Kitendawili kilichonishinda!

Kitendawili kilichonishinda!

Mpaka awe mke itabidi aushinde huo mtihani wa kumgeuza kijana mwenzie waliyekutana lamini kama ATM, akifanikiwa hata sana kwenye ndoa hamnaga excuse ya kugharamia japo naye shida ndogo ndogo aoneshe ushirikiano, golikipa ni enzi za kambarage world change you have to adopt the changes ukishindwa ukafuata mkumbo wa mashoga saluni kibuti kinahusu kama first aid kwa sababu matibabu cost much more than kibuti

Wanaume ni majasiri na hawalalamiki wala kuogopa majukumu sababu wanatafuta
 
Kumtunza amekuwa bustani au kuku au mbuzi, wanawake mbona mnakuwa Mazuzu so with this ur half human sio? Ni aibu sana you act equal you think half human?

Kumbe hujui😅😅😅
Mwanamke sio bustani tuu bali ni ua🌷zuri ndani ya bustani
 
Usilalamike tafuta pesa

Moja ya Fahari kubwa ya mwanaume ni kumtunza mwanamke wake
yes mtunzeeeee then siku moja apeleke nyapu kwingine!! ujiue akaliwe vizuri.....unajua kinacho waumiza me wengi matumizi na pesa aliyotoa!
 
Mwanaume rijali wa akili na mwili
jamani fikirieni tu yailyo mkuta mbasha mwee hata km ni wewe....uimbaji ukakoma kabisaaa na yule dada kaona sawa tuuu mpaka leo!
 
Acha kujidanganya hio mentality ndio inayowaponza mkianza kunyanyaswa mnakimbilia dawati la jinsia kumbe mmejirahisisha, nachelea kuamini kwamba na wewe upo kwenye kundi hilo

Anayejidanganya ni mimi au wewe!???
Ungekua unaijua nafasi ya mwanaume mbele za mwenyezi Mungu ungeelewa kwamba unatakiwa kufanya nini. Ila naona umeingia kwenye lile kundi la wanaume wanaodai haki sawa kwamba wawe sawa na wanawake
 
Basi waachie wenzio wanaopenda kutunza kwa kila kitu

Kuna wanaume jamani huwezi Kula, kulala, kuvaa asichogharamia yeye, hata ukimpigia simu anakuuliza lile bundle imebaki kiasi gani nikuongeze!?

Kwa kweli Mungu awabariki sana mzidi kufanikiwa kwenye utafutaji wenu
Yaani siku hizi wanawake wanao penda vya bure mjini hawapo...
Na kama wapo asilimia kubwa wanafirwa huo ndo ukweli.
 
Anayejidanganya ni mimi au wewe!???
Ungekua unaijua nafasi ya mwanaume mbele za mwenyezi Mungu ungeelewa kwamba unatakiwa kufanya nini. Ila naona umeingia kwenye lile kundi la wanaume wanaodai haki sawa kwamba wawe sawa na wanawake
Oooho huko kumbe ndio mnakokimbiliaga kwa mwenyezi Mungu, ila mnasahau nyinyi ndio mliokitibua kule Eden baada ya kubanduliwa na nyoka shetani hadi tukafukuzwa bustanini au ushasahau?
 
Back
Top Bottom