Kitachompata Iran, kitaweka Historia

Kitachompata Iran, kitaweka Historia

Kwa nini unasema visima vya Saudia vimeshambuliwa na Iran wakati Houthis wamekiri ni wao. Jaribu kufatilia source tofauti tofauti za habari. Main stream media wanapotosha sana kwa maslahi wanayojua wao
Saudia inajua kuwa Houthis hawana uwezo wa kufanya waliyoyafanya. Ni lazima walisaidiwa. Walisaidiwa na nani? Hapo ndipo concentration yote ilipo. Wa kwanza anayenyoshewa kidole ni Iran.
 
petrodollar
/ˈpɛtrəʊˌdɒlə/
noun

  1. a notional unit of currency earned by a country from the export of petroleum.
    UPO VITANI I MEAN REAL WAR HII INAKUSAIDIA NINI????

Dominance ya $$$$ as mostly popular currency unadhani inatokana na nini?
 
Dominance ya $$$$ as mostly popular currency unadhani inatokana na nini?
WE JAMAAA BHANA!!!!!
MI NAZUNGUMZIA NGEGE ZIMESHAKUZUNGUZ, VIFARU KILA KONA, MELI ZA KIJESHI ZIPO PWANI YAKO.

PETRODOLLAR UNAITUMIAJE???
 
Wamguse waone..

Iran ana backup ya Mrusi na Mchina ambao ni bitter rivals wa marekani
Usiamini sana hilo. Mataifa yapo makini sana kutojiingoza katika vita visivyokuhusu moja kwa moja kuogopa madhara utakayoyapata kiuchumi.

Israel imewahi kuishambulia Iran mara kadhaa au kwa kupiga vinu vya urutubishaji wa nuclear energy au kwa kuua wataalam wa Iran wanaofanya kwenye vinu hivyo. Si Mrusi, si Mchina, aliyenyanyuka kwenda kupambana na Israel.

Uchumi wa Mchina unaenda kombo, hawezi kujiingiza katika vita vya kumsaidia tu rafiki. Na wala mchina hamkaribii Mmarekani katika teknolojia ya kivita, na hana infrastructure ya kuendesha vita katika mataifa ya kigeni.

Mrusi naye ana shida juu ya uchumi wake. Kiteknolojia japo hamfikii Mmarekani lakini ana uwezo wa kumsumbua. Lakini Mrusi, kama alivyo Mchina, hana infrastructure ya kuendesha vita nje ya Taifa lake. Kuzorota kwa uchumi wake kwa sasa ni sababu nyingine itakayomfanya ajifikirie mara mbili kabla ya kuingia miguu yote kupambana na Marekani. Uchumi wa Russia ni kama 8% ya uchumi wa US. GDP ya Russia ni chini ya GDP ya jimbo Texas.

Pamoja na mambo mengine, vita hutegemea sana uwezo wako wa kifedha.
 
Mlisema hivi hivi 2003 wakati iraq inachapwa mara mstari mwekundu mara makombora matokeo yake yule mzee kajificha kwenye shimo nchini kwake.Hakuna taifa kwa sasa linaweza kupigana na USA.Jifariji tu
Na Iraq, kivita was far ahead Iran.
 
Kama hujaona effects za vita vya Iran kwny petrodollar nadhani hustahili kua humu.
We ni BUREKABISA , hiyo petrodollar wenzaka IRAQ na LIBYA walipigwa na dunia ilisavaivu

usitumie kama excuse
 
Kwani America kapigana vita na Vietnam na Somalia tu. Jaza nyama taja na nchi zingine si hizo tu ulizotaja. Kuhusu Vietnam hasara waliopata wavietnam ilikuwa kubwa sana kuliko hicho unachodhani kuwa walishindwa pia vita vya somalia havikuwa na maslahi kwa marekani ndipo akaamua kujitoa. Nitajie kipi marekani angefaidi pale somalia km ww unavyofikiria?
Duuuh

Yaani CIA Katika tafiti zao zoote mpaka waka amua kuingia kijeshi SOMALIA Hawakuwahi Kujua Kama vita Ya SOMALIA Haikua na Faida Kwao Ila Walipokuja Kuona kama wanakufa kama waizi ndio wakafaham Yakua Vita na SOMALIA Haikua Nafaida Kwao ?!



Hehehe
 
Wanasita kwa sababu ya bihashara ya mafuta itaingia kwy kuporomoka vibaya sana, maana saudia anazarisha 10% ya mafuta ya dunia, sasa kuingia kwy vita bila kuangalia upande wa bihashara unakuwa mtu wa kukurupuka sana,
Kwatafsiri hii nikwamba no war btwn US nd IRAN Maana hakuna siku biashara ya wese itasimama etii ?!
 
Back
Top Bottom