jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,955
- 9,439
Lakini Mwanaume huyo huyo anaekutunza wwe kwa kila kitu,anashindwa kumtunza Mama yake Mzazi kwa kila kitu!! Hilo wwe Kama Mwanamke unalizungumziaje!??Basi waachie wenzio wanaopenda kutunza kwa kila kitu
Kuna wanaume jamani huwezi Kula, kulala, kuvaa asichogharamia yeye, hata ukimpigia simu anakuuliza lile bundle imebaki kiasi gani nikuongeze!?
Kwa kweli Mungu awabariki sana mzidi kufanikiwa kwenye utafutaji wenu