Kitendawili kilichonishinda!

Kitendawili kilichonishinda!

Mwenzako yule aliachwa mchana kweupeeee!! kalia weeee!! sijui walimroga yule Mama?? ajabu eti limeshakuwa jitu zima likatema ndoa mweee!! akabaki na kabinti kake kaleee maskini mara zanzibar mara Mafia!

mie bhuchungu wajameni mieee!! fikiria mama D mapenzi yalivyo halafu eti unaachiwa katikati.... utajisikiaje! sema ukweli wako!

Mapenzi ni imani, amani, raha, furaha na upendo. Ukishundwa kumpa mke hivyo vitu akili yake haiwezi kutulia
Mwanaume akishindwa kuvishikilia hivyo ataachwa tuu hata awe wa aina gani

Achana haya mambo ya kumuona mwanamke ni gharama, wako mgharamie kiroho na kimwili na uishi nae kwa akili 😅😅😅
 
Pole kwa pisiYako kubanduliwa nyuma haloooo najua maumivu unayoyapata
Basi jitahidi umpe pesa aachane na vikoba
We mwenyewe majaribu unayo pitia sijui kama kizibo kiko salama.
Na kama kiko salama sijui huko uendako kama utatoboa.
 
alichopewa mwenzio wewe huna.
Nyie ndo uwa mnaanza kutafuta wanaume wakuwalea kwa kuwaonea wivu wanawake.
Mimi ni muhongaji mzuri na sijutii
Anachonipa mwanamke siwezi kukipata popote
 
Bro usilalamike tumia hela vile ipendavyo wewe yaani demu akitaka hela yako aweke mbususu mbele nje na hapo utalalamika sana.
 
We mwenyewe majaribu unayo pitia sijui kama kizibo kiko salama.
Na kama kiko salama sijui huko uendako kama utatoboa.
Maskini, hivi kwanini mwanaume ukishazibuliwa kizibo basi unafikiria wanawake nao wanazibuliwa kama wewe!?

Pole mwayego
 
alichopewa mwenzio wewe huna.
Nyie ndo uwa mnaanza kutafuta wanaume wakuwalea kwa kuwaonea wivu wanawake.
Mimi ni muhongaji mzuri na sijutii
Anachonipa mwanamke siwezi kukipata popote

mjingamimi popote ulipo pata kinywaji bariiiiiidi bill juu yangu
 
Maskini, hivi kwanini mwanaume ukishazibuliwa kizibo basi unafikiria wanawake nao wanazibuliwa kama wewe!?

Pole mwayego
Punguza kuendekeza njaa majukwaani...
Ma baharia wapo wanapaka mate haoo
 
Raha ya mwanamke umhudumie ili uwe na authority dhidi yake Sasa uhudumii alafu unataka kuwa na authority juu yake utafeli baada ya mda atakudharau
Tafadhali waambie wanaume wenzio mkienda kwenye vile vikao vyenu mkuu. Nakupenda bila kuhudumia ni bure. Nawasilisha mamamzungu
 
Mademu wenyewe wachafu Tena mnawapa hela Ni Upumbavu wa kiwango Cha Juu

Badala mfocus kumiliki mkwanja bank kwa account eti unanua UTI
 
Nchi hii ili mwanaume uonekane wa maana eti fanya kazi kwa bidii ili uwahudumie wanawake masikini!

Fikiria unatoka na mwanamke ambaye hana uwezo wa kujinunulia bando!
Hii ni fahari ya kijinga sana. Nilishaacha kutoka na demu mwenye kunuka shida
 
Ewaaaa kwanza ukimpigia anakwambia subiri anakupigia yeye kuhofia bundle lako litaisha .
[emoji23][emoji23][emoji23]daah kulaleq me nilikuwa na manzi tukichati sana akinambia namiss sauti yako namwambia nipigie alafu sijivungi wala nini kumbe kuna jamaa alikuwa anatoa tu pesa pale tena anafokolewa sio mchezo maana sometime tunaongea hadi masaa3 nonstop akiishiwa salio la mitandao yote naweka line same na yake naendeleza kitonga[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].

Sema yule dada alinielewa tu maana hakutana hata mia mbovu kutoka kwangu namimi nikarelax hata kumpigia ni mpaka itokee nmemmis sana ndo nampigia.
 
Duh! Hongera zako
 
Back
Top Bottom