Kitabu cha wageni msibani!!.Nani haruhusiwi kusaini?

Kumbe hata sisi twaweza saini kama lengo ni hilo.

Pia kama ni hivyo hata kwenye misiba yetu huku bukoba vijijini taweza weka.

Nimependa maelezo yako
Uko Bukoba vijijini sehemu gani mkuu?!?

Mimi niko Kabirizi kuna kesi ya shamba langu naifuatilia kwenye mahakama ya mwanzo hapa
 
Wanaaandika kwa mfano mimi naenda kuandika kwenye hicho kitabu cha Mengi. "Nimesikitika sana Mengi umetuacha,ulikuwa mtu muhimu sana. Nakumbuka ulipokuwa kwenye kamati ya Tacaids uliwahi kusema kwa nini mtu afe kwa raha ya dakika moja? Watu watumie condom,Poleni sana familia muendeleze yale mazuri aliyoacha Mzee DR Mengi"mimi Kwangu Masanja.
Una vituko we mwanamke!Cdhani kama mumeo anakufurahia.Mwanamke vituko kitandani kwingineko ni karaha!
 
Mimi nilifikiri wanao saini ni VIP's kumbe hadi kina shilole, na mie kesho nikitoka hapa kibandani kwangu buguruni nawapitia masela wangj pale kwa madenge tukasaini.
huyu shilole anyechukuliwa poa naona anapanda chati kila siku, maana kufika tu hapo msibani kashafahamiana na watu kadhaa wa muhimu. huyu anachukuliwa poa ila muda unavyoenda wanomchukulia poa watagundua kumbe sio mwezao tena alishapanda daraja
 
Wanaaandika kwa mfano mimi naenda kuandika kwenye hicho kitabu cha Mengi. "Nimesikitika sana Mengi umetuacha,ulikuwa mtu muhimu sana. Nakumbuka ulipokuwa kwenye kamati ya Tacaids uliwahi kusema kwa nini mtu afe kwa raha ya dakika moja? Watu watumie condom,Poleni sana familia muendeleze yale mazuri aliyoacha Mzee DR Mengi"mimi Kwangu Masanja.
aisee kama ndio hivyo basi ni jambo la kuiga hata misiba yetu ya uswahilini halafu daftari lihifadhiwe vizuri na familia kama kumbukumbu
 
Ukienda wewe kile kitendo cha kusogelea kitabu ataona mtu wa karibu anakusogelea pembeni
Mimi nilifikiri wanao saini ni VIP's kumbe hadi kina shilole, na mie kesho nikitoka hapa kibandani kwangu buguruni nawapitia masela wangj pale kwa madenge tukasaini.
 
Mimi nilifikiri wanao saini ni VIP's kumbe hadi kina shilole, na mie kesho nikitoka hapa kibandani kwangu buguruni nawapitia masela wangj pale kwa madenge tukasaini.
Nawaza hapo sijui ataandika jina gani... Kama ni Shilole Shishi bebi au lile la kwenye Cheti...
 
Back
Top Bottom