Kitendo cha kuvunja sanamu la Mungu ni jaribio la kuua Mungu wetu.

Abdulsalam Abasi Ibrahimu mkazi wa Mchangani Unguja, alie vunja sanamu la mtakatifu joseph na Yesu pamoja na bikira maria kanisani ni kosa la kujaribu kumuua Mungu wetu, naomba ahukumiwe na mahakama ya Mungu sio ya duniani.
Nimemaliza.
Sheikh wangu karibu kiti moto ndugu yangu katika imaan
Wanaovunja masanamu waendelee, wanaonyonya wanaume wenzao ulimi kama alivyofanya yule mtume mtukutu waendelee,

Sisi tusio fungamana na upande wowote tupo pamoja na serikali ya Zanzibar ambayo imesema italirekebisha hilo sanamu.

Nimalizie kwa kusema masanamu kwenye nyumba ya ibada hayafai.
 
Abdulsalam Abasi Ibrahimu mkazi wa Mchangani Unguja, alie vunja sanamu la mtakatifu joseph na Yesu pamoja na bikira maria kanisani ni kosa la kujaribu kumuua Mungu wetu, naomba ahukumiwe na mahakama ya Mungu sio ya duniani.
Nimemaliza.
Average Muslim guy
 
Wamemkamata wamempa cheo cha ukichaa, yani hajapelekwa hata kituoni tayari wamesema ana upungufu wa akili, hii inamaana kuwa tayari wanamkingia kifua.
Mimi niwaambie tu, kanisa ni moja duniani ROMAN CATHOLIC, hakuna kanisa jingine, hii ndio dunia.
Kama ni hvy basi ukichaa wa Kiislamu uko vzr mana unamtuma mtu akafanye ugaidi kwenye nyumba za ibada za wengine
 
Abdulsalam Abasi Ibrahimu mkazi wa Mchangani Unguja, alie vunja sanamu la mtakatifu joseph na Yesu pamoja na bikira maria kanisani ni kosa la kujaribu kumuua Mungu wetu, naomba ahukumiwe na mahakama ya Mungu sio ya duniani.
Nimemaliza.
Bora huyu amevunja sanamu mwemzake alimtwanga risasi padri akiwa madhabahuni.
 
Jamani acheni kuabudu sanamu.Mungu ni Roho,na wamuabuduo yawapasa kukuabudu katika rojo na kweli.
Hivi kweli mtu mzika na heshima zako unaipihia sanamu magoyi na kuifanyia ibada.Laana kubwa sana hii.
Jina la Bwana lihimidiwe.
 
وَمَنْ يَبْتَغِ غَيْرَ الْإِسْلَامِ دِينًا فَلَنْ يُقْبَلَ مِنْهُ وَهُوَ فِي الْآخِرَةِ مِنَ الْخَاسِرِينَ
Al-imran 3:85
Na anaye tafuta dini isiyo kuwa Uislamu haitakubaliwa kwake. Naye Akhera atakuwa katika wenye kukhasiri.
 
Neenda kwa hoja Dini sio private entity sihitaji ruhsa kwako kuingia au kutoka kwa ukatoliki kwa wakati wowote chunga mdomo wako mkuu acha marumbano.
Ushambiwa una laana haya jibu hiyo hoja
 
Wewe ni muislamu mwenye laana kama ilivyo dini yako ya laana
Tatizo la wakirito ndio hilo makanisani kwenu kuna masanamu misalaba mnayo vaa shingoni iko na masanamu nje ya kanisa kuna sanamu mkifika mnapiga magoti mbele yake na kulibusu

Kwa viywa vyenu mnasema yesu ni mungu mkiambiwa mnayaabu masanamu mnachukia mkiambiwa mbamuabu kiube mwenzenu mwana wa mariamu mnachukia mkiitwa makafiri mnachukia hehehe mkoje nyie wagaratia?
 
Ndiyo maana tunamuweka kanisani tunaomba kupitia hayo masanamu kufika kwa Mungu baba, kwahiyo ni sehemu ya umungu kwetu wa katoliki.
Kutoka 20:4-6

Kutoka 20:4-6 SRUV

Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu chochote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia. Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao, nami nawarehemu maelfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.
 
Hivi RC huwa mnasoma bibilia ipi
 
Back
Top Bottom