Mpeni ushauri mzuri mh. Rais kama kweli mnampigania na mnampenda, muokota makopo barabarani ni mtu anayesaidia kuondoa takataka hatari za plastic barabarani, hivi wakiacha kuokota wataajiri waokota makopo?, hebu muwe mnatoa ushauri mzuri sio ushabiki usio na maana
USSR ktk ubora hakosi kwenye kila maada
Mleta mada umemsikia huyu mke wa Daudi wa Korimije?hakuna shida.wajasiriamali wanamppngeza jpm kwa wazo zuri la ujenzi wa taifa
hata mi najiuliza kama huyu nae kaajiliwa na ccm kwa kazi hiyoHalafu anachangia upupu. Sijui kapewa tenda gani inayomtesa hivi.
Mi nimeanza kuandaa mashairi baada ya Roma kunyamazishwa.Hii ndo safi, ikifka hatua kira mmoja akiguswa, tutaimba wimbo mmoja, make kuna mijtu haijielewi kabsa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka now utakuwa ushafika ruvumahakuna shida.wajasiriamali wanamppngeza jpm kwa wazo zuri la ujenzi wa taifa