twende wote
Member
- Mar 29, 2021
- 50
- 84
Alichokifanya ni sahihi kabisa
TKO.Kenyata mkristo alisimamisha hotuba mpaka saivi 1-1
Adhana sio SwalaNyie wanafiki hamna lolote! Hiyo kelele tu ya kutaka kulazimisha kila mtu atambue kuwa nyinyi ndo watu wa dini! Kwa hiyo aliset mda wa hotuba ukaribiane na ibada ili shekhe akianza kuswali asimamishe hotuba kupata ujiko?
Imani yake iyo iyo imemwambia aongoze wanaume .🤣😇😅 kama hutaki jinyonge na uhamie ukrain alaaah ! Big up MAMAUmeathirika vipi wewe??? Imani yake inamuelekeza kunyamaza pale anaposkia adhana.
Sawa serikali haina dini ila yeye si anayo dini yake?? Mbona watu mna nongwa sana??
Hata Rais wa Kenya Uhuru Kenyata aliwahi kufanya hivyo. Ni kuheshimu Imani ya watu wengine tu.Leo tarehe 1/5/2022 rais akiwa anawahutubia wafanyakazi Dodoma katika siku muhimu ya wafanyakazi duniani, ilitokea kusitishwa hotuba Kwa dk kama 3 na rais pale Adhana ya mchana ilipokuwa ikisika kutokea msikitini karibu na uwanja wa Dodoma.
Hivi wadau wa utaifa hili lilipaswa kufanywa na rais kiongozi mkuu wa serikali ambaye tuna amini anaongoza SERIKALI ISIYO NA DINI?
Wananchi wakristo inabidi tuendelee kuvumilia tu kama msingi wa dini yetu.
Una makasiriko yasiyo na faida, kusimamisha hotuba kumekupotezea nini?ukizeeka utakuwa mwanga mbwa wewe...kuwa na heshima.Leo tarehe 1/5/2022 rais akiwa anawahutubia wafanyakazi Dodoma katika siku muhimu ya wafanyakazi duniani, ilitokea kusitishwa hotuba Kwa dk kama 3 na rais pale Adhana ya mchana ilipokuwa ikisika kutokea msikitini karibu na uwanja wa Dodoma.
Hivi wadau wa utaifa hili lilipaswa kufanywa na rais kiongozi mkuu wa serikali ambaye tuna amini anaongoza SERIKALI ISIYO NA DINI?
Wananchi wakristo inabidi tuendelee kuvumilia tu kama msingi wa dini yetu.
Nadhani ungetumia sababu nyingine tu. Ukianza mambo ya imani yake inamruhusu au haimruhusu utafungua Pandora box. Mfano imani yake inamruhusu kuongoza taifa?Umeathirika vipi wewe??? Imani yake inamuelekeza kunyamaza pale anaposkia adhana.
Sio nongwa. Rais ni mtumishi wa wananchi wana haki ya kuhoji, iwe kwa akili au kijinga. Ni haki yao ya kikatiba kama wewe ukivyo na haki hiyohiyo. Acha wahoji, na sio lazima wajibiwe. Ila wana haki ya kuhoji chochote kutoka kwa mkuu wao wa nchi!Sawa serikali haina dini ila yeye si anayo dini yake?? Mbona watu mna nongwa sana??
sio siku Magu anaapiswa, siku mwili wake unaagwa hapohapo jamhuri dodoma.Jambo la kiungwana sana hili
Nakumbuka hata uhuru kenyatta pia alifanya hivyo nadhani siku magu anaapishwa
Ni Sauti inayomtukuza Munguinaweza kuwa sahihi lakini siyo lazima. ni kutupotezea muda tu sisi tunaochukulia hayo maspika kama kelele tena yapigwe marufuku kama rwanda
Kwani kikwete na Mwinyi walishawai kufanya ?Jambo la kiungwana sana hili
Nakumbuka hata uhuru kenyatta pia alifanya hivyo nadhani siku magu anaapishwa