Kitanda cha Mugabe!

mi nadhani mtu ukishakuwa JF unakuwa na uwezo wa kutambua tofauti kati ya PROPAGANDA na ISSUES. Haya mamabo ya utajiri wa Mugabe ni propaganda chafu tu za akina Bush/Blair/Obama/Cameroun/Sarkozy pamoja na vikatuni wao. Achana nao.

Mtanzania shughulika na utajiri wa nchi yako!
Siku hizi kila kitu ndo kimekuwa propaganda chafu? Viongozi wa kiafrica sio malaika ka ufikiriavyo. Shauri yako!
 
kweli wewe ni great thinker? If yes, inakuwaje unadanghanyika kirahisi? Picha hiyo huko twitter imewekwa na mbumbumbu huwezi kuitumia kama liable source. Labda uwe zezeta
Kuna uwezekano mkubwa wewe ndie zezeta haswa!
 
hii kitu ata magogoni hipo,mbona yanawezekana ata kwa kuuza twiga mbili kutoka serengeti..
 
malipo ni hapa hapa, ana kansa atakufa nda si mrefu

Malipo gani mkuu?mbona ata wanaolala kwenye nyumba za udongo, kitanda magunia nao uwa wanapata kansa?na tena wengi wao ata hawabahatiki kufikisha miaka 80 kama Mugabe!!
 
Kulala chumba kama hicho unajikuta mwenyewe unatoa sadaka mara kwa mara maana hadi wajisikia guilty of having so much!!
 
mkuu wewe nakupa mia.kwa habari za kisiasa na kijamii za viongozi wa africa unatisha.wewe ni noumer.hongera sana mkuu.wanaokubishia ni wale wasiojua mchango wako hapa jf.nimekosa kile kidude cha thanx nikubonyezee.big up.mia


Nakubaliana nawewe asiilimia MIA.... mia.
 
Back
Top Bottom