Kitendawili cha September 11(9/11,9-11,911) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kitendawili cha September 11(9/11,9-11,911)

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by Makwarukwaru, Sep 11, 2012.

 1. M

  Makwarukwaru Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Leo ikiwa ni miaka zaidi ya kumi tangu litokee tukio lililoiacha dunia kwenye kitendawili kikubwa mpaka sasa cha kutokujua nini jibu lake baada ya majengo mawili World Trade Centers comlex "kugongwa" ne ndege kwenye jiji la New York, USA.
  Mpaka sasa mengi yamesemwa kuhusu chanzo cha matukio haya kama ifuatavyo;

  1. Ni tukio la "kulipiza kisasi" likihusisishwa na kundi la "kigaidi" la Al- Qaeda lililokua linaongozwa na Osama bin Laden. Habari nyingine zinasema Bin Laden alikua ni zao la Wamarekani wenyewe aliefanya kazi kubwa katika kuhakikisha dola ya Urusi inavunjika. Baada ya kazi Marekani ikamtelekeza Bin Laden hivyo akaamua kufanya malipizi kwa kivuli cha ugaidi.

  2. Ni tukio la kigaidi kutokana na sera za Marekani dhidi ya nchi za kiarabu lililotekelezwa na kundi la Al Qaeda.

  3. Jamii ya siri ya Frimasoni!!!Kwa mfumo wa namba ambapo tukio limetoke-Septemba 11(9/11 au 911). Namba 9 na 11 inasemekana ni namba zenye uhusiano wa karibu na jamii hiyo na ndo tarehe iliyotokea mauaji hayo. Kwa kuipa nguvu hoja hiyo, kuna wanaosema kuwa frimasoni inatawaliwa na watu wenye akili na upeo mkubwa sana mfano Waisraeli ambao siku ya tukio inasemekana wote waliokua wanafanya kazi jengo na maeneo hayo hawakwenda kazini-WALIJUA?

  4. Wamarekani wenyewe walitengeneza hilo tukio,kwani walijua kila kitu tangu mwanzo mpaka mwisho na mpaka wale wahusika wakati wanakwenda walikua wanaonekana kupitia kamera za ulinzi,huku historia na shughuli zao zikiwa zinajulikana kabisa. Swali kwanini hawakukamatwa? Je wamerakani walijua na wakaruhusu litokee kwa nini? ...

  Yawezekana zipo sababu nyingine nyingi au hizo nilizotoa hapo juu zina maana nyingine, sijui!

  Je katika hili, tuanachakujifunza hapa?
   
 2. Domhome

  Domhome JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 1,989
  Likes Received: 1,045
  Trophy Points: 280
  Kumbuka wakati wa mashambulizi ya 9/11/2001, Marekani ilikuwa ikiongozwa na George W. Bush (aka Bush mtoto).
  Hebu angalia hii:

  THE SECRET OF THE NO 11


  Read to the bottom. Try it out. I did. I got goose bump

  IF YOU'RE A CRITICAL PERSON STILL READ ON AS IT'S ACTUALLY VERY INTERESTING! !

  This is actually really freaky!! (Mainly the end part, but read it all first)

  1)

  New York City has 11 letters

  2)
  Afghanistan has 11 letters.

  3) Ramsin Yuseb (The terrorist who threatened to destroy the Twin Towers in 1993) has 11 letters..

  4) George W Bush has 11 letters.

  This could be a mere coincidence, but this gets more interesting:

  1)
  New York is the 11th state.

  2) The first plane crashing against the
  TwinTowers
  was flight number 11.

  3) Flight 11 was carrying 92 passengers. 9 + 2 = 11

  4) Flight 77 which also hit
  TwinTowers , was carrying 65 passengers. 6+5 = 11

  5) The tragedy was on September 11, or 9/11 as it is now known. 9 + 1+ 1 =11

  6) The date is equal to the
  US emergency services telephone number 911. 9 + 1 + 1 = 11

  Sheer coincidence. .?! Read on and make up your own mind:

  1) The total number of victims inside all the hi-jacked planes was 254. 2 + 5 + 4 = 11.

  2) September 11 is day number 254 of the calendar year. Again 2 + 5 + 4 = 11.

  3) The Madridbombing took place on 3/11/2004... ... 3 + 1 + 1 + 2 + 4 = 11.

  4) The tragedy of
  Madrid happened 911 days after the TwinTowers incident.

  Now this is where things get totally eerie:

  The most recognized symbol for the
  US , after the Stars & Stripes, is the
  Eagle. The following verse is taken from the Quran, the Islamic holy book:
  'For it is written that a son of
  Arabia
  would awaken a fearsome Eagle. The
  wrath of the Eagle would be felt throughout the lands of Allah while some
  of the people trembled in despair still more rejoiced: for the wrath of the
  Eagle cleansed the lands of Allah and there was peace.'
  That verse is number 9.11 of the Quran.
  unconvinced about all of this Still ..?! Try this and see how you feel
  afterwards, it made my hair stand on end:

  Open Microsoft Word and do the following:

  1. Type in capitals Q33 NY. This is the flight number of the first plane to
  hit one of the
  TwinTowers .

  2. Highlight the Q33 NY.

  3. Change the font size to 48.

  4. Change the actual font to the WINGDINGS

  What do you think now?!!
  Send this to as many people as you know and in 11 minutes you will get a
  nice surprise, if you don't you will get the shock of Your life in 11 min.
   
 3. M

  Makwarukwaru Member

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Domhome is this to say that it was already planed? as you gave the evidence from Quran? What is the significant of that number "11"??? What is inside that number???
   
 4. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,672
  Trophy Points: 280
  Dah!Mnataka kujua ukweliee,hamtaupenda.Mambo mengi duniani hupangwa hilo ni mojawapo!
   
 5. M

  Makwarukwaru Member

  #5
  Sep 17, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Bora kuumia kwa kujua ukweli kuliko kujifariji kwa uongo.
   
 6. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #6
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,276
  Likes Received: 662
  Trophy Points: 280
  Ukweli wa hii ni mchungu zaidi, na mkielewa mtajua ilihitaji n still need upeo mkubwa sana wa akili kuplan hizi mambo
   
 7. M

  Makwarukwaru Member

  #7
  Sep 17, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Puppy ili tuweze kuongeza uelewa wetu inabidi tujifunze mambo makubwa kama hayo
   
 8. Iron Lady

  Iron Lady JF-Expert Member

  #8
  Sep 17, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 4,077
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  unajua kuna mambo mengi sana juu ya idea nzima ya ugaidi, na mataifa makubwa yanajua nini faida ya kuanzisha hii idea na mikakati ya kuifanya idea hii kuwa hai. kila kitu katika dunia kina sababu na faida kwa waliokianzisha. marekani ni moja ya nchi zilizopiga sana debe la ugaidi na kutaka kuuondoa, kwa malengo fulani fulani ya nchi haswa uchumi. matekelezo haya mikakati lazima yawe na umakini mkubwa.
  kwa bababu hii basi kujilipua wenyewe ili wajustfy uwepo wa ugaidi si ajabu. na hii ni moja ya sababu kuwa tukio hilo lilipangwa kutokea. na vithibitisho vipo.
   
 9. h

  hargeisa JF-Expert Member

  #9
  Sep 17, 2012
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  lengo zima ni kuuchafua uisilamu uonekane ni mbaya mapango huu pia unahusiana na kuanzisha vikundi vya magaidi
   
 10. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #10
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,302
  Likes Received: 10,341
  Trophy Points: 280
  The numerology has no any relationship with any action unless u force it to do so. Playing with numbers is childish issues to those who do not want to think much. "You cannot control life of human by number 1-9".
  So Relationship between the action and number is nothing
  "Astrology and Numerology are childish ideas"
   
 11. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #11
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  I think the first question that we should ask is "Is terrorism real or something created for a sinister purpose?", after that we can discuss the events of September 11, 2001. To me, the numbers issues is pretty much irrelevant. People make so much out of so little.

  Lets analyze some of this arithmetic shown above

  3) Flight 11 was carrying 92 passengers. 9 + 2 = 11,

  What if this was ::::

  Flight 11 was carrying 121 passengers. 12 - 1 = 11,

  As you can see, All of this is arbitrary
   
 12. GreenCity

  GreenCity JF-Expert Member

  #12
  Sep 25, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 4,652
  Likes Received: 2,100
  Trophy Points: 280
  have my concurence! Mkuu!
   
Loading...