Watu wanakua na chuki ambazo hazina msingi...Hata kama ni uhuru wa maoni, haina maana tusiwe objectiveaisee hapo hakuna baya lolote,wala siyo udini,ni heshima kwa wananchi,serikali haina dini ila watu wana imani zao na dini zao,kwenye kuapishwa mbona wanashika bibilia ama msahafu na hatuhoji,tupunguze kuwa vijana wa hovyoo eti "WAKRISTO TUVUMILIE" uvumilie nini?