nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,675
Wasalaam wanajamii forum...
Napenda kuchukua fursa hii kwa wale wote wapenzi wa Vitabu vya Joram Kiango vilivyoandikwa na mtunzi Ben R. Mtobwa kuwa SALAMU TOKA KUZIMU vitaingia sokoni tarehe 3/3/2016. Vitabu vinavyopatikana hadi sasa ni ROHO YA PAKA, TUTARUDI NA ROHO ZETU? MIKONONI MWA NUNDA, NAJISIKIA KUUA TENA, MTAMBO WA MAUTI NA MIKATABA YA KISHETANI. Kila nakala inauzwa kwa shilingi 10,000 tu. Vitabu vinapatikana Mwanza kwa simu namba 0763886672, Kinondoni Kituo cha kanisani, Posta mpya karibia na sanamu mbele ya Hd pharmacy, Bunju mwanzo kituo cha Jumbe barabara ya mkanada, Tegeta Nyuki, na Arusha kwa namba 0755366822. Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0712504985 au 0763044459.
KARIBUNI SANA MJIPATIE NAKALA ZENU....