Nimempa 'like' coz amenisaidia kuuliza swali nililotaka kuuliza. LOL
ila somehow l knew you dont have it, kwani usingekisagia the way you did!
Haya back to the swali, nafikiri kitambi kinaashiria some level of ignorance kwenye societies ambazo zinakishabikia.
Kwenye red, unamaanisha??????
Asprin njoo uone hukuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Mkuu nimependa sana shairi lako. hivi zinaitwa ARV au AVR? naomba kujuzwa
shairi safi sana mkubwa rutta hasa pale umbo kama S
Myth 4: ARVS give you a thin face and deform your body
Until recently, the most commonly used ARV regimen at government hospitals included an ARV known as d4T. If d4T is used for longer than a year, it can change a patient's body shape, causing fat loss in the arms, legs or face or depositing fat in the stomach, back of the neck or breasts (in men and women). In April 2010, d4T was replaced by a drug known as Tenofovir, which has none of these side effects.
Kitambi kigumu kama jiwe chahashiria matatizo lukuki ya afya yaliyojificha, kwa mtazamo wa nje aliyenacho akiwa yu mwenye pesa na cheo si tatizo lakini ni kiashiria cha neema lakini kwa aliyenacho akiwa fukara ni magonjwa tu.
Wamama je? Ni hatari vyakula na madawa za uzazi na mengineyo watumiayo. Jana tu nimejiuliza hivi ni kwanini wasichana wadogo wengi wanakuwa na matumbo futufutu
Myth 4: ARVS give you a thin face and deform your body
Until recently, the most commonly used ARV regimen at government hospitals included an ARV known as d4T. If d4T is used for longer than a year, it can change a patient's body shape, causing fat loss in the arms, legs or face or depositing fat in the stomach, back of the neck or breasts (in men and women). In April 2010, d4T was replaced by a drug known as Tenofovir, which has none of these side effects.
Rutashubanyuma asante sana kwa shairi lako