Kitambi kinakuja kwa kasi, nini tatizo

Kitambi kinakuja kwa kasi, nini tatizo

Ungepitia uzi wa Chid Benz ulianzishwa hapo juzi kisha ukasoma comments za ma Great thinkers, sidhani kama ungeishia kujiona kuwa kitambi chako ni tatizo.
 
wakuu kama heading inavoeleza apo.
naon kitambi kinakuja kwa kasi ya 5g tangu february adi saiv naon kbsa tumbo linakua mno

sio kwamba na maisha mazur hapana, maisha yang ya kuunga unga tu ila na chakula chang kikuu ni ugali, wali na maharage niki change sana labda samaki

kwanini sasa nataka kupata kitambi wakuu
Karibu kwenye mwili wa ki mubaba
 
Picha iko wapi sasa?
Ili tufanye tathmini kama ni kitambi cha kawaida tu au cha ugonjwa,

Sema Kitambi bila hela wala haipendezi,inakua ni kama kilema vile,soon utakuja kuuliza pia,Kipara kinakuanza kwa kasi.
 
wakuu kama heading inavoeleza apo.
naon kitambi kinakuja kwa kasi ya 5g tangu february adi saiv naon kbsa tumbo linakua mno

sio kwamba na maisha mazur hapana, maisha yang ya kuunga unga tu ila na chakula chang kikuu ni ugali, wali na maharage niki change sana labda samaki

kwanini sasa nataka kupata kitambi wakuu

Kwani Janabi anasema je?
 
Picha iko wapi sasa?
Ili tufanye tathmini kama ni kitambi cha kawaida tu au cha ugonjwa,

Sema Kitambi bila hela wala haipendezi,inakua ni kama kilema vile,soon utakuja kuuliza pia,Kipara kinakuanza kwa kasi.
Yaani, vere seksi. Sio unakutana na mtu mkavu ukiegesha kichwa kama umelalia tofali unasikia matumbo tu yanajinyonga
 
Na kikiingia hakitoki.. Kikitoka nyama zina pweta pweta utadhani mama alojifungua watoto wa tano na nusu🤣

Sasa kama tangu mwezi wa 2 kinaanza kuja unakiangalia tuu huo ni uzembe sana.

Dawa kubwa ya kitambi ni mazoezi na Mpangilio wa kula
Kuna vitambi aina tatu, tambua Hilo, kitambi changu ni cha mtu mwenye afya..

Nikichomekea napendeza, nikivaa suti napendezea, kwaio mkuu kitambi cha kiasi sio jambo baya kabisa
 
Utumie hizi product moja wapo zitakufaa sana.
IMG-20250806-WA0019.jpg

IMG-20250806-WA0018.jpg
 
wakuu kama heading inavoeleza apo.
naon kitambi kinakuja kwa kasi ya 5g tangu february adi saiv naon kbsa tumbo linakua mno

sio kwamba na maisha mazur hapana, maisha yang ya kuunga unga tu ila na chakula chang kikuu ni ugali, wali na maharage niki change sana labda samaki

kwanini sasa nataka kupata kitambi wakuu
Badilika mtindo wako wa ulaji na unywaji, you're what you eat
 
Back
Top Bottom