Kitendawili kilichonishinda!

Kitendawili kilichonishinda!

Hii ni fahari ya kijinga sana. Nilishaacha kutoka na demu mwenye kunuka shida
Tatizo la wanawake wenye kipato Wanaume hawawataki sbabu huwez kuwa na authority na mwanamke ambaye Yuko financial stable mtakua mnashindana kila kukicha

Ndo maana wanawake wenye kipato wanalalamika Wanaume wanawaogopa sababu ni kwamba Wanaume wanawakwepa kwa sababu hawawezi kuwa na authority juu Yao na mwanamke mwenye kipato sawa na wewe au aliyekuzid ni ngumu sana kukutii na kukuheshimu

Ni Bora uwe na mwanamke ananuka shida sababu utakua na authority juu yake na aman moyoni
 
Duh! Hongera zako
Acha kabisa mkuu me najionaga na bahati iyo maana wanawake karibia wote niliodate nao ni watu ambao hawataki kabisa niwahudumie hata kidogo na kila nikimuhitaji kimwili akija yeye atataka nauli tu pekee tena kamili nikimzidishia anasema hiyo nitunze nikimuoa ntampa[emoji16][emoji16][emoji16].

Ila wote tumeachana japo mawasiliano tunaendeleza na nikiwaforce kuchachua kidogo wanakunjua moyo.
 
Mimi siku hizi nauliza unafanya shughuli gani? Nikiona hauna shughuli nakula zangu kona...
 
Sasa wewe kwanini u date nae na unajua Hana uwezo huu

Imagine unadate na mdada katoka kumaliza shule yupo tu kwao hana Kaziiii yoyote unategemea atoe wapi vocha

Ukitaka usiombwe vihela kama hivyo tafuta mdada ambae tayari ana kazi yake.. hata hivyo kama hutoi hela yoyote kama ni mimi siwezi kujibu hata sms yako ili unipate lazima uniunge bando uwezi kunichosha kuchat na wewe wakati hujui vocha natoa wapi
Sasa vocha kua inatoka wapi inahusiana vipi na kujibu sms..yani hata bando unataka uungiwe...🤣🤣🤣
 
Tafadhali waambie wanaume wenzio mkienda kwenye vile vikao vyenu mkuu. Nakupenda bila kuhudumia ni bure. Nawasilisha mamamzungu

Kelsea Beesmom mama D Aidanna sophy27 Demi Darlin kama sahiv nimeshaacha kabisa mambo ya kutongoza wanawake, maana wengi wao nawaona ni hasara Na michosho tu kwenye maisha yangu, Tangu mwaka huu umeanza nimemtongoza mdada mmoja tu kimapenzi, mwaka kesho sina mpango wa kutongoza mdada hata mmoja. Nikikutana na wadada hapa mtaani mi nakula buyu tu.
(N.B mm ni mwanaume straight tena Rijali)

Nitanunua kahaba Wanaojiuza barabarani nipige mzigo, nyege zikinizidi
 
Maisha ni yako.
Kupanga ni kuchagua. 😅😅😅
 
Wanaume ni majasiri na hawalalamiki wala kuogopa majukumu sababu wanatafuta
Ni kweli tunatafuta ila malengo tunatofautiana, kila mtu na lengo lake mtawafaidi wenye malengo ya kula mbusysu tofauti tofauti kinyume na hapo ni KIBUTI tu
 
Bando yangu inaisha jamani enyi wanaume zangu wa jf okoeni jahazi. Nawataja hapa akiongozwa na mume mkubwa..

mzabzab
Mshana Jr
makaveli10
Mwala
Danvers
mbalizi1
Blessed
Glenn

Na wengine wengi sijawataja naombeni vocha wapenzi
Mimi kama kibuzi cha ufichoni, mume namba 3 namuachia mume namba moja na namba mbili jamno dogo kama hili, wakishimdwa kusanya virago vyako uhamie kwangu niwe natatua mambo kama hayo..
 
Mimi kama kibuzi cha ufichoni, mume namba 3 namuachia mume namba moja na namba mbili jamno dogo kama hili, wakishimdwa kusanya virago vyako uhamie kwangu niwe natatua mambo kama hayo..
😅😅😅 Huyo wa kwanza kagoma, we msome hapo juu, nimempa talaka tayari.
Wa pili Mshana Jr kaupita huu uzi kama hauoni vile.
 
Basi waachie wenzio wanaopenda kutunza kwa kila kitu

Kuna wanaume jamani huwezi Kula, kulala, kuvaa asichogharamia yeye, hata ukimpigia simu anakuuliza lile bundle imebaki kiasi gani nikuongeze!?

Kwa kweli Mungu awabariki sana mzidi kufanikiwa kwenye utafutaji wenu
Mkuu acha udangaji utakuja kunishukuru
 
Sasa wewe kwanini u date nae na unajua Hana uwezo huu

Imagine unadate na mdada katoka kumaliza shule yupo tu kwao hana Kaziiii yoyote unategemea atoe wapi vocha

Ukitaka usiombwe vihela kama hivyo tafuta mdada ambae tayari ana kazi yake.. hata hivyo kama hutoi hela yoyote kama ni mimi siwezi kujibu hata sms yako ili unipate lazima uniunge bando uwezi kunichosha kuchat na wewe wakati hujui vocha natoa wapi
Mdangaji mwingine huyu
 
Mila zinatofautiana mzee sisi watu wa Pwani kawaida sana kumtunza ila sio kimada.Hata mkeo anafanya kazi bank we unauza mkaa utahusika kununua hata vocha yake....[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mila za ******* hizo
 
Acha kabisa mkuu me najionaga na bahati iyo maana wanawake karibia wote niliodate nao ni watu ambao hawataki kabisa niwahudumie hata kidogo na kila nikimuhitaji kimwili akija yeye atataka nauli tu pekee tena kamili nikimzidishia anasema hiyo nitunze nikimuoa ntampa[emoji16][emoji16][emoji16].

Ila wote tumeachana japo mawasiliano tunaendeleza na nikiwaforce kuchachua kidogo wanakunjua moyo.
Dogo usipende kitonga utakufa mapema sana. Hao majini yanatumia nyota yako bila wewe kujijua .
 
😅😅😅 Huyo wa kwanza kagoma, we msome hapo juu, nimempa talaka tayari.
Wa pili Mshana Jr kaupita huu uzi kama hauoni vile.
Basi mtoto mzuri kusanya kila kilicho kuwa YOURS 😂🤣, halafu utimbe huku mamiloo.
 
Back
Top Bottom