124 Ali
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 7,812
- 5,526
Wewe unaweza mshinda shilole kujitoa ufahamu?mwanamkr hana haya hata kidogo yule anaweza ongea lolote ilimradi tu aisikie sauti yakeSasa shilole ananidhidi nni?
Wewe unaweza mshinda shilole kujitoa ufahamu?mwanamkr hana haya hata kidogo yule anaweza ongea lolote ilimradi tu aisikie sauti yakeSasa shilole ananidhidi nni?
Anacheti cha wapi!? Mkunga amaaa!!??Nawaza hapo sijui ataandika jina gani... Kama ni Shilole Shishi bebi au lile la kwenye Cheti...
Hahahahah!Wahaya utawajua tu na misifa ...sasa kesi ya shambani imeingiaje tena .
Ukienda wilaya ya rorya mila za kijaluo aiseee utapewa maandazi na chai, wakikaaa kidogo wali then wanamalizia na ugali. Usipoweza kuvila vyote wanakuona unadharau.Huku kwetu toa rambi rambi isaidie majukumu, wewe unakuja unapokea kikombe cha chai na maandazi hujui kuwa unga wa ngano na sukari vilikopwa kwa Mangi?
Kitabu ni kumbukumbu ya waliohudhuria msibani, ukiweka sahihi yako tutakumbuka kuwa na wewe ulifika.
Ni wewe ama nakufananisha???Ngoja wajuvi watujuze
[emoji41][emoji41][emoji41]Wanaaandika kwa mfano mimi naenda kuandika kwenye hicho kitabu cha Mengi. "Nimesikitika sana Mengi umetuacha,ulikuwa mtu muhimu sana. Nakumbuka ulipokuwa kwenye kamati ya Tacaids uliwahi kusema kwa nini mtu afe kwa raha ya dakika moja? Watu watumie condom,Poleni sana familia muendeleze yale mazuri aliyoacha Mzee DR Mengi"mimi Kwangu Masanja.
hakuzidi chochote, unamzidi hadi matako🙌Sasa shilole ananidhidi nni?
Wahaya utawajua tu na misifa ...sasa kesi ya shambani imeingiaje tena .
Kwa muktadha huu nafikiri lianzishwe daftari /uzi, almaarufu 'thread' kwa ajili ya mwenda zake.Wanaaandika kwa mfano mimi naenda kuandika kwenye hicho kitabu cha Mengi. "Nimesikitika sana Mengi umetuacha,ulikuwa mtu muhimu sana. Nakumbuka ulipokuwa kwenye kamati ya Tacaids uliwahi kusema kwa nini mtu afe kwa raha ya dakika moja? Watu watumie condom,Poleni sana familia muendeleze yale mazuri aliyoacha Mzee DR Mengi"mimi Kwangu Masanja.
Huku kwetu toa rambi rambi isaidie majukumu, wewe unakuja unapokea kikombe cha chai na maandazi hujui kuwa unga wa ngano na sukari vilikopwa kwa Mangi?
Kitabu ni kumbukumbu ya waliohudhuria msibani, ukiweka sahihi yako tutakumbuka kuwa na wewe ulifika.
cha darasa la sabaAnacheti cha wapi!? Mkunga amaaa!!??
cha darasa la saba