Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 37,020
- 73,657
Aminaa..tujuane tunaohudumiwa kila kitu mpk pichuBasi waachie wenzio wanaopenda kutunza kwa kila kitu
Kuna wanaume jamani huwezi Kula, kulala, kuvaa asichogharamia yeye, hata ukimpigia simu anakuuliza lile bundle imebaki kiasi gani nikuongeze!?
Kwa kweli Mungu awabariki sana mzidi kufanikiwa kwenye utafutaji wenu