Ukitaka kujua waajemi ni akina nani nenda kagogo.Hilo taifa sio la mchezo mchezo.Marekani haiwezi kuishambulia Irani kwa sababu Islaeli na saudia marafiki wa marekani zitawashwa moto na Irani kama ilivyowashwa Nagasaki. Hivyo vita hio haitakuja kutokea.Watu wanafananisha Iraki na Irani ya Leo.Iran imekua kiteknolojia sawa na mataifa kama Korea kusini,Singapore,Taiwani,Islaeli,hakuna wanavyoshindwa kuunda.Wanazile zinazoitwa ICB ambazo zinaweza kupeleka salamu marekani.Mrusi anasilaha anazotaka kuzijaribu hivyo hio vita itakuwa fursa,kuna lile dude linaitwa S400 marekani analiogopa konki.Mrusi alipotia mguu Syria hakuna cha islaeli wala Amerika wote wameingia chocho,hivyohivyo itakuwa kwa Irani hawezi ruhusu wapuuzi wajifamyie wanavyotaka.