Hatuwezi kufukuza ugali mkuu, hujuikwamba wao ndio chanzo pekee cha ruzuku katika chama?Mwenyekiti na watendaji wake hawapaswi kubadilisha maamuzi...
Halafu na wewe unaweza kuwa ni graduate eti!Hatuwezi kufukuza ugali mkuu, hujuikwamba wao ndio chanzo pekee cha ruzuku katika chama?.
Ndugu, historia inaonyesha Ugali haujawahi kuwa na mbadala.
Hao kina Mdee ni watu hatari sana kwa mustakabali wa mageuzi hapa nchini.Kundi la wanachama 19 maarufu kama ‘covid 19‘ walioomba ubunge wa Viti Maalumu kupitia CHADEMA walifukuzwa uanachama na Kamati Kuu na sasa wanasubiri rufaa yao waliyokata kwenye Baraza Kuu la chama hicho.
Unapokata rufaa maana yake unataka haki zako unazodhani zimeporwa zirejeshwe, lkn unapoendelea kuzitumia hizo haki kabla ya rufaa yako kusikilizwa maana yake unakiuka masharti ya rufaa kwa lugha nyingine unakidharau au hukiamini chombo unachotaka kikusikilize.
Kitendo cha kina Mdee na wenzake kukubali teuzi mbalimbali za bunge kwa jina la CHADEMA ni dharau kwa Baraza Kuu la CHADEMA, na kitaathiri sana maamuzi ya baraza juu ya rufaa yao.
Ndugaye anawadanganya sanaKwani si wameshatimuliwa chamani?
Sasa wanateuliwaje wakati bado rufaa yao haijakaa sawa
Akili zako kuna sehemu zinavuja, jiangalie tenaHatuwezi kufukuza ugali mkuu, hujuikwamba wao ndio chanzo pekee cha ruzuku katika chama?
Ndugu, historia inaonyesha Ugali haujawahi kuwa na mbadala.
Haiwezekani na hatowahi kutokeaMwenyekiti na watendaji wake hawapaswi kubadilisha maamuzi.
Hao 19 nikufukuzwa na wahamie hukohuko CCM
Vinginevo hakutakuwepo tofauti na ACT. Watakuwa walewale
Watu hawajui,Ndugaye anawadanganya sana
Upo sahihi sana lkn naye pia ajue kuwa kila mtenda mabaya kwa mwenzake malipo yake yapo kwa muumba wetu.Watu hawajui,
Yupo shetani
Yapo majini na mapepo ya Aina mbalimbali
Wapo mawakala wa shetani( hao ni binaadam)
Wakala anafanyakazi ya shetani wanaadam hatumwoni
Nguvu ya ruzuku ya uchaguzi haramu ngoja tusubiri. Lakini haramu ni haramu tu.Ngoja tusubiri kuona nguvu ya ruzuku!
Si tumeambiwa hamna CORONA? ati maombi yamesaidia? Yaani mungu aache kusikia dua za waroma wa Italian asikilize za wa Roma wa Chato? Kuwa mjinga ni mzigo kabisa
Tupe kanuni zinzoongoza masharti ya rufaa za kamati kuu ya CHADEMA!ake unakiuka masharti ya rufaa kwa lugha nyingine unakidharau au hukiamini chombo unachotaka kikusikilize.
Mbona chadema inachukua ruzuku!Kundi la wanachama 19 maarufu kama ‘covid 19‘ walioomba ubunge wa Viti Maalumu kupitia CHADEMA walifukuzwa uanachama na Kamati Kuu na sasa wanasubiri rufaa yao waliyokata kwenye Baraza Kuu la chama hicho.
Unapokata rufaa maana yake unataka haki zako unazodhani zimeporwa zirejeshwe, lkn unapoendelea kuzitumia hizo haki kabla ya rufaa yako kusikilizwa maana yake unakiuka masharti ya rufaa kwa lugha nyingine unakidharau au hukiamini chombo unachotaka kikusikilize.
Kitendo cha kina Mdee na wenzake kukubali teuzi mbalimbali za bunge kwa jina la CHADEMA ni dharau kwa Baraza Kuu la CHADEMA, na kitaathiri sana maamuzi ya baraza juu ya rufaa yao.
Ukute wamekwishapatana, maana naona CHADEMA iko kimya mpaka bunge limeanzaKundi la wanachama 19 maarufu kama ‘covid 19‘ walioomba ubunge wa Viti Maalumu kupitia CHADEMA walifukuzwa uanachama na Kamati Kuu na sasa wanasubiri rufaa yao waliyokata kwenye Baraza Kuu la chama hicho.