Kitanda hakizai haramu ni kauli inayohitaji mjadala makini

Hata ikitokea nikatapa mtoto nje ya utaratibu (ndoa), siwezi kamwe kumbandika jina baya kiasi hicho.

Neno kama "bastard" halifai kabisa kutumia kwa mtoto uliyemzaa aisee.
 
Kuna uzi hunu unasema

Kama umeoa mke ambaye sio bikra huyo ni mke wa mtu aliyemtoa bikra, wakaenda bali zaido na kudai huyo ni mwanamke aliefanya ukahaba nyumbani kwa baba uake.

Sasa kama unaishi na mke wa mtu, unashindwaje kuishi na mama wa mtu??

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi kauli zenu mnazotusema wanawake hivi huwa mnawafikiria mama zenu? Watoto wenu wa kike? Dada zenu?

Maana JF kwa kuisema jinsia ya kike, inaongoza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nyie ambao mnapinga usemi huo hebu angalieni hili tukio
Edwin alikuwa na ndoa yenye furaha baada ya ndoa yake kujibu yaani kupata mtoto wa kwanza, maisha yalienda vzuri kasheshe ilikuja mtoto wa pili alikuwa tofauti kabisa ukitia na vijimaneno maneno vilivyoenea ndoa ikaanza kuyumba.The best option ilikuwa kwenda kufanya DNA testing
Lakini b4 hiyo testing ktk purukushani za usuluhishi walitakiwa kwenda Moshi ili wazazi pande zote mbili wakutane kusuluhisha kadhia yao.
Ilikuwa wazee 5 kila upande wa ndoa wakutane hivyo wazee 10 na wao 2 waliluwa wakutane let's say kesho yake.
Mzee mmoja ktk wale 5 upande wake akamwita usiku akamuuliza Edwin unajua baada ya kuzaliwa Mzee Massawe(baba yake ambaye ni marehemu) alikukataa na alikuwa na sababu za msingi tulimkataza ukaendelea kuwa mwanawe na wazee wenzangu 4 ambao kesho nitakuwa nao kwenye usuluhishi kesho 2 walishuhudia tukio hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Changamoto hutujenga ila namna ya kuzivumilia hizo changamoto ndipo ulipo mtihani
 
Sioni point ya msingi hapa hakuna msamaha kwa msaliti tena wa ndoa
 
Sijaona cha maana ulichoandika hapa
 
kwanza naanza kwa kupasua kitanda then namfata hy mwanamke aliyeniletea u-haramu.
 
Mimi siwez kuoa single mothers wapambane tu na hali zao kwa kweli..yaani watoto wabichi wapo kama wote nikahangaike na mwenye mtoto wa nini.!na hata mke wangu akizaa nje ya ndoa na nikagundua apite hivi chap siwez kuvumilia ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu Bikra ndio suluhisho. Wnawake wa siku hizi anaweza asiwe Single Mum lakini akawa kachomoa si chini ya mimba tatu
 
Hizi kauli zenu mnazotusema wanawake hivi huwa mnawafikiria mama zenu? Watoto wenu wa kike? Dada zenu?

Maana JF kwa kuisema jinsia ya kike, inaongoza.

Sent using Jamii Forums mobile app

Haijalishi ni Mama, Dada, bibi, watoto wangu n..k. Kama hawajajitunza watajua wenyewe. Jamii haiwezi kuhalalisha aibu kisa eti sijui mama au watoto wangu wamefanya
 
Afadhali kitanda kijuletee mtoto, kuna majirani zangu huku kwetu. Baba alipata redundancy kazini. Malipo ya mafao walinunua kuwa kiwanja na kujenga nyumba ya nyuma na kuhamia.

Kazi ikawa kusomesha watoto. Mama alilikumbuka buzi la long time kabla hajaolewa. Ni zee lenye pesa sana hapa mjini.

Mzee alianza kufadhili milioni 3,4 mpaka 5. Watoto walikwenda shule na bia ya baba kwenye fridge haikukosekana.

Kumbe zee lilikuwa na LUKU. Mara mama anapata habari zee limepelekwa South Africa kwa matibabu. Hali ilikuwa mbaya na mzee alifariki.

Mama nae alishaambukizwa na kwa mapenzi mema alimgaia na mumewe pasi wote kufahamu.
Sasa hivi wote wako kwenye kitengo. Mzee anamlaani mke wake kila akiyakumbuka.

Wanaume mjue vyanzo vya pesa vya wake zenu. Mtaishia kuleta watoto wa watu au kunywa njugu.
 
Back
Top Bottom