Wajameni naombeni msaada wenu wana JF!!!
Mimi na mume wangu tumeishi vizuri tu kwa muda mrefu mpaka pale alipofanyiwa surgery kubwa ya tumbo mambo yakaanza kuchange. Ingawa alichukuwa muda mfupi kupona lkn alizidi kusumbuliwa na high BP. Kwake ikawa ndio excuse ya kutofanya tendo la ndoa kwa kautaratibu tulikojiwekea.
SAKATA LENYEWE NI HIVI:
Juzi nilipata safari ya peke yangu! Niliporudi nilimkuta NO! niliwafumania mume huyo chumbani kwetu akiwa na mwanamke kitandani kwetu...(you know what they were doing)!!!
Ni kama nilipatwa na shoti ya umeme kwa dakika kadhaa...nilichoweza kufanya ni kutoa simu yangu ya kiganjani na kuwapiga picha kadhaa. Nikaondoka kabisa maeneo yale na kwa kweli mpaka sasa ninalala kwa ndugu zangu!
Sijui nitaanzaje kulala tena ktk kile kitanda chetu na nihisi raha kama zamani!
Huwa ninaenda kuchukua vifaa ninavyohitaji, na nilimuuliza kwa nini anafanya vile, anajibu oo eti bahati mbaya shetani kanipitia!!! kakupitia in our bed!!!
Wana JF, uamuzi ninaoona unafaa ni kumtaliki, kwa sababu amekuwa akinidangaya kwa kisingizio kuwa eti ana presha!
Lkn kabla sijachukua hatua hii nimeona bora nipate ushauri wenu!
Please!!!

Huyo ni mzinzi tu na anatumia BP kama kisingizio ili ujua hawezi kuperform tendo ilahali anapiga mzigo km kawa huko nje!! Shetani kazidi kusingiziwa kiasi kwamba hata yeye ameamua kuwaacha binadamu watende dhambi kivyao!!!
Nikiangalia kwa upande mwingine nadhani alifanya makusudi ili ugundue na uondoke umuache aendeleze libeneke na hao mademu wa nje!
Nina swali kwako.. Je mmebahatika kupata watoto kwenye ndoa yenu?? Cos sometimes kukosa watoto kunaweza kumpelekea jamaa akaanza kutest zali nje ili kuona kama yuko fit!!
Ninachoweza kusema ni kwamba ndoa ni ya watu wawili na inapogomba kiasi hicho then sio kheri kuendelea kukaa pamoja (ila sishauri talaka)... jaribuni kupeana nafasi! Kila mmoja akae peke yake kwa muda na mtafakari kama kweli mnastahili kuishi tena pamoja au laa!!
Jaribu sana kutumia busara ktk hili suala na unaweza pia kujichunguza kwa makini kujua mapungufu yako ktk ndoa yalikuwa ni yapi ili uyarekebishe na muendelee pamoja!!
Sanda Matuta
Kwa kauli hiyo ya "UKIONA MWENZIO ANANYOLEWA........" unataka kutueleza nini wana JF wenye ndoa na wale wanatarajia kuingia kwenye ndoa?
Wandugu,
Nimewasoma!!!
Kiukweli tulikuwa tunapendana sana,so much so I was so blind to notice any signs!!!
Kusamehe "saba mara sabini" (hasa kwa wakristo) nadhani ni jambo la kheri, lkn kwa sasa kwa mimi ni gumu jamani, moyo wangu bado mzito sana tuuu sitaweza angalau kwa sasa, nahisi kukosewa heshima, nahisi aibu kwangu licha ya kwamba naye pia ametahayari!!! Mpaka najiuliza hivi nimepungukiwa nini mtoto wa watu mie...
Hebu niambieni, mkono wako unaotumia kula msosi, ukinyewa na mtu kama mumeo/mkeo/mtoto/etc, je utaukata???
Nadhani labda nifanye subira, jazba zipungue ndio nitafanya uamuzi. (Wajua kinachoniuma ni the fact that he screwed her in our bed! He didnt give a damn about our bed!! No respect at all!!I know that married men (majority) do cheat, but do it somewhere far! (Im not asking you to do it that way, dont cheat coz kuna kuumbuka...)
SANDA MATUTA,asante kwa ushauri wako!
lakini usitake kutisha watu na methali zako!
Marriage life is like a plant! Waweza kukua na kustawi vizuri,na either kutoa matunda au usitoe. Waweza kukua kidogo ukanyauka! Waweza kufa kabisa!
All in all unapopanda mbegu, mara nyingi tunategemea uote, ukue, ustawi vizuri ,na mwisho utoe matunda na mbegu nyingine!
Au sio jamani!?
...................
Wajameni naombeni msaada wenu wana JF!!!
Mimi na mume wangu tumeishi vizuri tu kwa muda mrefu mpaka pale alipofanyiwa surgery kubwa ya tumbo mambo yakaanza kuchange. Ingawa alichukuwa muda mfupi kupona lkn alizidi kusumbuliwa na high BP. Kwake ikawa ndio excuse ya kutofanya tendo la ndoa kwa kautaratibu tulikojiwekea
.
SAKATA LENYEWE NI HIVI:
Juzi nilipata safari ya peke yangu! Niliporudi nilimkuta NO! niliwafumania mume huyo chumbani kwetu akiwa na mwanamke kitandani kwetu...(you know what they were doing)!!!
Ni kama nilipatwa na shoti ya umeme kwa dakika kadhaa...nilichoweza kufanya ni kutoa simu yangu ya kiganjani na kuwapiga picha kadhaa.
Nikaondoka kabisa maeneo yale na kwa kweli mpaka sasa ninalala kwa ndugu zangu
! Huwa ninaenda kuchukua vifaa ninavyohitaji,
na nilimuuliza kwa nini anafanya vile, anajibu oo eti bahati mbaya shetani kanipitia!!! kakupitia in our bed!!!
Wana JF, uamuzi ninaoona unafaa ni kumtaliki, kwa sababu amekuwa akinidangaya kwa kisingizio kuwa eti ana presha!
Lkn kabla sijachukua hatua hii nimeona bora nipate ushauri wenu!
Please!!!
Wandugu,
Nimewasoma!!!
Kiukweli tulikuwa tunapendana sana,so much so I was so blind to notice any signs!!!
Kusamehe "saba mara sabini" (hasa kwa wakristo) nadhani ni jambo la kheri, lkn kwa sasa kwa mimi ni gumu jamani, moyo wangu bado mzito sana tuuu sitaweza angalau kwa sasa, nahisi kukosewa heshima, nahisi aibu kwangu licha ya kwamba naye pia ametahayari!!! Mpaka najiuliza hivi nimepungukiwa nini mtoto wa watu mie...
Hebu niambieni, mkono wako unaotumia kula msosi, ukinyewa na mtu kama mumeo/mkeo/mtoto/etc, je utaukata???
Nadhani labda nifanye subira, jazba zipungue ndio nitafanya uamuzi.
(Wajua kinachoniuma ni the fact that he screwed her in our bed! He didnt give a damn about our bed!! No respect at all!!I know that married men (majority) do cheat, but do it somewhere far! (Im not asking you to do it that way, dont cheat coz kuna kuumbuka...)