mama kaongea ukweli
 
Nilishikwa na bumbuwazi niliposikia hii kauli!! Wengi wa viongozi wa CCM hawajitambui na hawajui nini cha kufanya!!

Kwa mtu anaejielewa huwezi sema unafanya vitu kwa surprise!! Hii serikali inaishi kwa matukio sioni dira yoyote!!
Kesho huenda tukafanyiwa surprise ya kutakiwa kupima DNA za watoto wetu
 
Alizomewa kweli ILA kwamba waliozomea ni wa CCM hapo niache ninywe kahawa yangu.
Hahahahaaa Logic iko hapa kwamba, watu wamezoea kuona kuwa wanaozomea ni Upinzani ila kwa jana walichanganyika kwahio lazima hapo tuseme ni CCM!!!
 
Mkuu kuna kitu kimekupita kidogo. Na nadhani sio oeke yako Bali wengi tuu.
Wageni waliokuwa wamekaa pale juu wana impact kubwa na mabadiliko uliyoona leo bungeni kwa wabunge wa ccm.
Mpwa Elli, moyo ni kitu cha ajabu sana. Hujawahi kuona umpendaye hata kama ni kwa siri tabasamu linaweza kukuumbua?
Ukweli ni kuwa wabunge wengi wa ccm wanamoenda sana Lowassa kuliko Magufuli ila wanalinda tumbo tuu.
Hahahahaaah ile timu ilikua imekamilika sana
 
Leo wakati Mama Jenista Mhagama (Sijui hata Wizara yake) akijibu hoja za Mheshimiwa Mbowe kwa mbwembwe alijikuta akizomewa na Wabunge wote hasa wa CCM baada ya kusema Serikali inafanya mambo kwa "surprise" kama surprise ya kuwasomesha bure watoto wote hadi kidato cha NNE!!

Kwangu Mimi hii sio ishara njema kwa wana CCM, tulizoea kuwaona wakiwa pamoja hata kwenye mambo ya "vichekesho" lakini Leo hii eti wanamzomea Mama Jenista. Hii sio kawaida something is wrong somewhere, huenda ushauri wa Mheshimiwa GODBLESS Lema wa Jana umeanza kuwaingia. All the best!!
Huyo siku zinahesabika
 
Kikubwa ni kupinga kwa hoja na sio kuzomea,unapokuwa ccm cyo kwamba hurusiwi kuhoji kwa masirahi mapana ya taifa,kilichofanyika hapo ni utovu WA nidhamu.
 
Nami nilishangaa sana, nilidhani ni wabunge wa upinzani waliokuwa wakizomea.
 
Atapigiwa makofi DJ kwa Ubingwa wa Kukwepa kodi, Maana Nyumbu mnaona uo ndio ujanja.
 
Mkuu kuna kitu kimekupita kidogo. Na nadhani sio oeke yako Bali wengi tuu.
Wageni waliokuwa wamekaa pale juu wana impact kubwa na mabadiliko uliyoona leo bungeni kwa wabunge wa ccm.
Mpwa Elli, moyo ni kitu cha ajabu sana. Hujawahi kuona umpendaye hata kama ni kwa siri tabasamu linaweza kukuumbua?
Ukweli ni kuwa wabunge wengi wa ccm wanamoenda sana Lowassa kuliko Magufuli ila wanalinda tumbo tuu.
japo umechanganya na kilugha ila umeeleweka
 
Back
Top Bottom