Kitabu cha Quran ni rahisi kukikariri

Kitabu cha Quran ni rahisi kukikariri

Umeeleza kinadharia ila uhalisia hali haipo hivyo maana ingekuwa kila muislamu kuhifadhi Qur'an lingekuwa jambo la kawaida.
Ukiamua ni jambo la kawaida ,maana Mimi nilihifadhi yote ,tulikuwa tunapishana namna ya kuisoma tu
 
hamis77

Inatosha sasa. Hebu acha wapumue na wao.
Ila kama Wakichokoza na wakijifanya hawaelewi, bas unatoa elimu na maarifa zaid .
 
Ukiamua ni jambo la kawaida ,maana Mimi nilihifadhi yote ,tulikuwa tunapishana namna ya kuisoma tu
Kama wewe ulihifadhi yote unaweza ukaelezea kipi kinafanya ionekane kuna ugumu wa kuhifadhi Qur'an na hadi kuwe na mashindano kabisa?
 
Kama wewe ulihifadhi yote unaweza ukaelezea kipi kinafanya ionekane kuna ugumu wa kuhifadhi Qur'an na hadi kuwe na mashindano kabisa?
Mashindano yale ni project za watu kupiga pesa ndio maana hata ndani ya waislamu wenyewe Kuna mifarakano kuhusu hayo matamasha

Kama hujui nakujuza
 
Nipo ndani ya Yesu ,sasa Yesu anarogeka?😂😂
Hivyo ndivyo wewe unavyoamini ila mimi nauliza uhakika wa wewe unajuaje hapo ulipo haujarogwa au kurogwa dalili yake ni kuokota makopo au kupagawa na mapepo tu?
 
Hivyo ndivyo wewe unavyoamini ila mimi nauliza uhakika wa wewe unajuaje hapo ulipo haujarogwa au kurogwa dalili yake ni kuokota makopo au kupagawa na mapepo tu?
Kama Yesu harogeki ,basi Mimi siwez hata kusogelewa na mchawi ,nishakaa nyumba zilizoshindikana kwa uchawi na wachawi wamenishindwa

Karibu kwa Yesu kristo
 
Mashindano yale ni project za watu kupiga pesa ndio maana hata ndani ya waislamu wenyewe Kuna mifarakano kuhusu hayo matamasha

Kama hujui nakujuza
Ndio nauliza kipi kinafanya ionekane kuhifadhi Qur'an si jambo jepesi? Maana hayo mashindano pamoja na mitazamo tofauti kama usemavyo ila lengo lao ni kuhamasisha huko kuhifadhi Qur'an kutokana na msingi wa hoja ya kwamba kuhifadhi Qur'an si jambo jepesi.
 
Ni kushindana lahaja tu ,hakuna kipya
 
Kama Yesu harogeki ,basi Mimi siwez hata kusogelewa na mchawi ,nishakaa nyumba zilizoshindikana kwa uchawi na wachawi wamenishindwa

Karibu kwa Yesu kristo
Wewe umejuaje wamekushindwa? Uliingia nao battle au waliahidi kukuroga ama vp yani? Maana kuishi nyumba au mtaa wenye wachawi sio kwamba lazima watataka kukuroga pia.
 
Baadae ilibidi sasa nikasome lugha ya kiarabu
Duh sema kukariri Quran na kusoma kiarabu halafu ukaacha dini, utakuwa na IQ kubwa sana?
Mwanzoni haikukutesa?

Maana kunakuwa na part kubwa ya ubongo wako imekariri mavitu ambayo Sasa huna kazi nayo tena.
Halafu ubongo huwa unatumia lugha kufikiri. Kwahyo Kuna part ya mawazo yanaumbwa kutokana na lugha zilizopo kichwani

Kama ulijaza maviarabu na kuyaacha...dah ni shughuli SI ya kitoto. Unaweza PATA Identity crisis
Unaweza kuwa chizi ase.
 
Umeeleza kinadharia ila uhalisia hali haipo hivyo maana ingekuwa kila muislamu kuhifadhi Qur'an lingekuwa jambo la kawaida.
Watu tunatofautiana uwezo wa kukariri
Hata akirudi Muhammad na kuwaambia album ya Westlife ni maneno ya Allah inabidi watu waikariri...Bado wapo Wengi tu hawatafanya/hawataweza
 
Sema: Lau watakusanyika watu na majini ili walete mfano wa hii Qur'ani basi hawaleti mfano wake, hata wakisaidiana wao kwa wao.
Al-israa : 88

Quran ilishajua utakuja na huu uzi na haujaanza wewe kuhoji wala kukichukulia poa kitabu cha Allah, wengine waliopita na wewe hapo tunaomba uje na mfano wa Quran walau aya 1 tu.
 
Back
Top Bottom