Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,144
- 3,459
Kitambi kikifikia level fulani nunua gari lako sio unakaa kwenye daladala kama una jiko la mkaa miguuni.
Kitambi sio kabisa , kwa karne hii unaonekana kama goigoi fulani hivi🤔kitambi ni ugonjwa ila kuna wengine wanasema ni investment 😆View attachment 3381345
hatari sanaKitambi sio kabisa , kwa karne hii unaonekana kama goigoi fulani hivi🤔
SientaUkute umenunua kagari kama kibitiri ndio ukaona na wewe uje kusumbua humu🤔
starletSienta
Kumbe ni Toyota sienta😆Sienta
Kitambi kikifikia level fulani nunua gari lako sio unakaa kwenye daladala kama una jiko la mkaa miguuni.
Humo ni uchafu tu umejazana🤔
Sio ugonjwa n uvivu wa kwenda toiletkitambi ni ugonjwa ila kuna wengine wanasema ni investment 😆View attachment 3381345
Hii imeenda
Hii imekaa kama Ile tunguli yangu kubwa ya ndele😂😂😂
Mimavi tu imejaa humo