drone: USA
nuclear bomb : USA
USS tommahk : USA
F35:USA
B52:USA
what do you want? ??
Nimeona leo live Aljazeera na CNN......Saudi wameandaa press conference ya kama lisaa limoja wakionesha ushahidi kwamba Iran inahusika!
Hakuna Vita Mkuu! Hakuna Taifa kwasasa linalotaka kuingia na Iran ni kweli Aya mashambulizi yanamafungamano na Iran ata zile tanker za mafuta zilizokua zinakipuliwa ni Iran ila nani wa kumfunga paka kengere? US hana hamu na vita na Iran kwan anajua jamaa wamejiandaa miaka kenda hao Waarabu wanamuogopa muIran na wanamsukumia mzigo US ndo wawe nyuma yao! US walisha prove kua zile drone na cruise missile ni Iranian made and were lunched from south-North of Iran na wao Saud wameonesha mpaka na mabaki wakisema hizi ni Silaha za Iran na Trum since day one alisema anasubiria Saud wathibitishe ndo nae alipize...Leo Secretary Pompeo yuko UAE akitafuta coalition ya diplomasia wakati waziri wa mambo ya Nje wa Iran kasema jaribio lolote la kulipiza liwe la US au Saudi wenyewe watajibu kwa vita kamili Pompeo akanyweakama kuna wafanyabiashara makini huu ndo mda wa kuagiza mafuta hata pipa milioni mbili,uwezekano wa hii vita kutokea sasa ni 97%,
mafuta yatakuwa juu sana,
leo saudi wameomba msaada wa mafuta pipa milioni 20 toka iraq ili waweze kucover order zao,
wenye filling station huu ndo wakati wa kujiandaa na stock ya kutosha ya mafuta
Dogo unaishi dunia gani? Hakuna vita na mafuta yatashuka bei kabla ya mwezi kuisha, Saudia wanasema uzalishaji utarudi hati hali yake ya kawaida kabla mwezi 9 haujaishakama kuna wafanyabiashara makini huu ndo mda wa kuagiza mafuta hata pipa milioni mbili,uwezekano wa hii vita kutokea sasa ni 97%,
mafuta yatakuwa juu sana,
leo saudi wameomba msaada wa mafuta pipa milioni 20 toka iraq ili waweze kucover order zao,
wenye filling station huu ndo wakati wa kujiandaa na stock ya kutosha ya mafuta
US Ndio kashamaliza Hapa No WAR![]()
Saudia inasema muelekeo wa mashambulio unaonyesha makombora hayawezi kuwa yametoka Yemen
Wizara ya ulinzi Saudi Arabia imeonyesha inachosema ni masalio ya ndege zisizo kuwa na rubani na makombora yanayothibitisha kuhusika kwa Iran katika mashambulio dhidi ya vituo vyake viwili vya mafuta mwishoni mwa juma.
Imesema ndege 18 zisizokuwa na rubani na makombora saba yalifyetuliwa kutoka muelekeo unaoonyesha kwamba hayawezi kuwa yanatoka Yemen.
Waasi nchini Yemen wanaoiunga Iran mkono wamesema walihusika na mashambulio hayo.
Iran imekana kuhusuika kwa namna yoyote na kuonya kwamba italipiza dhidi ya shambulio lolote dhidi yake.
Marekani imeendelea kuituhumu Iran kuhusika na mashambulio hayo. Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo amesema baada ya kuwasili Saudia hapo jana Jumatano kwamba ilikuwa ni 'hatua ya kivita'.
Rais Donald Trump amesema Marekani "ina njia nyingi" za kujibu.
"Kuna njia kuu, na kuna hatua nyingine zilizo chini ya hilo," amesema. "Na tutaona. Tupo katika nafasi yenye nguvu."
Nini kilichoibuka katika utafiti wa Saudia?
Ushahidi uliwasilishwa katika kikao cha wizara ya ulinzi, ambapo masalio ya ndege zisizokuwa na rubani (UAV) na makombora kutoka kwenye mashambulio hayo yaliwekwa wazi.
Msemaji wa wizara ya ulinzi kanali Turki al-Malki amesema ushahidi unaonyesha mashambulio hayo yaliidhinishwa kutoka kaskazini na “bila shaka yalifadhiliwa na Iran”.
Hatahivyo, kanali Malki amesema Saudia ingali "inashughulika kubaini eneo maalum ambako mashambulio yalitoka".
Haki miliki ya pichaAFPImage captionKanali Malki aliwasilisha ramani, picha na video kutoka kwenye hsmabulio hilo Jumamosi![]()
Miongoni mwa vifusi vilivyokusanywa ni pamoja na kilichosemekana kuwa ni bawa la ndege isiyokuwa na rubani aina ya Delta ya Iran.
Kanali Malki amesema: "Data iliokusanywa kutoka kwenye kompyuta inaonyesha ni ya Iran."
Amesema ndege hizo 18 zilipeperushwa katika kituo cha mafuta cha Abqaiq na makombora saba yakafyetuliwa katika maeneo yote yaliolengwa.
Makombora manne yalifyetuliwa dhidi ya kituo cha mafuta cha Khurais na mengine matatu yalianguka karibu na Abqaiq.
![]()
Kanali Malki amesema taarifa kuhusu maeneo ambako makombora hayo yalikotoka haiwezi kutolewa kwa sasa lakini punde watakapobainisha hilo watalitangaza.
Amesema: "Licha ya jitihada nzuri kutoka kwa Iran kufanya ionekane hivyo, ushirikiano wake na maeneo ya karibu kuunda hoja hii ya uongo in wazi."
Ameyataja mashambulio hayo kuwa "shambulio kwa jumuiya ya kimataifa… Wale waliohusika wanapaswa kuwajibishwa kwa hatua zao".
Hatua gani zinafuata?
Licha ya kwamba Marekani imeweka wazi kuwa inaamini Iran imehusika na mashambulio hayo, Rais Trump ameonekana kwa ujumla kusita kuhusika katika hatua za kijeshi.
Hapo jana Jumatano alisema ni "rahisi sana" kuingia katika mzozo wa kijeshi lakini amependekeza funzo jingine kutoka mashariki ya kati limedhihirisha hilo lilikuwa gumu.
Kabla ya kikao hicho cha wizara ya ulinzi Saudia kufanyika, Trump alitangaza kwamba ameagiza wizara ya fedha "kuongeza vikwazo vya Marekani" dhidi ya Iran kufuatia mashambulio hayo.
Trump amesema kutakuwa na taarifa zaidi katika saa 48. Vikwazo vya sasa ni vipana vilivyonuiwa kupunguza usafirishaji wa mafuta ya Iran na kudhoofisha uchumi wa taifa hilo.
Pompeo baadaye alikutana na mwanamfalme Mohammed bin Salman, kujadili muelekeo wa hatua kuhusu suala hilo.
Wataalamu wa Umoja wa mataifa wameelekea Saudia kufanya uchunguzi kuhusu mashambulio hayo, Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa Antonio Guterres amesema, akionya kuhusu "athari mbaya" za makabiliano makubwa.
No WAR MKUUkama kuna wafanyabiashara makini huu ndo mda wa kuagiza mafuta hata pipa milioni mbili,uwezekano wa hii vita kutokea sasa ni 97%,
mafuta yatakuwa juu sana,
leo saudi wameomba msaada wa mafuta pipa milioni 20 toka iraq ili waweze kucover order zao,
wenye filling station huu ndo wakati wa kujiandaa na stock ya kutosha ya mafuta
NB: Hakuna vita ya Marekani na Iran...ni mwendo wa sanctions tuNi rahisi sana.
Vikwazo alivyowekewa Iran na Marekani vinaathiri nchi na wananchi kwa ujumla...mahitaj muhim kwa wananchi yamekata
Iran alishinikiza jumuia za kimataifa ikiwemo nchi kubwa za ulaya kuishawishi marekani iondoe vikwazo..Jumuia hazijarespond chochote
Hivyo Iran kaamua atumie mbinu ya "kipumbavu" ya tukose wote..
Kulipua visima vya oil na mafuta matokeo yake ni dunia kutetereka..
Iran imeona hilo pengine linaweza shawishi wakubwa kuzungumza na Marekani kuhusu vikwazo dhidi ya nchi yake.
Tusubiri matokeo ya alichokifanya Iran
Marekani keshatangaza kukaza uzi zaidi kwenye vikwazo baada ya shambulizi la Iran
NB: Hakuna vita ya Marekani na Iran...ni mwendo wa sanctions tu
Sio Mbaya Lkn Wawape 2kwa akili za irani hawachelewi hata kuwapa waasi wa houth bomu la nyuklia waipige saudia au wakawapa hezzbulla waipige israeli maana jamaa hana cha kupoteza wala hajali chochote
Marekani hataki vita na Iran wala Saudia hataki vita, hakuna mtu mwenye akili anayetaka vita, ila kwa uchokozi anaoufanya Iran sasa utawafaya washindwe kuvumilia, anapigwa tu,Ndugu yangu Iran ni taifa lenye uwezo mkubwa sana na ndio maana huyo marekani ana sita kwa sababu anajua madhara ya kuingia vitani na Iran.
Kwahiyo we we usijifanye una akili kuliko viongozi wa Marekani.
Kwanza China na Russia wakiingia direct kwenye vita basi NATO yote itaingia kwenye hiyo vita, itakuwa ni WW3 na China sio mjinga kiasi hicho ku risk vita kubwa hivyo kisa eti IranMkuu unaota au?china na Russia combined hawafikii military bases za USA,ndege za kijeshi,ikiwa ni pamoja na bajeti ya jeshi na hata satellites za jeshi wameachwa mbali sana.
Ukija kiuchumi ndio kabisa hapo ukijumlisha uchumi wa china na Russia bado hawafiki kwa USA,maana uchumi wa Russia tu umepitwa na Jimbo moja tu la USA California.
Mkuu karudie kusoma au kusikiliza ulipopatia hizo habari za uzushi,
World super power ni USA na si vinginevyo.
Je wakilipuliwa tena?Dogo unaishi dunia gani? Hakuna vita na mafuta yatashuka bei kabla ya mwezi kuisha, Saudia wanasema uzalishaji utarudi hati hali yake ya kawaida kabla mwezi 9 haujaisha
Yeah hapo ndio tatizo, ishu sio kumpiga na kumuondoa Ayatollah, ishu ni ukishamuondoa itakuaje? itakuwa vurugu tupu tena kama Iraq, Afghanstan, LibyaMkuu kwa hali ilivo Trump can do NOTHING juu ya Iran.
Iran si Syrian au Afghanistan.
Marekani inajua fika ukiipiga Iran kuna vi nchi kama Dubai(UAE), Abu Dhabi na hata Saudia vitaangamia vibaya.
Marekani waliingia kichwa kichwa Afghanistan na Syria na hadi leo hawajafanikiwa malengo yao, hivyo wakiiongeza Iran, taifa kubwa ,kutawaka moto.
INaelekea wapiDunia iko mbio sanaa
IRAN Kafanya uchokozi upi na kamfanzia nani mkuu ?!Marekani hataki vita na Iran wala Saudia hataki vita, hakuna mtu mwenye akili anayetaka vita, ila kwa uchokozi anaoufanya Iran sasa utawafaya washindwe kuvumilia, anapigwa tu,
Iran pale mashariki ya Kati yupo na Qatar tu peke yake, Saudia, Israel, Marekani, UAE na wengine wote wakiungana Iran anamalizwa mapema tu
Nahii pia sio Ishu Kwao Nakama Ingekua Ishu wala wasingeyafabya wanayoyafanya SYRIA Ss HvYeah hapo ndio tatizo, ishu sio kumpiga na kumuondoa Ayatollah, ishu ni ukishamuondoa itakuaje? itakuwa vurugu tupu tena kama Iraq, Afghanstan, Libya
Sawa tupo. Tutaona.Tulia uone kama trump atamuacha ayatollah amekalia kiti
Nani alikwambia unaweza pata taarifa za siri za kijeshi mtandaoni!!? Hazo ni fix tu mkuu, hakuna taifa linaweza weka taarifa kama hizo mtandaoni na hakuna mtu wa kuziweka. Hizo unazo-google ni uongo uongo tu.Saudi anazo destroyer Irani hana Iran ni mweupe kama manara tuView attachment 1211005