Kitabu cha wageni msibani!!.Nani haruhusiwi kusaini?

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,262
Reaction score
18,713
Kukitokea misiba hasa ya viongozi au watu maarufu huwa naona kuna kitabu cja wageni . Lakini kwenye misiba ya kawaiada huwezi kukuta kitu kama hicho zaidi ya kitabu cha michango ambayo ndio tafsiri sahihi ya rambirambi kwa huku uswahili.

Je kile kitabu cha kusaini kina maana gani?

Na rambi rambi kwenye misiba ya wakubwa hatutoi pesa?

Na je nani anaruhusiwa kusaini kwemye hiki kitabu maana ninavyo ona ni kama wakubwa tuu wanaruhusiwa na kama ni hivyo hata mimi mwemyekiti wa wasoma comment hapa JF naweza saini?

Nampongera IGP kwa kufika kwenye msiba.

FB_IMG_1556980694488.jpeg
 
Mimi nilifikiri wanao saini ni VIP's kumbe hadi kina shilole, na mie kesho nikitoka hapa kibandani kwangu buguruni nawapitia masela wangj pale kwa madenge tukasaini.
 
Attachments

  • 57488101_115778806082752_4078612736492209262_n.jpg
    57488101_115778806082752_4078612736492209262_n.jpg
    52.9 KB · Views: 80
Mimi nilifikiri wanao saini ni VIP's kumbe hadi kina shilole, na mie kesho nikitoka hapa kibandani kwangu buguruni nawapitia masela wangj pale kwa madenge tukasaini.
Kwanini kwenye misiba ya kawaida hakuna huo utaratibu
 
Huu utamaduni sidhani kama unatufaa. Kwenye jamii nyingi utaratibu ni mziri sana.

Kukiwa na msiba
1. Kuna daftari la rambirambi ambalo watu wanatoa fedha au vitu.

2. Jamii nyingine watu wanenda na vyakula

Sasa haya mambo ya kizungu ya kusaini na kupigwa picha naona kama tunapoteza kitu fulani ivi kizuri
Nadhani huo utamaduni kwa Africa hasa Tanzania hatuna,
 
Kukitokea misiba hasa ya viongozi au watu maarufu huwa naona kuna kitabu cja wageni . Lakini kwenye misiba ya kawaiada huwezi kukuta kitu kama hicho zaidi ya kitabu cha michango ambayo ndio tafsiri sahihi ya rambirambi kwa huku uswahili.

Je kile kitabu cha kusaini kina maana gani?

Na rambi rambi kwenye misiba ya wakubwa hatutoi pesa?

Na je nani anaruhusiwa kusaini kwemye hiki kitabu maana ninavyo ona ni kama wakubwa tuu wanaruhusiwa na kama ni hivyo hata mimi mwemyekiti wa wasoma comment hapa JF naweza saini?

Nampongera IGP kwa kufika kwenye msiba.

View attachment 1088098
Kabla hatujaenda mbali....huwa wanasaini ili iweje?
 
Wanaaandika kwa mfano mimi naenda kuandika kwenye hicho kitabu cha Mengi. "Nimesikitika sana Mengi umetuacha,ulikuwa mtu muhimu sana. Nakumbuka ulipokuwa kwenye kamati ya Tacaids uliwahi kusema kwa nini mtu afe kwa raha ya dakika moja? Watu watumie condom,Poleni sana familia muendeleze yale mazuri aliyoacha Mzee DR Mengi"mimi Kwangu Masanja.
 
Mfano mzuri! Swali ni je, kwanini watu mashuhuri tu mdo wanasaini...kwanini mimi Juma wa Tegeta muuza maji nikienda nisisaini???
 
Wanaaandika kwa mfano mimi naenda kuandika kwenye hicho kitabu cha Mengi. "Nimesikitika sana Mengi umetuacha,ulikuwa mtu muhimu sana. Nakumbuka ulipokuwa kwenye kamati ya Tacaids uliwahi kusema kwa nini mtu afe kwa raha ya dakika moja? Watu watumie condom,Poleni sana familia muendeleze yale mazuri aliyoacha Mzee DR Mengi"mimi Kwangu Masanja.
Anhaa sawa sawa mkuu hapo nimeelewa sasa....yaani nilijua eti wanasaini tu halafu basi...nikawaza wanataka kujua waliokuja msibani na ambao hawakuja au?
 
Back
Top Bottom