Kitabu cha Quran ni rahisi kukikariri

Kitabu cha Quran ni rahisi kukikariri

Kwani uongo Mzee? Quran ukiiandika kwa font za biblia ni kama kidaftari cha mtoto wa baby care
Kwani mkuu hapa unalinganisha ukubwa wa Qur'an na Biblia au unazungumzia uwezo wa kuhifadhi Qur'an?
 
Nazungumzia kukariri Quran ,ni kitu simple tu
Sasa mbona unakuwa unalinganisha na ukubwa wa biblia kwani wakristo wamejaribu kukariri biblia wameshindwa kwa sababu ya ukubwa wake? Sioni mantiki ya kulinganisha.
 
Sasa mbona unakuwa unalinganisha na ukubwa wa biblia kwani wakristo wamejaribu kukariri biblia wameshindwa kwa sababu ya ukubwa wake? Sioni mantiki ya kulinganisha.
Bado tu hujaona mantiki?
 
Bado tu hujaona mantiki?
Kuna wakristo walijaribu kukariri biblia wakashindwa kwa sababu ya ukubwa wa biblia? Wewe unasema umewahi kukariri msahafu mzima na unasema ni rahisi kukariri Qur'an ila nimekuwa nakuuliza je ni jambo gani linafanya waislamu waone kakariri Qur'an ni jambo lisilo jepesi? Eleza kwa uzoefu wako.
 
Uvivu tu wa kusoma na kufikiria
 
Kuna wakristo walijaribu kukariri biblia wakashindwa kwa sababu ya ukubwa wa biblia? Wewe unasema umewahi kukariri msahafu mzima na unasema ni rahisi kukariri Qur'an ila nimekuwa nakuuliza je ni jambo gani linafanya waislamu waone kakariri Qur'an ni jambo lisilo jepesi? Eleza kwa uzoefu wako.
Mada ipo clear kabisa ,why ni rahisi sana kuikariri Quran,

Nimetoa na mifano ,Quran ni kijitabu kidogo sana ,kama ukiiandika kwa font za biblia,basi ni sawa na kijidaftari cha mtoto .

Nikasema pia imeandikwa kwa mfumo au mtindo wa mashairi hivo ni rahisi kugani na kuikariri

Sasa sijui unauliza nini tena
 
Nimekujibu kuwa hiyo hoja yako au sababu zako zipo kinadharia ila uhalisia haupo hivyo huko madrasa, ingekuwa ni rahisi hivyo basi karibu kila muislamu alieyesoma madrasa angekuwa kakariri msahafu mzima na wala kusingekuwa na mashindano ya kuhifadhi Qur'an kwa sababu ni kitu ambacho ni chepesi hivyo.

Sasa kama kukariri Qur'an ni jambo jepesi kwanini wenyewe waislamu hawaoni hivyo bali huona si jambo jepesi?
 
Leta hoja sio vihoja asilimia 80 ya biblia ni stori za vijiweni sio maneno ya yesu kama nadanganya leta hoja
Kama Quran tu Haina mpangilio,Haina mtiririko mzuri mtu akisoma aelewe,utaelewa nini kuhusu historia ya mwanadamu,?

Biblia ni mkusanyo wa vitabu takatifu vilivyoandikwa katika nyakati tofauti kwa zaidi ya miaka 1500 na waandishi zaidi ya 40 walioongozwa na Roho wa Mungu (2 Timotheo 3:16). Maneno ya Yesu yapo hasa katika Injili (Mathayo, Marko, Luka na Yohana), lakini ujumbe wa Yesu haukuanza tu alipozaliwa Bethlehemu ,

Yeye ni Neno aliyekuwako tangu mwanzo (Yohana 1:1-14). Hivyo, hata Agano la Kale linaonyesha mapenzi ya Mungu na kumtaja Yesu kwa mfano na unabii (Isaya 53, Zaburi 22, Mika 5:2 n.k).

Biblia imejaa unabii mwingi uliotimia kihistoria, na mingine bado inatimia au inasubiri kutimia. Mfano...

– Nabii Nahumu alitabiri kuwa mji wa Ninawi, ambao ulikuwa mji mkuu wa Dola ya Ashuru, ungeangamizwa na hautajengwa tena (Nahumu 1:8–10; 3:19). Leo hii, eneo hilo liko karibu na Mosul ya Iraq, na kweli halijawahi kujengwa tena kama ilivyokuwa zamani.

– Isaya 7:14 alitabiri kuzaliwa kwa mtoto wa bikira, jambo ambalo lilitimia kwa Yesu Kristo (Mathayo 1:22-23).

– Mika 5:2 alitabiri kuwa Masihi atazaliwa Bethlehemu, jambo ambalo pia lilitimia.

– Zaburi 22 na Isaya 53 zilitabiri mateso na kusulubiwa kwa Masihi kwa undani mkubwa, kabla hata ya msalaba kuanza kutumika kama chombo cha adhabu.

– Danieli 9:25-26 alitabiri kwa usahihi wakati wa kuja kwa Masihi na hata kifo chake.

Mambo kama haya huwezi kuyapata kwenye Quran,
 
Nimekujibu kuwa hiyo hoja yako au sababu zako zipo kinadharia ila uhalisia haupo hivyo huko madrasa, ingekuwa ni rahisi hivyo basi karibu kila muislamu alieyesoma madrasa angekuwa kakariri msahafu mzima na wala kusingekuwa na mashindano ya kuhifadhi Qur'an kwa sababu ni kitu ambacho ni chepesi hivyo.

Sasa kama kukariri Qur'an ni jambo jepesi kwanini wenyewe waislamu hawaoni hivyo bali huona si jambo jepesi?
Madrasa ni rahisi bana Mimi nimepita ,kule ni uwezo wako tu wa kukariri
 
Mada za mpira zimekushinda umehamia kwenye dini tena..😁
 
Inashangaza kwa sababu wenyewe waislamu ndio wenye kujihusisha na kukariri Qur'an na wenyewe hawajawahi kuona kuwa ni jambo jepesi tena si kwa kukariri Qur'an yote bali hata nusu yake ila ajabu asiye muislamu na kujihusisha na kukariri Qur'an anaona ni jambo jepesi.
 
Sema: Lau watakusanyika watu na majini ili walete mfano wa hii Qur'ani basi hawaleti mfano wake, hata wakisaidiana wao kwa wao.
Al-israa : 88

Quran ilishajua utakuja na huu uzi na haujaanza wewe kuhoji wala kukichukulia poa kitabu cha Allah, wengine waliopita na wewe hapo tunaomba uje na mfano wa Quran walau aya 1 tu.
Ilijua wapi bwana wewe umesoma secular education alafu bado zwazwa!

Koran ilikuwa inajilinda hapo dhidi ya kukataliwa kwake maana koran ni chuki na uhuni
 
Inashangaza kwa sababu wenyewe waislamu ndio wenye kujihusisha na kukariri Qur'an na wenyewe hawajawahi kuona kuwa ni jambo jepesi tena si kwa kukariri Qur'an yote bali hata nusu yake ila ajabu asiye muislamu na kujihusisha na kukariri Qur'an anaona ni jambo jepesi.
Uislamu ni dini ya watu wasio na maarifa ya kidunia yani kama ni wanafunzi basi ni wanafunzi wajinga hawahitaji kusoma kuelewa basi kusoma kukalili ili mambo yao yaende!

Ndio maana jambo la kwanza na la muhimu kwa muislamu mtiifu ni kuikalili koran kuliko chochote kile

Abdool kuna ujinga mwingi sana unao unaotokana na imani yako ukijitafakari utauona
 
Lini umeona waislamu wanasema kwamba kukariri Qur'an ni jambo rahisi?
Kwamba ni vigumu? Mtu anayekwenda madrasa toka akiwa mdogo na kuambiwa hiyo elimu ni bora kuliko ya makafiri atazingatia nini?
 
KWANINI NI RAHISI KUIKARIRI QURAN?

Watu wengi wanaweza kuhifadhi nyimbo za Bongo Fleva, hadithi au mashairi ya Kiarabu, lakini hiyo haimaanishi kuwa ni Neno la Mungu. Kuweza kukariri kitu hakuthibitishi kuwa ni cha kiungu.

Vivyo hivyo, hoja kwamba Qur’an ni rahisi kukaririka haithibitishi uungu wake.

Qur’an iliandikwa kwa mtindo wa mashairi ya Kiarabu (balagha), ambao ni mtindo wa kifasihi uliokuwa maarufu sana miongoni mwa Waarabu kabla ya Uislamu.

Waarabu walikuwa jamii ya kihistoria iliyotegemea ushairi na masimulizi ya mdomo. Hivyo, walikuwa hodari wa kukariri mashairi na nyimbo.

Muhammad mwenyewe alizaliwa katika mazingira hayo na Qur’an inafuata mtindo huo wa kishairi, jambo ambalo linasaidia kuwa rahisi kuhifadhi.

Kwa hiyo, urahisi wa kuihifadhi Qur’an hauoneshi uungu wake, bali ni matokeo ya kutumia mbinu za kifasihi zinazojulikana na kukubalika sana katika jamii hiyo ya Kiarabu ya wakati huo.

Pia QURANI ni kitabu kidogo sana , Ukitazama ukubwa wa Qur’an ukilinganisha na Biblia, Qur’an ni ndogo sana. Kwa mfano

Qur’an ina jumla ya Aya 6,236 (isipokuwa baadhi wanataja 6,349 kulingana na mpangilio), na ina jumla ya takriban 77,430 za maneno.

Agano Jipya peke yake lina Aya 7,957, na lina jumla ya takriban 181,253 za maneno — tayari ni kubwa zaidi ya Qur’an nzima.

Biblia nzima (Agano la Kale na Jipya) ina jumla ya Aya 31,102 na maneno 783,137.

Hii inaonesha kuwa Qur’an ni fupi mno, haina wigo mpana wa maelezo ya historia ya mwanadamu, hatima, wokovu, tabia ya Mungu na kazi yake kwa binadamu kama ilivyoelezwa kwenye Biblia.

Hakuna mpangilio wa matukio kama vile kuumbwa kwa dunia, agano la Mungu na watu wake, maisha ya manabii mbalimbali kwa muktadha wa kihistoria, ujio wa Masihi, mateso yake, kifo na kufufuka kwake kwa ajili ya wokovu wa wanadamu.,Ni ngumu hata kuitumia Quran kufanyia shughuli za Archeology maana Haina mpangilio hata wa Chronology.

Tofauti na Injili ambayo inaleta ujumbe wa Mungu wa upendo kwa ulimwengu mzima kwa njia ya Yesu Kristo, Qur’an haielezi kwa kina juu ya dhambi, toba, neema, na wokovu wa milele kwa msingi wa upendo wa Mungu unaojitolea.

Qur’an inajikita zaidi katika sheria, hukumu, na matendo ya nje, badala ya kuzama kwenye mabadiliko ya moyo na kiroho.

Kulingana na wanazuoni wa Kiislamu kama al-Tabari na Ibn Ishaq, Muhammad aliwahi kutamka aya akiwatukuza masanamu wa Quraysh , Lat, Uzza na Manat akisema

“Hawa ni malaika wa Allah, na uombezi wao unakubalika.”

Baadaye alikana maneno hayo na kusema kuwa Shetani alimghilibu na kumuingizia maneno hayo.

Tukio hilo linajulikana kama “Satanic Verses” (Aya za Shetani).Na wengi wanaojaribu kuliweka wazi Huwa wanasomewa Fatwa ya kifo mfano Salman Rushdie,n.k maana haitakiwi kuwekwa wazi.

Swali linakuja kwa Sisi wachambuzi ,wachunguzi na wasomaji wa hizi dini mbalimbali ,

Kama kweli Qur’an ni ya Mungu na Muhammad ni nabii wa kweli, je, inawezekanaje Shetani aingize aya kwenye ufunuo wa Mungu bila kugundulika mapema?

Kama Shetani aliweza kumzidi maarifa Nabii huyo, basi usahihi wa Quran unaingia mashakani.

Hakuna tukio kama hilo linalosimuliwa katika maisha ya Yesu au Musa, ambao walionyesha uwezo wa kupambanua sauti ya Mungu na ile ya adui bila kuchanganya.

Katika maeneo mengi ya Afrika na hata Uarabuni, Qur’an hutumika na baadhi ya waganga wa kienyeji katika kuagua majini, kutoa ndumba au kufukuza mapepo. ,Nadhani mshakutana sana na Nazi zenye maneno ya kiarabu ,n.k

Kuna Aya maalum zinazoitwa "Aya za Kinga" au "Aya za Ruqyah" ambazo hutumika kwa shughuli hizo. (NITALETA MADA HII PANAPO MAJAALIWA)

Hii ni tofauti kabisa na Biblia, ambayo inaonesha wazi kuwa Neno la Mungu haliwezi kuchanganywa na uchawi au waganga. Katika Biblia, watu walipokuwa wanamwamini Yesu, walichoma vitabu vyao vya uchawi hadharani (Mdo. 19:19).

Kwa hiyo, hoja kwamba Qur’an ni rahisi kukaririka haiwezi kuwa msingi wa kudai uungu wake.

Kitabu hicho ni kidogo, kina vipengele vilivyopokewa kutoka kwenye mila za Kiarabu, na hata kinasimuliwa kuwa kilishawahi kuingiliwa na Shetani.

Kinyume chake, Biblia ni pana, kina, ina historia ya wokovu kutoka Mwanzo hadi Ufunuo, na mafundisho yake yamebeba ujumbe wa neema na upendo wa Mungu kupitia kwa Yesu Kristo.

Wokovu wa kweli hauji kwa kukariri, bali kwa kumjua na kumpokea Mwana wa Mungu
Yesu Kristo aliye Njia, Ukweli na Uzima (Yohana 14:6).
Sawa Zumaridi tumekusikia, ila utapata tabu sana, halafu muulize mamaako akuambie babaako halisi
 
Back
Top Bottom