Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Jamii forum mkeka huu umebadili, na unaendelea kubadili isha langu haha haaa hhuuuuuuuuwiiii
 
"The magic of thinking big" kilinibadili maisha yakawa ya kujiamini zaidi
Hujakosea Mkuu Wangu.

Kitabu kipo zivuri sana nilipata kukisoma mwaka uliopita.

Mpaka huwa nawaza na kupanga mipango ya siku nikipata Mtoto nahakikisha mpaka anakuwa mtu mzima atakuwa mtu tofauti sana.

Nitawekeza katika vitabu,Library nyumbani itakuwa sehemu yake ya Maisha.
 
Thanks For sharing skills and Knowledge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…