Kitachompata Iran, kitaweka Historia

Kitachompata Iran, kitaweka Historia

Wacha wapigane tu hata hivyo dunia ikikaa bila story za vita inaboa..
 
Nimejiuliza kwamba; "
ingejuwaje leo kama hayo makombora yangekuwa yaliirenga Israel, sijapata majibu"

Maana hawa jamaa ukiwagusa tu na wanajua muhusika ni Nani , dakika kumi ni nyingi sana kuona mzigo wa moto unakurudia
 
Kwanza China na Russia wakiingia direct kwenye vita basi NATO yote itaingia kwenye hiyo vita, itakuwa ni WW3 na China sio mjinga kiasi hicho ku risk vita kubwa hivyo kisa eti Iran
Sawa kiuchumi amemwacha mbali Russia ila ukj kwny millitary case hawajapshan sana na Russia ndo maan mpk sasa USA hathubut kuongea pumba kwa Russia hat uchaguz wa marekan uldukuliwa na Russia na hata hvy hucje ukadharau mataifa ambayo unayoyaon sio kitu kwa USA coz hayo mataifa kama China Russia na N.Korea lengo lao ni moja 2 kumpga USA.
Jaribua hata kufuatiia mlltary power ya USA Russia na China hawajapshana sana.juulze je cku hao Russia China na N.korea wakiungan itakuaj na washirika wa USA ni Israel na Uk
 
Marekani hataki vita na Iran wala Saudia hataki vita, hakuna mtu mwenye akili anayetaka vita, ila kwa uchokozi anaoufanya Iran sasa utawafaya washindwe kuvumilia, anapigwa tu,
Iran pale mashariki ya Kati yupo na Qatar tu peke yake, Saudia, Israel, Marekani, UAE na wengine wote wakiungana Iran anamalizwa mapema tu
Uchokozi analeta USA na propaganda zake za regime change in Iran.Iran wala hataki papara na mtu.
US nyege gan zilimpata mpk kupeleka drone yake mwaka huu anga ya Iran??
US ndio wakorofi na Hassan Rouhani hatowavumilia.
Na usimsahau Iran ana Lebanon Hizbollah.
Hawa wamba chaf pozi na UAE juzi kat alitaka ushirika wa kijeshi na Iran it means anajihengua kuwa American puppet.
 
The whole NATO Army=Chinese Army.
Bado sijaiweka Russia.Yan Russia na China wakiungana tarajia kichapo cha utatu mtakatifu kwa vikosi vya NATO .
Russia na China ni watu wanaosemekana kuwa na secret weapons za hali ya juu zisizotambulika uwezo wake asa wakiamua kuzitoa kushnei.
 
Kwa kuwa wabongo hatujawahi kuvishuhudia vita live ndo maana tumejenga ubishani wa simba na yanga vitokee kwenye baadhi ya nchi,
Vita ni kadhia kubwa mnoo, Mungu aepusha dunia iwe sehemu salama ya kuishi
 
Marekani hataki vita na Iran wala Saudia hataki vita, hakuna mtu mwenye akili anayetaka vita, ila kwa uchokozi anaoufanya Iran sasa utawafaya washindwe kuvumilia, anapigwa tu,
Iran pale mashariki ya Kati yupo na Qatar tu peke yake, Saudia, Israel, Marekani, UAE na wengine wote wakiungana Iran anamalizwa mapema tu
Kwa hiyo mpaka washirikiane inaonekana Iran ni mbabe sana
 
Huo ndo ukweli mkuu.Urusi na China wanasubiri tu Marekani ajichanganye ili watu watest makombora yao ya kisasa yasije kulipuka bila kutumika.Iran mwenyewe anawashwa Marekani ajichanganye ili atest makombora yake ya Nyuklia.
Nyuklia haiwezi kutumika tena katika ulimwengu huu na ule ujao. dunia nzima inajua madhara yake. Wababe wanataka kumiliki tu ili kuweka heshima.
 
Kwa hiyo mpaka washirikiane inaonekana Iran ni mbabe sana
hata wakienda nchi kwa nchi Iran bado atamalizwa tu, yaani hapa nilichokuwa naamaanisha ni kuwa Iran hana marafiki wengi hapo Middle East so ni bora akaacha uchokozi
 
The whole NATO Army=Chinese Army.
Bado sijaiweka Russia.Yan Russia na China wakiungana tarajia kichapo cha utatu mtakatifu kwa vikosi vya NATO .
Russia na China ni watu wanaosemekana kuwa na secret weapons za hali ya juu zisizotambulika uwezo wake asa wakiamua kuzitoa kushnei.
hahaa, eti China ndio jeshi lote la Nato? China + Urusi hawamfikii hata Marekani kiuchumi na kijeshi akiwa peke yake, achilia mbali hiyo Nato, hebu jaribu kutafuta facts mtandaoni kwanza kabla ya kuja kujibu kwa ushabiki na mihemko mkuu
 
Uchokozi analeta USA na propaganda zake za regime change in Iran.Iran wala hataki papara na mtu.
US nyege gan zilimpata mpk kupeleka drone yake mwaka huu anga ya Iran??
US ndio wakorofi na Hassan Rouhani hatowavumilia.
Na usimsahau Iran ana Lebanon Hizbollah.
Hawa wamba chaf pozi na UAE juzi kat alitaka ushirika wa kijeshi na Iran it means anajihengua kuwa American puppet.
hayo ya drone mbona yalikuwa yameshapoa, kinacho escalate mambo sasa hivi ni kulipuliwa kwa hizo site za mafuta za Saudia na hao wanaodaiwa kuwa waasi wa Houthi, ambao wapo backed na Iran, hata kama Iran hajalipuwa yeye moja wa moja atakuwa anahusika kwa kuwa yeye ndio anayewafadhili hao waasi,
Watu hawataki vita lakini uvumilivu una kiwango chake
 
Sawa kiuchumi amemwacha mbali Russia ila ukj kwny millitary case hawajapshan sana na Russia ndo maan mpk sasa USA hathubut kuongea pumba kwa Russia hat uchaguz wa marekan uldukuliwa na Russia na hata hvy hucje ukadharau mataifa ambayo unayoyaon sio kitu kwa USA coz hayo mataifa kama China Russia na N.Korea lengo lao ni moja 2 kumpga USA.
Jaribua hata kufuatiia mlltary power ya USA Russia na China hawajapshana sana.juulze je cku hao Russia China na N.korea wakiungan itakuaj na washirika wa USA ni Israel na Uk
kwa hiyo kwa akili yako unadhani, Russia ata risk kuingia kwenye vita na Marekani kisa Iran? unajua gharama ya kuingia kwenye vita hiyo, Russia ni mjinga wa kuingia kwenye vita na nchi yenye jeshi na uchumi mkubwa zaidi duniani kwa ajili ya Iran? hahaa
 
Back
Top Bottom