Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,942
- 105,395
π€π€π€π€π€π€π€πππππππππMungu na wanadamu!
Duh!!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jitombe braza uondoe lawama
[emoji134][emoji134][emoji1787]Jitombe braza uondoe lawama
Jf ukileta mada inabidi ujipange [emoji1787]Duh!!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wata kumasanja soonNchi hii ili mwanaume uonekane wa maana eti fanya kazi kwa bidii ili uwahudumie wanawake maskini!
Imagine unadate na Mwanamke hana uwezo wa kujinunulia bando!
Kwa hiyo unajiweka level moja na mwanamke we ni mjinga, mwanamke kiasili ameumbwa kumtegemea mwanaume ndo maana Leo hii eligible man ni wachache sanaNchi hii ili mwanaume uonekane wa maana eti fanya kazi kwa bidii ili uwahudumie wanawake maskini!
Imagine unadate na Mwanamke hana uwezo wa kujinunulia bando!
Pumbavuuuu,hata sisi tuna kazi nazo,aint ya father,pesa zenu mnapelekaga wapi kenge nyieAkiomba elfu2 mpe elfu20
Kwa hiyo unataka ujiweke level moja na mwanamke utasubiri sanaUpuuzi.. kumtunza ndio lkn sio kwa kila kitu, kumtunza pale ambapo yeye ameshindwa kabisa....
Ewaaaa kwanza ukimpigia anakwambia subiri anakupigia yeye kuhofia bundle lako litaisha .Basi waachie wenzio wanaopenda kutunza kwa kila kitu
Kuna wanaume jamani huwezi Kula, kulala, kuvaa asichogharamia yeye, hata ukimpigia simu anakuuliza lile bundle imebaki kiasi gani nikuongeze!?
Kwa kweli Mungu awabariki sana mzidi kufanikiwa kwenye utafutaji wenu
Upuuzi sana. unakuta dem anakuomba elfu 2, rubbish [emoji1362][emoji2781]
Jitombe braza uondoe lawama
Basi mtulie nazo mfanyie kazi na muwaache wanaotugea wachukue nafasiππππPumbavuuuu,hata sisi tuna kazi nazo,aint ya father,pesa zenu mnapelekaga wapi kenge nyie
Mnazingua sana ahaaaaBasi mtulie nazo mfanyie kazi na muwaache wanaotugea wachukue nafasiππππ
SIO mtugande huku mnalalamikia gharama
Nchi hii ili mwanaume uonekane wa maana eti fanya kazi kwa bidii ili uwahudumie wanawake masikini!
Imagine unadate na Mwanamke hana uwezo wa kujinunulia bando!
Mwanaume kulilia haki sawa ni aibuMnazingua sana ahaaaa