major mkandala
Member
- Mar 6, 2010
- 74
- 2
Kuna wanawake wengine bwana wameolewa lakini mambo yao tofauti utasema wenzangu na mie tunaotafuta kupiga mizinga;utakuta mwanamke kaolewa ana mume mlokole ama ametulia lakini kutwaa akirudi kazini kavua nguo kakimbilia kwe nye bar kupiga umbea na wanwake wengine tena sio wanandoa..acha nasema acha ukimuuliza anasema mmewangu mzungu ana noma na mimi we mke wa mtu unakata bia mwenyewe na mashangingi wa mjini kwa nini usiende na mumeo kakusikia mnavyochojoa wanaume za watu.....
Mwanamke huyuhuyu akikaa kwa muda kalewa anaanza kutingisha watu wanapita na kuanza kumshika makanyagio yake anaanza kupiga kelele unapiga kelele nini,ungekuwa na mumeo angekuachia ushikwe kama hivyo
nasema acha nenda na mumeo hao wanawake wasioolewa watakujaza ujinga
kukiolewa muheshimu mumeo uhuru wake kwako isiwe tatizo la nyumbani kwenu
Wanandoa wa jumamosi hii nawatakia Harusi njema na mtimize yale mungu aliyoandika na si kuanza kukorofichana
Harusi njema