King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,976
Hivi unajua hata khanga ya mtu alieolewa hupaswi kujivalia bila kupewa? Unaweza kurupua kumbe shmeji yako ndo anavaa akisingwa na mkewe. Unless Kuna shida kweli ya pahali pa kulala!
Its not just a bed. Hiyo ni sehemu tukufu.