Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 179,759
- 197,418
Kwani nimekata kukupa hela...Naomba helaaa 🤣🤣🤣💃💃
Mpeni muongozo wa kutafuta hela mleta mada...
Kwani nimekata kukupa hela...Naomba helaaa 🤣🤣🤣💃💃
Uliza wakubwa wako watakuambia tatizo lenu vijana mnataka mteremko na kulelewa na wanawakeWewe ndio unawaogopa. Tulikuwa na wanawake wenye vipato ila hawaishi kutangaza shida. Usijejiroga ukadhani mwanamke mwenye kipato hanashida, bado hujakua basi. Ila mwisho wa yote, no one has authority over anybody.
Mtoto WA kiume usipende kulelewa na wanawake utakuja liwa tigo hivi hiviWewe ndio unawaogopa. Tulikuwa na wanawake wenye vipato ila hawaishi kutangaza shida. Usijejiroga ukadhani mwanamke mwenye kipato hanashida, bado hujakua basi. Ila mwisho wa yote, no one has authority over anybody.
Miaka hiyo ilikua sawa ila sio sasa.Wazee wenu walisemaga
Tatizo vijana wa siku hizi hamna mafunzo kwa jando na unyago na kwenye mafundisho ya imani pia ya kubip
Miaka hiyo ilikua sawa ila sio sasa.
Nani kasema mimi mdogo😂😂😂. Acha kukariri, mteremko🤣🤣🤣. Umuweke kupe ndani ya maisha yako ndio unajinasibu kuwa ndio uwanaume. Haya kapande wewe mlima Kilimanjaro sasa😂😂😂. Maisha yangu yanathamani sana, pesa hatanipate kiasi gani ila kutoa hata tone kwaajili ya starehe au kumfurahisha mtu baki ni kosa ambalo sirudii tena. I got my money so find your own.Uliza wakubwa wako watakuambia tatizo lenu vijana mnataka mteremko na kulelewa na wanawake
Asilimia kubwa ya wanawake wanadharau, na hawana utii kwa mwanaume huo ndo ukweli
ukaamua na kunitukana😂😂😂, sio mbaya. Mwanamke anilee mimi atafikia kweli bajeti yangu ya maisha🤣🤣🤣. Maana hata achange mshahara wa miezi mitatu bado hataweza fikia bajeti yangu. Bro, jifunze kujibu hoja kwa hoja, matusi siakili na niudhaifu.Mtoto WA kiume usipende kulelewa na wanawake utakuja liwa tigo hivi hivi
Subiri nikufundishe mim siwez kukuzudi kipato alafu wewe niliyekuzudi ndo ukawa na authority juu yangu, maisha hayako hivo aliyekua na kukuzid ela ndo ana nguvu juu yako, familia nyingi mwanamke akimzid kipato mwanaume mda sio mrefu familia inavunjika ni tofauti na mwanaume akimzidi kipato mwanamkeNani kasema mimi mdogo😂😂😂. Acha kukariri, mteremko🤣🤣🤣. Umuweke kupe ndani ya maisha yako ndio unajinasibu kuwa ndio uwanaume. Haya kapande wewe mlima Kilimanjaro sasa😂😂😂. Maisha yangu yanathamani sana, pesa hatanipate kiasi gani ila kutoa hata tone kwaajili ya starehe au kumfurahisha mtu baki ni kosa ambalo sirudii tena. I got my money so find your own.
Huyu ni danga😂.. Mdange ukimaliza uje kwetuVoda fundi wangu.
Nyie mzabzab na makaveli10 njooni huku muone mwanaume mwenye sifa zake za kuitwa mume
Kwani mim nimekuuliza budget yako inanihusu nin au inamsaada gani kwangu, na sijakutukana Ila nimekuambia ukweli usipende kulelewa au vya bure we ni mtoto WA kiume kuwa responsibleukaamua na kunitukana😂😂😂, sio mbaya. Mwanamke anilee mimi atafikia kweli bajeti yangu ya maisha🤣🤣🤣. Maana hata achange mshahara wa miezi mitatu bado hataweza fikia bajeti yangu. Bro, jifunze kujibu hoja kwa hoja, matusi siakili na niudhaifu.
Weeeee hamna kitu kama hichoHuyu ni danga😂.. Mdange ukimaliza uje kwetu
nawewe nakwambia, tumia akili. Mtu hamilikiwi labda enzi za ukoloni. Ummiliki kwani umeshikilia uhai wake😂😂😂. Finances ni sehemu tu ya maisha ya mwanadamu, aisee acha kukariri. Yaani kumzidi mwanamke pesa, haimaanishi utammiliki, kwani umemzuia kuishi. Kama nihivyo ndoa zisingekuwa na mtafaruku hivi, maana pesa watu wanazo tena nyingi tu. Hujamuumba, acha kukaririSubiri nikufundishe mim siwez kukuzudi kipato alafu wewe niliyekuzudi ndo ukawa na authority juu yangu, maisha hayako hivo aliyekua na kukuzid ela ndo ana nguvu juu yako, familia nyingi mwanamke akimzid kipato mwanaume mda sio mrefu familia inavunjika ni tofauti na mwanaume akimzidi kipato mwanamke
Alafu unashindwa kitofautisha kumiliki mwanamke na kugonga mwanamke, Uzi unaongelea kumiliki mwanamke na sio kufanya nae mapenzi na kuachana naye
Utoto na fantasy life inakusumbua sana Ila ukikua utaelewanawewe nakwambia, tumia akili. Mtu hamilikiwi labda enzi za ukoloni. Ummiliki kwani umeshikilia uhai wake😂😂😂. Finances ni sehemu tu ya maisha ya mwanadamu, aisee acha kukariri. Yaani kumzidi mwanamke pesa, haimaanishi utammiliki, kwani umemzuia kuishi. Kama nihivyo ndoa zisingekuwa na mtafaruku hivi, maana pesa watu wanazo tena nyingi tu. Hujamuumba, acha kukariri
😁😁kamkubwa wanatumiaje nyota yangu apo sielewi?Dogo usipende kitonga utakufa mapema sana. Hao majini yanatumia nyota yako bila wewe kujijua .
Sasa kwa akili yako ulijuaje kama atanilea kama hukufikiria budget yangu, lasivyo uwe hunamaarifa unatumia hisia. Unajua responsibilities ndugu😂😂😂, responsibilities are to my wife, family and parents. Starehe zako uziite responsibilities😂😂😂Kwani mim nimekuuliza budget yako inanihusu nin au inamsaada gani kwangu, na sijakutukana Ila nimekuambia ukweli usipende kulelewa au vya bure we ni mtoto WA kiume kuwa responsible
Utoto na fantasy life inakusumbua sana Ila ukikua utaelewanawewe nakwambia, tumia akili. Mtu hamilikiwi labda enzi za ukoloni. Ummiliki kwani umeshikilia uhai wake😂😂😂. Finances ni sehemu tu ya maisha ya mwanadamu, aisee acha kukariri. Yaani kumzidi mwanamke pesa, haimaanishi utammiliki, kwani umemzuia kuishi. Kama nihivyo ndoa zisingekuwa na mtafaruku hivi, maana pesa watu wanazo tena nyingi tu. Hujamuumba, acha kukariri
Ukipenda wanawake wenye hela means hautaki kuwa responsible as a man unataka miteremko au vitonga ndo tatizo kubwa linawasumbua vijana wa dar es salaamSasa kwa akili yako ulijuaje kama atanilea kama hukufikiria budget yangu, lasivyo uwe hunamaarifa unatumia hisia. Unajua responsibilities ndugu😂😂😂, responsibilities are to my wife, family and parents. Starehe zako uziite responsibilities😂😂😂
Nani anatumia fantasy hapo😂😂😂, eti ninammiliki huyu kwasababu pesa zipo nyingi. Utakufa vibaya ndugu. Mtoto ndio anafikiria kuwa na pesa ndio atapata na kumiliki vyote🤣🤣Utoto na fantasy life inakusumbua sana Ila ukikua utaelewa
Naona watu wanachanganya kujibu, ku date maana yake huyo siyo mkeo, hivyo mnaweza kuelewana bei mkamalizana.
Kutunza mke ni wajibu wa mumewe, kama ni mama wa nyumbani unategemea awe na vocha ya simu toka kwa nani? Lazima utimize mahitaji ya nyumbani na mahitaji binafsi ya mkeo hakuna wa kumpa vocha zaidi yako.