Mrigariga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 1,761
- 1,623
Kitabu kikuu kinasema hivi,'Ndoa na iheshimiwe na watu wote na mahali pa kulala pawe safi.'
Sasa unapokaribisha watu wengine mahali pa kulala je unawajua wametoka wapi? Hivi tunajua unaweza pata mikosi kwa kushirikiana na tendo na mtu mwenye mikosi na akakuachia.?! Then ukaipeleka nymbani kwako?