Makwarukwaru
Member
- Mar 10, 2012
- 66
- 25
Leo ikiwa ni miaka zaidi ya kumi tangu litokee tukio lililoiacha dunia kwenye kitendawili kikubwa mpaka sasa cha kutokujua nini jibu lake baada ya majengo mawili World Trade Centers comlex "kugongwa" ne ndege kwenye jiji la New York, USA.
Mpaka sasa mengi yamesemwa kuhusu chanzo cha matukio haya kama ifuatavyo;
1. Ni tukio la "kulipiza kisasi" likihusisishwa na kundi la "kigaidi" la Al- Qaeda lililokua linaongozwa na Osama bin Laden. Habari nyingine zinasema Bin Laden alikua ni zao la Wamarekani wenyewe aliefanya kazi kubwa katika kuhakikisha dola ya Urusi inavunjika. Baada ya kazi Marekani ikamtelekeza Bin Laden hivyo akaamua kufanya malipizi kwa kivuli cha ugaidi.
2. Ni tukio la kigaidi kutokana na sera za Marekani dhidi ya nchi za kiarabu lililotekelezwa na kundi la Al Qaeda.
3. Jamii ya siri ya Frimasoni!!!Kwa mfumo wa namba ambapo tukio limetoke-Septemba 11(9/11 au 911). Namba 9 na 11 inasemekana ni namba zenye uhusiano wa karibu na jamii hiyo na ndo tarehe iliyotokea mauaji hayo. Kwa kuipa nguvu hoja hiyo, kuna wanaosema kuwa frimasoni inatawaliwa na watu wenye akili na upeo mkubwa sana mfano Waisraeli ambao siku ya tukio inasemekana wote waliokua wanafanya kazi jengo na maeneo hayo hawakwenda kazini-WALIJUA?
4. Wamarekani wenyewe walitengeneza hilo tukio,kwani walijua kila kitu tangu mwanzo mpaka mwisho na mpaka wale wahusika wakati wanakwenda walikua wanaonekana kupitia kamera za ulinzi,huku historia na shughuli zao zikiwa zinajulikana kabisa. Swali kwanini hawakukamatwa? Je wamerakani walijua na wakaruhusu litokee kwa nini? ...
Yawezekana zipo sababu nyingine nyingi au hizo nilizotoa hapo juu zina maana nyingine, sijui!
Je katika hili, tuanachakujifunza hapa?