KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 35,748
- 86,384
- Thread starter
- #321
Mkuutuletee picha ya dunia flat.. halafu sayansi usifikiri ni Kama dini! Kila mtu anaweza kufanya tafiti msingi ufate sheria tu zakiusalama.. jirani zetu Kenya wamesharusha satellite why hawaoni dunia ni flat au nao hawaoni kuwa ni flat..?Mkuu hapa unaposema kuhusu how unaweza kuchallenge vitu vyenye ukakika sijui unakusudia vitu gani,
Katika mafundisho ya dunia na space hakuna vitu vyenye uhakika ambavyo vipo proven
Kwa mfano baadhi ya vitu visivyo na uhakika na havina proof mpaka Leo
-Gravity haina uhakika ni theory hakuna aliewahi kuthibitisha
-Mzunguko wa dunia ni theory hakuna aliewahi kuthibitisha
-Haijawahipo kuoneshwa practically vipi dongo kubwa kama dunia linaweza kuelea hewani na maji kuweza kuganda kulizunguka dongo wakati limo kwenye vacuum environment ambayo inasemwa space ni vacuum(non pressurized environment)
-hakuna proof ya vipi unaweza kuwa na pressurized environment na non pressurized pamoja bila ya kuwa physical barrier( hapa namasnisha dunia na outer space, dunia ni pressurized environment na outer space ni non pressurized environment, vipi unaweza kuviweka pamoja bila ya kuwa solid barrier
Hapa tuchukue mfano wa mtungi wa gesi, mtungi wa gesi ndio dunia kwa mfano,ndani ya mtungi kuna gesi na kinachoizuia gesi isitoke ni mtungi wa chuma ambao ni physically barrier, yaani atmosphere ya dunia ni pressurized gas na outer space ni non pressurized yaani hakuna pressure,baina ya dunia na outer space hakuna Physical barrier (kama ilivyo mtungi) inayoizuia gesi iliyopo duniani kutoka,Hii inaeezakana vipi.
vaccum ya space ni kubwa sana na ina nguvu kubwa ambayo ndio universe nzima na dunia ni ndogo sana kulingana na universe, vipi pressure ya dunia inaweza kuhimili mvuto wenye nguvu ya infinity ya universe bila ya kuzuiwa na kitu chochote,
Chukulia huo mfano wa mtungi wa gesi ukiwa una tundu na uvuje,gesi yote inatoka wakati baina ya dunia na space pako wazi na gesi haitoki duniani hii inawezekana vipi
Kwa ufupi mambo Yasiyo na uhakika ni mengi sana,kama utakuwa na muda wa kufikiri na kuitafiti,
hii elimu yote ni ya kukaririshwa tu na kuamini yote haina proof,ukiachana na hizo proof za kutengeza kama ambavyo tunaamini kuna proof ya outer sPace kwa sababu watu walikwenda mwezini,tunaamini dunia ni duara aina ya sayari kwa sababu watu walitua kwenye ardhi ya mwezi ambao tumeaminishwa kuwa ni duara aina ya sayari pia,yote hayo sio ukweli tufungue akili kidogo Mwezi hauna ardhi na hakuna anaweza kutua mwezini
Haya mambo ya kutafiti yapo mengi sana lakini lazma uwe na elimu uwezo wa kufikiri sana ili kuhimili utafiti
Siku kadhaa tu hapa Ethiopia pia wamerusha satellite hivyo hawaoni kuwa dunia ni flat..? Tutafichwa na wangapi..? Kama vipi fanyeni nyinyi tafiti mnaosema dunia ni flat mtuletee picha za dunia flat..
Chaajabu kadri mnavyozidi kubisha ndivyo nnavyozidi kuelewa zaidi vile ambavyo nyinyi hamvioni.. swala Kama la gravity alianza Newton akaeleza ila hakusema how!.. Albert akaja kumalizia ya kuwa a heavy mass bends space and this is how we get gravity.. matter tells how space to curve and space tells matter how to move!.. na tafiti zilifanyika theory ya Jamaa ikawa ikathibitishwa.. so Kama unataka kuwaprove wrong ndugu nenda nawe natafiti zako fanya na experiment au unaweza ukaibuka na theory yako utafiti watakusaidia wao maana hata huyo Albert practical hakufanya yeye moja kwa moja japo alihusishwa maana ndo mwenye theory..
Labda ungetumia hata hizo calculation zao ukawaprove wrong.. Leo hii russia na marekani na uchina na nchi kedekede wote waungane kulaghai watu kuwa dunia ni duara na wakati wengine ni mahasimu wa kutosha!..
Mi naona unatakiwa ukafatilie kiundani zaidi Labda utaelewa zaidi.. sayansi ya anga hivi sasa watu binafsi wameshaanza mpk tafiti na hawashobiki kusema dunia ni flat!.. au na wao wanatudanganya..?
Mwezini nchi nyingi tu hufanya tafiti why hawasemi kuwa hakuna ardhi..?
Ingekuwa ni tafiti inayotoka kwa mmoja tu ndo tungekuwa na ulakini lkn a lot of countries.. Tanzania bado hata kurusha satellite!

