Haha, na Mungu juu, aisee. Katika mambo yote chini ya jua, matendo yote tuyafanyayo hatumuhusishi Mungu ila twaja kumuhusisha kwenye mtelezo tena kwenye mahusiano yasiyo na ndoa[emoji38][emoji38]. Nafasi ya mwanaume[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Uliliacha neno lake pale ulipotakiwa kulifuata na ukafanya kila uasi, naleo ndio mkalimbuka. Unakumbuka nani alisema "we want free will, because we are not objects" kule Geneva. Mnajichanganya, chagueni neno la Mungu au akili zenu actually tamaa zenu.