Kitambue chombo VOYAGER 1

Kitambue chombo VOYAGER 1

Mkuu ZENJIBARIA naomba nikuulize hii kitu Nina rafiki yangu yeye ni baharia aliwahi kuniambia kuna sehemu ya dunia hii wakipita na meli miezi fulani kunakuwa hakuna jua kabisa ni baridi au kuna kipindi wanaliona jua Kwa mbali na kupotelea huko huko na kuna kipindi jua linakuwepo kama kawaida japo na linakuwa sio kama la huku Kwa maana ya masaa yanakuwa tofauti ya mchana na usiku,
Je hauoni hiyo ni prove kwamba dunia inalizinguka jua na sio jua lipo juu ya uso wa dunia?

kuna wakati jua linakuwa halionekani kabisa upande wa southern hemisphere kwa muda wa miezi mitatu jua linakuwa linazungukia upande wa northern hemisphere
kwa mfano summer ya upande wa kaskazini inaletwa na jua kuwa liko upande wa kaskazini zaidi yaani wakati huu upande wa kusini kunakuwa hakuna jua kabisa na baridi inakuwa kali sana baadi ya maeneo yanakuwa kiza kitupu.
kipindi hiki kinakuwa june mpaka august hata hapa kwetu kipindi hichi ndio kipindi cha kipupwe panakua na ubaridi wa jioni na alfajiri ule kwa maana jua tunalipata lakini sio kama la nov to febuari

ukitaka kuelewa zaidi hii jaribu kusoma jua linaizunguka vipi dunia na season zinapatikana vipi
 
Wazungu kwa fix hutowaweza, swala la kufika mwezini ni uongo unaosadikika. Eti walivofika wakaweka bendela ikawa inapepea halafu pia walivokuwa kuwa wanafiki kwamba yule bwana Armstrong yeye mwenyewe alitanabaisha kusikia sauti ya Adhana. Watu wenye akili nyepesi waliamini
 
ZENJIBARIA
time ni nini..?
kwa jinsi hiyo fact ya jua ulivyoieleza hapo bado haiingii akilini! ndio swala la kuona hivyo sawa lkn mbona nyota zipo mbali kushinda jua na tunaziona..?
huwezi kumuelewa kama utagoma kupokea elimu ya dunia sio duara chungwa ili ulinganishe na mapokeo ya elimu yako ya mwanzo.
 
kwani flat earth sio duara.....??? chungwa na sahani kipi ni duara na kipi ni flat? .... jibu lako litakusaidia kujielewa
 
Baada ya siku 16 kupita baada ya kurushwa voyager 1 ilirushwa nyingine hii ni Voyager 2 Lengo la hizi Space vehicles mbili ilikuwa ni kuchunguza sayari mbili Yani Jupiter na Saturn haswa Mwezi mkubwa unao orbit saturn uitwao Titan, Zilivomaliza mission hizo Ndio zikapanua wigo na kujogengea anga za mbali, Vifaa hivi bado vinatuletea Feedback kupitia Deep space Network
Ninawaletea au Vinatuleteea?
 
huwezi kumuelewa kama utagoma kupokea elimu ya dunia sio duara chungwa ili ulinganishe na mapokeo ya elimu yako ya mwanzo.
ha ha! mkuu wewe umemuelewa..?
kama upo kwenye dunia flat kwanini mawingu yaonekane yanaumbo la kiduara..?
alisema kwamba kila kitu kuhusu space is wrong! ha ha ha hata nyota huenda tunaona maruerue tu kama ndo hivyo!
 
Hivi umeshawahi kumuangalia nzi kwenye basi linalo clock 120kph?anapata tabu kutua au kuruka please zenjibari.
tofautisha motion ya nzi kwenye gari na ya watu kwenye dunia. au kama vp mtie huyo nzi kwenye scania kichanja likiwa ndani ya speed hyo... hata kama palikuwa na nzi unaweza usijue. so mfano wako ni mdogo sana ktk hoja kubwa. au na sisi tupo ndani ya duara chungwa mfano wa hyo dunia ya mzungu?
 
kuifahamu hii zaidi inabidi ujue kuwa nyota na mwezi na jua haviko mbali kama tulivyofundishwa, vipo kama tunavyoviona karibu tu,hakuna hata kitu kimoja kati ya hivyo ambacho kipo milioni za km kama wanatufundisha

na kuhusu time ntaweka uzi maalum hapa kujaribu kuifafanua zaidi ya kutazama saa na kupima jua
Ha ha ha ha, uongo kazin...,
jamaa usije acha kuwapeleka watoto shule kwa theories za kipuuz hiz...
 
tofautisha motion ya nzi kwenye gari na ya watu kwenye dunia. au kama vp mtie huyo nzi kwenye scania kichanja likiwa ndani ya speed hyo... hata kama palikuwa na nzi unaweza usijue. so mfano wako ni mdogo sana ktk hoja kubwa. au na sisi tupo ndani ya duara chungwa mfano wa hyo dunia ya mzungu?
nzi kwenye gari
Nzi kwenye basi nilikuwa namjibu zenjibaria kuhusu ndege kuruka na kutua juu ya tufe
 
kuna mambo mengi sana ya kuangalia ambayo yatakuonesha kuwa elimu yote ya space na uhalisi wa dunia ilivyo ni uongo

- wanasema dunia ipo duara kama chungwa lakini ndege zikiruka hazizunguki chungwa zinafika angani zinaweka cruising speed na zinakwenda straight hazilazi pua chini au juu kulizunguka chungwa ambayo ndio shepu ya dunia
-wanasema dunia ni shape ya chungwa kwa hio kila pahala patakuwa na mpindo ili kupara shepu ya chungwa kwa maana hio ukiwa dar zanzibar huwezi kuiona popote kwa maana itakuwa upande wa pili wa mpindo wa dunia na hii zipo formula zake ambayo kwa masafa ya dar to znz ni kama 44km mpindo wa maji ulikuwa uwe kama ulikuwa uwe atleast 60m
-pia hivi majuzi wamesema wanajiandaa ili waweze kutoka kwenye low-earth orbit na waweze kupeleka watu outer sapce wakati mwanzo wamesema washapeleka watu kwenye mwezi ambayo upo beyond low earth orbit.

-sifa moja kuu ya maji popote yalipo ni lazima yawe level,maji hayawezi kupinda kufanya duara,kwa hio hilo duara la dunia maji yanapinda vipi kuweka shepu ya duara,maji ni lazima yatafute level kwa namna yeyote ile,

gravity ni uzushi ,kama gravity ndio inayozuia vitu hapa duniani iweje ndege iliyo ndogo na nyepesi iweze kuishinda gravity na iruke wakati bahari iliyo kubwa sana nzito kuliko kitu chochote hapa duniani isiweze kuishinda gravity'
au kwanini gravity iruhusu mabofu yende ngani wakati vitu vizito zaidi vipeshikwa na gravity

ki uhalisia hakuna aliyewahi kufika mwezini na mwezi haupo na ardhi kama ilivyo hapa duniani,sayari zote picha tunazoziona online sio halisi ni michoro tu, picha halisi hazipo clear kama wanavyoonesha hio michoro

mambo ni mengi sana ntarudia tena mengine
We ostazi kafundishe madrasa tu
 
Baada ya uranium kwisha naamini hakitoweza kubaki tena huko kwa maana kitarudi chini...jee hakitoweza kuleta athari kwa binadamu? Au mwisho wake utakuwaje?
Hiki hakitaweza kurudi na kudondoka chini maana hakipo katika anga letu wala kwenye gravitational force ya sayari yetu dunia bali kitaendelea kusonga mbele na mbele zaidi hadi kitakaposhindwa kujizalishia nguvu yake yenyewe. Sasa hapo kitategemea kipo katika anga la sayari gani au kwenye orbit gani, kitaweza kubaki angani kikielea au kuungua chote na kuisha itategemea kitakutana na gesi ya aina gani katika hilo anga au kudondoka chini katika sayari yoyote yenye gravitational force kubwa.
 
hakuna voyager wala hakuna space exploration hizi zote ni propanganda za uongo mtupu,yote haya ni makatuni ya kuchora,picha zote za space sio za kweli na picha za dunia zote zilizo online zote ni uongo mtupu zote za kuchora hakuna picha ya dunia iliyo kweli,tunavyosomeshwa ni propaganda tu hali halisi ya dunia ilivyo haijasemwa ndio maana tunaaminishwa hizi fantasy
Nilijua wasema hivi ukiwa na hoja ya kupinga. Haya tuassume kuwa hizi ni propaganda, haya tupe ya kwako unayoyajua
 
kuna mambo mengi sana ya kuangalia ambayo yatakuonesha kuwa elimu yote ya space na uhalisi wa dunia ilivyo ni uongo

- wanasema dunia ipo duara kama chungwa lakini ndege zikiruka hazizunguki chungwa zinafika angani zinaweka cruising speed na zinakwenda straight hazilazi pua chini au juu kulizunguka chungwa ambayo ndio shepu ya dunia
-wanasema dunia ni shape ya chungwa kwa hio kila pahala patakuwa na mpindo ili kupara shepu ya chungwa kwa maana hio ukiwa dar zanzibar huwezi kuiona popote kwa maana itakuwa upande wa pili wa mpindo wa dunia na hii zipo formula zake ambayo kwa masafa ya dar to znz ni kama 44km mpindo wa maji ulikuwa uwe kama ulikuwa uwe atleast 60m
-pia hivi majuzi wamesema wanajiandaa ili waweze kutoka kwenye low-earth orbit na waweze kupeleka watu outer sapce wakati mwanzo wamesema washapeleka watu kwenye mwezi ambayo upo beyond low earth orbit.

-sifa moja kuu ya maji popote yalipo ni lazima yawe level,maji hayawezi kupinda kufanya duara,kwa hio hilo duara la dunia maji yanapinda vipi kuweka shepu ya duara,maji ni lazima yatafute level kwa namna yeyote ile,

gravity ni uzushi ,kama gravity ndio inayozuia vitu hapa duniani iweje ndege iliyo ndogo na nyepesi iweze kuishinda gravity na iruke wakati bahari iliyo kubwa sana nzito kuliko kitu chochote hapa duniani isiweze kuishinda gravity'
au kwanini gravity iruhusu mabofu yende ngani wakati vitu vizito zaidi vipeshikwa na gravity

ki uhalisia hakuna aliyewahi kufika mwezini na mwezi haupo na ardhi kama ilivyo hapa duniani,sayari zote picha tunazoziona online sio halisi ni michoro tu, picha halisi hazipo clear kama wanavyoonesha hio michoro

mambo ni mengi sana ntarudia tena mengine
Na mwezi haupo ? So ule tunaouona usiku ni nini?
 
sio kila mtu anaweza kutegua vitendawili tulojengewa tangu hatuna fahamu mpaka tushakuwa watu wazima,ni vigumu sana kuweza kufahamu hata kama kitu kipo mbele ya macho huwezi kukiona,kwanza lazima upate elimu yao ya uzushi kisha uweze kuja na maswali yako mwenyewe na ujielewe kisha ufanye utafiti kidogo,lakini kufunga akili ni njia mbaya kuelekea kujielewa kwako
kama una maswali ungeuliza tu
Je vipi kuhusu dini yako... umeifanyia utafiti??... manake imani za dini ndio zinaongoza kwa kufunga watu akili... bila shaka wewe ni flat earth society.
 
Back
Top Bottom