WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 956
- Thread starter
- #21
Unataka kujua zaidi ya hayo? Tatizo nikiyaweka hewani wakiingia kina nanihino wananishambuliaga sana bana.
utalindwa usihofu mashambulizi
Unataka kujua zaidi ya hayo? Tatizo nikiyaweka hewani wakiingia kina nanihino wananishambuliaga sana bana.
utalindwa usihofu mashambulizi
kwa mtazamo wangu naona kitchen party aisaidii chochote zaidi ya kuharibu.
napinga Boss KP haifunzi kunywa pombe na kusepa matatizo ya ndoa bali inafundisha hasa namna ya kumuenzi mmeo ,familia na jamii inayotuzunguka ,lakini kama sehemu nyingine zao ziko hivo basi zinapotosha maadili ya mwanamkeIkiwa nimesema uongo, toa ushahidi wa uongo wangu, lakini kama nimesema vema, kwanini wanipinga?
yaani wanafundishwa kuwa na mafiga matatu,na kumdhibiti mume kwa kumpa tigo.ningeweza ningepiga marufuku hizo kichen party
hayo mbona siyo mashambulizi.... ni kama vile anataka uendelee kutoa facts na ushahidi..hebu sema basi huko kwenye BP yenu mnavyofundishwa kucheat na kusepa kwa kwenda mbele..maana mwanaume akifumaniwa hata siku moja hakubali..anakataa kata kata!Si unaona FL1 kashaanza?
Si unaona FL1 kashaanza?
hayo mbona siyo mashambulizi.... ni kama vile anataka uendelee kutoa facts na ushahidi..hebu sema basi huko kwenye BP yenu mnavyofundishwa kucheat na kusepa kwa kwenda mbele..maana mwanaume akifumaniwa hata siku moja hakubali..anakataa kata kata!
napinga Boss KP haifunzi kunywa pombe na kusepa matatizo ya ndoa bali inafundisha hasa namna ya kumuenzi mmeo ,familia na jamii inayotuzunguka ,lakini kama sehemu nyingine zao ziko hivo basi zinapotosha maadili ya mwanamke
Hapa mamii, haizungumzii KP bali BP - Bachelor Party. Vera alitaka nimwelezee kinachotokea kwenye BP.
ooooh noted sorry kwa kudandia gari ikiwa katika speed
yaani wanafundishwa kuwa na mafiga matatu,na kumdhibiti mume kwa kumpa tigo.ningeweza ningepiga marufuku hizo kichen party
Hili neno FL!napinga Boss KP haifunzi kunywa pombe na kusepa matatizo ya ndoa bali inafundisha hasa namna ya kumuenzi mmeo ,familia na jamii inayotuzunguka ,lakini kama sehemu nyingine zao ziko hivo basi zinapotosha maadili ya mwanamke
Usijali, tutakupakata usianguke.
Unamkumbuka Ustaadhi Ally Maumba?
Namkumbuka mpwa. Hata mzee Makatta naskia naye ana CV kama ya Maumba.
Mh!...kwa upande mwingine, networking inayozunguziwa kama advantage kwa upande wa wanawake ndio hiyo hiyo inayohamasisha uwepo wa hizi KP, kwani ni kwua kupitia hizi KP wanapata kukutana. Huyo dada aliyekataa kutofanyiwa KP nadhani alikuwa ameshainvest vya kustosha kwenye "vicheni pati' za wenzio so alitaka na yeye 'arudishiwe'. Na pia kiuchumi zinastimulate spending kwa vile nasikia kwa sasa kuna mambo ya sare. champagne, muziki na MC achilia mbali zawadi.
Lakini on the moral side of it..kile kinachotendeka ndio hasa kinaleta hofu, na mi nakibaliana nna hofu hiyo ya mmomonyoko wa maadili kwa sababu kwanza wengi wanaoenda huko wanakuwa wanayajua. Ni nani hata hapa jammvini ataniambia kuwa anahitaji kwenda KP kujua 'mbuzi kagoma' au 'paka mapepe' au 'kisususio' sijui 'kususa'? nina hakika wengi wanajua tayari....
Yeah wote wapakataji hao! unataka jiunga?
Commercialisation ya KP na utandawazi global and local vyote vimeleta athari na kupotosha maana ya dhana na maana ya KP.
Kuna KP nyingine kwa kweli hata wenye uzoefu wanafaidika maana ni kama refresher course au in service training.Mtu lazima aendelee ku upgrade knowledge na skills ziku zote.Vinginevyo utapitiwa na mengi.
Unajua Kaizer - kitchen party haifundishi tu namna ya kumfurahisha mwandani wako.Kuna mambo mengine kwamfano matumizi ya vifaa na technoljia mbalimbali za usafi, kuhuisha kazi na maisha ya kifamilia kwa career women, kupunguza migogoro - hivi ni vitu ambavyo vina evolve with time.Yapo mengi sana..usiangalie upande mmoja tu.Kama ni hilo tu mbona kila mtu angejitafutia namna yake ya survival?Wasi wasi wangu Vera ni kama kumekuwa na 'mapya' tangu kuumbwa kwa ulimwengu? au ndio hayo ya kufunzana namna ya 'kuadapt' utamaduni wa wengine?