Kitanda cha Mugabe!

mbona kinatisha? mi nikilala hapo ntaota nimekabwa! the room is big and spacious to my liking bt may be the colours ar a bit scary
 
yeye analala hapo raia wanashindia na kulalia kikombe cha uji,miafrika bana
ndio maana wanalipigia miti wife lake
 
Watafanya vyote, PUMZI imewashinda kuretain ikisita ndiyo tunakesha tukiimba nyimbo za paradiso! kilaleki! Acha Mungu aitwe Mungu jamani.
 
wewe ndio yule gavana wa benki kuu ya zimbabwe, aliyekimbia nchi baada ya kuduu na mke wa muga?
 
Hahaha askari kanzu unatisha.umewafunga kamba wenzio namna hyo.si kitanda cha mugabe hcho
 
Mugabe Bedroom.jpg
............
 
That bed inawezekana ni State House Magogoni kwani Huyu Askari Kanzu ni Msystem pale Kijitonyama.
 
Ana miaka 2 tu ya kuwepo hapo duniani, mwacheni alalie vitu vizuri.
 
Back
Top Bottom