Kitanda chako na mke au mume Wako

Kitanda chako na mke au mume Wako

mie chumbani kwangu hata dada kuingia hapana, hata kama nipo safari kama hawezi kufanya usafi mwenyewe basi na akitumie hivyo hivyo!

Sasa hapo unaoa mke ambaye hata ukimkataza vipi ndugu zake wasiingie chumbani kwenu yeye hakuelewi!

Kwao ndio mazoea hayo, chumba kama #UwanjaWaSabasaba !


#MosKwito !
 
Nimefurahia Sana mleta mada kuwasilisha mada yenye mashiko, iliyo nyeti namna hii! Kudos... Watu Sana maoni tofauti kutokana na experiences za maisha! Hata hivyo, nionavyo Mimi na kwa umuhimu wa ndoa, Ni bora uingie gharama kubwa kwa uwezo Wako ILA asiwepo mgeni theatre a.k.a production / confidential room. It is a room that should
 
Si sawa hata kidogo, kama mna vyumba zaidi ya kimoja acha rum yako na nenda ukalale na mgeni wako kwenye rum nyingine kama issue ni kumpa kampani...


Baaaaaaassss.....
 
Kwani mmeanzia wapi? Mie chumba changu toka niko binti haingii mtu! Kati asilani! Na hata kwa kwa babangu mzee Mtambuzi hatukuwa na tabia ya kuingiza wageni chumbani. Mwisho WA simu hata nikija kwako sitaingia chumbani hata kwa bintiyo unless naona mgonjwa. Tabia mbaya Sana kujifanya mwenyeji kwa watu. Nyumba usiyoishi (kwa mtoto WA kike) unakuwa mwenyeji sebleni, jikoni na chooni. Bado! Hata kwa kakako huingii vyumbani kama inspekta WA manispaa!
Sawasawa kabisa, sijui AshaDii Nyamayao King'asti MwanajamiiOne nyumbakubwa Kaunga na watu wazima wengine watalitolea tamko gani jambo hili...




#MosKwito !
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom