UtdProfile_
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 327
- 421
Kukaa kmya nae ni jibu lknNi kawaida kwa mtu akikosa hoja
Kukaa kmya nae ni jibu lknNi kawaida kwa mtu akikosa hoja
Mbona unaongea kwa kujiamini kitu ambacho si cha kweli?Na ndio wanaoshinda kila mwaka
Ndio nasema kudai kwamba kukariri Qur'an ni jambo jepesi si kweli, wenyewe hao waislamu ambao hujihusisha na kukariri Qur'an hawasemi kuwa kukariri qur'an ni jambo jepesi.na ndicho nilichokisema.hakuna neno special katika komemt yangu.
Acha kuzunguka zunguka asilimia 80% ya biblia ni stori za vijiweni Yesu hazijui kabsa mambo ya kuongozwa na roho ww umeyatoa wapi?Kaka, kusema kuwa 80% ya Biblia ni "stori za vijiweni" ni dhihaka isiyo na msingi wowote wa kielimu. Biblia ni maandiko yenye historia, sheria, unabii na mafundisho ya kiroho yaliyobeba ujumbe wa wokovu toka mwanzo hadi mwisho. Yesu mwenyewe alithibitisha kuwa hakuja kuibatilisha Torati bali kuitimiza, hivyo si sahihi kudharau aya zilizokuwepo kabla yake. Na kuhusu Qur'an, ukweli ni kwamba hata Muhammad hakuikusanya, hakuiweka kwa mpangilio, na Qur'an ya leo si ile aliyosoma. Hii ya sasa ni toleo la Uthman, tena limepitia mikono mingi hadi tukafika kwenye kiraa tofauti kama Hafs na Warsh. Kama kweli Qur’an ni ya Mungu, kwanini ijae mkanganyiko kiasi hicho? Tuwe wakweli na tujadili kwa hoja, si kwa kejeli.
Wewe ni kilaza na wala sihitaji kukujua kujua hilo zaidi ya mada zako humu za ufia dini, Hii inatosha sana kutoa psychometric analysis ya kiwango cha akili yako na elimuUnaongea as if unanijua 😂
Yesu ndiye msingi wa Agano Jipya mafundisho yake, maisha yake, kifo na kufufuka kwake ndivyo vinavyounda Agano hilo.Acha kuzunguka zunguka asilimia 80% ya biblia ni stori za vijiweni Yesu hazijui kabsa mambo ya kuongozwa na roho ww umeyatoa wapi?
Pinga kama Yesu anayajua au hayajui acha blablablah
Maneno ya Yesu kwenye biblia ni asilimia 20 tu, acha ngonjera jibu swali.Yesu ndiye msingi wa Agano Jipya mafundisho yake, maisha yake, kifo na kufufuka kwake ndivyo vinavyounda Agano hilo.
Si kwamba hakuwa anajua Agano Jipya, bali Agano Jipya lilikuwa linajengwa juu yake mwenyewe alipokuwa hai.
Mitume waliokuja baada yake waliandika yale waliyoyaona, kusikia na kufundishwa moja kwa moja kutoka kwake. Huwezi kusema "hayajui Agano Jipya" wakati yeye ndiye aliyetamka maneno yaliyokuja kuandikwa humo.
Kama mwandishi wa kitabu hajui kilichoandikwa, basi nani anajua? Huo ni upotoshaji wa hali ya juu unaotokana na kuchukia bila kuelewa.
Yesu ndiye msingi wa Agano Jipya mafundisho yake, maisha yake, kifo na kufufuka kwake ndivyo vinavyounda Agano hilo.Acha kuzunguka zunguka asilimia 80% ya biblia ni stori za vijiweni Yesu hazijui kabsa mambo ya kuongozwa na roho ww umeyatoa wapi?
Pinga kama Yesu anayajua au hayajui acha blablablah
Maneno ya Yesu tunayayaamini kikamilifu, lakini pia tunayaamini maneno ya manabii waliotangulia kwa sababu walikuwa wakitumiwa na Mungu kutabiri ujio wake, maisha yake, mateso yake na utukufu wake. Je, unataka tuichukue Biblia robo tu—tuchukue maneno ya Yesu halafu tuwakatae manabii waliomtangulia? Huo sio uelewa bali ni kujichanganya. Maandiko yote yanaungana; unabii wa Agano la Kale umetimia kwa Yesu wa Agano Jipya. Huwezi kumuelewa Yesu vizuri bila kuelewa unabii uliomtabiri, kama Isaya 53, Zaburi 22 au Mika 5:2. Kwa hiyo kusema tunapaswa kuamini maneno ya Yesu tu na kuyatupa mengine ni kupotosha na kukwepa ukweli kwa makusudi.Maneno ya Yesu kwenye biblia ni asilimia 20 tu, acha ngonjera jibu swali.
Ni maneno ya vijiweni au sio vijiweni?
Kunguru kayadonoa alafu kapeleka mashine yale mavi ya hamis77Alipeleka machine Nini!?
Aliye peleka Machine ni nani!? Hamis ama Kunguru.
Ndo maneno nasema ww akili zako hazifanyi kazi vizuri wapi nmesema maneno ya manabii walipita kabla ya yesu maneno yao ni ya vijiweni?Yesu ndiye msingi wa Agano Jipya mafundisho yake, maisha yake, kifo na kufufuka kwake ndivyo vinavyounda Agano hilo.
Si kwamba hakuwa anajua Agano Jipya, bali Agano Jipya lilikuwa linajengwa juu yake mwenyewe alipokuwa hai.
Mitume waliokuja baada yake waliandika yale waliyoyaona, kusikia na kufundishwa moja kwa moja kutoka kwake. Huwezi kusema "hayajui Agano Jipya" wakati yeye ndiye aliyetamka maneno yaliyokuja kuandikwa humo.
Kama mwandishi wa kitabu hajui kilichoandikwa, basi nani anajua? Huo ni upotoshaji wa hali ya juu unaotokana na kuchukia bila kuelewa.
Maneno ya Yesu tunayayaamini kikamilifu, lakini pia tunayaamini maneno ya manabii waliotangulia kwa sababu walikuwa wakitumiwa na Mungu kutabiri ujio wake, maisha yake, mateso yake na utukufu wake. Je, unataka tuichukue Biblia robo tu—tuchukue maneno ya Yesu halafu tuwakatae manabii waliomtangulia? Huo sio uelewa bali ni kujichanganya. Maandiko yote yanaungana; unabii wa Agano la Kale umetimia kwa Yesu wa Agano Jipya. Huwezi kumuelewa Yesu vizuri bila kuelewa unabii uliomtabiri, kama Isaya 53, Zaburi 22 au Mika 5:2. Kwa hiyo kusema tunapaswa kuamini maneno ya Yesu tu na kuyatupa mengine ni kupotosha na kukwepa ukweli kwa makusudi.
naomba nikujibu kwa heshima lakini kwa msimamo. Siyo kweli kusema kwamba asilimia 80 ya Agano Jipya ni stori za “wanywa kahawa” au maneno ya vijiweni. Huo ni mtazamo wa dharau kwa maandiko matakatifu ambayo hata Qur’an inayaheshimu kwa kusema yaliteremshwa na Mungu (Qur’an 5:46).Ndo maneno nasema ww akili zako hazifanyi kazi vizuri wapi nmesema maneno ya manabii walipita kabla ya yesu maneno yao ni ya vijiweni?
Agano jipya asilimia 80 ni stori za wanywa kahawa baada ya yesu kuondoka hapo na asilimia 20 ndo mafundisho yake na manabii kabla yake hiyo 80% iliyobak ni store zq vijiweni na wanywa kahawa WA zamani, Sasa ukipinga uje na hoja sio maelezo mengi yasiyo na maana
Unaendelea kuzunguka zunguka bado hujibu hoja naomba unijibu maneno ya yesu na manabii wa kale ni asilimia 20 tu biblia, hzo asilimia 80 zilizobaki ni stori za vijiweni na wanywa kahawa wa zamani sio maneno ya MUNGU wala aliowatuma ( jibu ndio au hapana) na yesu anayajua au hayajui?naomba nikujibu kwa heshima lakini kwa msimamo. Siyo kweli kusema kwamba asilimia 80 ya Agano Jipya ni stori za “wanywa kahawa” au maneno ya vijiweni. Huo ni mtazamo wa dharau kwa maandiko matakatifu ambayo hata Qur’an inayaheshimu kwa kusema yaliteremshwa na Mungu (Qur’an 5:46).
Agano Jipya linajumuisha Injili, ambazo ni simulizi za maisha, mafundisho, kifo na ufufuo wa Yesu Kristo haya si stori za kupuuzwa bali ndio msingi wa imani ya Kikristo. Kila mafundisho ya Yesu, kila miujiza aliyotenda, kila mfano alioeleza, yote haya yamebeba maana kubwa ya kiroho ambayo imebadilisha maisha ya watu kwa maelfu ya miaka hadi leo.
Isitoshe, hata maandiko yaliyoandikwa baada ya Yesu kupaa mbinguni, kama vile Matendo ya Mitume, waraka wa Paulo, Petro, Yohana na wengine, hayawezi kuitwa stori za vijiweni. Ni mafundisho ya kina yaliyomwilishwa kwa makanisa ya wakati huo kuhusu namna ya kuishi maisha ya kiimani, kufundisha maadili, upendo, msamaha na utakatifu. Je, unaposema ni hadithi za watu wa vijiweni, unataka kusema mafundisho ya upendo kwa adui zako, kusaidia wajane na yatima, kuishi maisha ya kujizuia na ya utakatifu ni hadithi zisizo na maana?
Na kuhusu sehemu ya manabii, tunawaamini manabii wote waliotabiri kuhusu Yesu, na Agano Jipya linaonyesha jinsi walivyotabiri na jinsi zilivyotimia hiyo haijafuta umuhimu wa yale yaliyoandikwa baada ya ujio wa Yesu, bali imekamilisha mpango wa Mungu kwa wanadamu. Ndiyo maana hata Yesu alisema: "Sikuja kuondoa torati bali kuitimiliza." (Mathayo 5:17). Hivyo basi, usitazame Biblia kwa jicho la kubeza bali kwa nia ya kutafuta ukweli. Kama unayo hoja ya kupinga, basi lete hoja inayojitosheleza badala ya kejeli zisizo na msingi.
Unataka kusema kwamba maandiko ya Musa, Isaya, Yeremia, na Ezekieli watu ambao hata Qur’an inawataja kuwa ni mitume na manabii wa Mungu ni stori za wanywa kahawa?Unaendelea kuzunguka zunguka bado hujibu hoja naomba unijibu maneno ya yesu na manabii wa kale ni asilimia 20 tu biblia, hzo asilimia 80 zilizobaki ni stori za vijiweni na wanywa kahawa wa zamani sio maneno ya MUNGU wala aliowatuma ( jibu ndio au hapana) na yesu anayajua au hayajui?
We jamaa unatatzo mahali la kuelewaUnataka kusema kwamba maandiko ya Musa, Isaya, Yeremia, na Ezekieli watu ambao hata Qur’an inawataja kuwa ni mitume na manabii wa Mungu ni stori za wanywa kahawa?
Hiyo ni dharau ya wazi kwa watu wa Mungu waliopokea maono, sheria na unabii moja kwa moja kutoka kwa Mungu. Yesu mwenyewe aliyaamini na kuyafundisha hayo maandiko (Luka 24:27), na hakusema popote kwamba maandiko ya zamani ni batili .
Tena, unasema eti Yesu hajui hayo maandiko 80% yaliyobaki. Yesu ndiye Neno la Mungu aliye hai (Yohana 1:1-3), ndiye aliyekuwa pamoja na Mungu tangu mwanzo, na vyote viliumbwa kwa njia yake. Si tu anayajua, bali yeye ndiye aliyevuvia yale maandiko kupitia Roho Mtakatifu. Hivyo basi, kuyapuuza maandiko ni kumpuuza Kristo mwenyewe.
Sasa nikuguse kwenye upande wako,sijui kama unajua Qur’an haina hata manuscript (nakala ya awali) ya enzi ya Muhammad iliyohifadhiwa.
Kilichopo ni makusanyo ya watu waliokusanya aya kwa vichwa vyao wengine walivamiwa na njaa wakafa kabla hawajakumbuka zote (kama hadithi sahihi ya Bukhari inavyothibitisha).
Hiyo Qur’an yenu asilimia kubwa imechukua simulizi kutoka vitabu vya apokrifa vya Wayahudi waliokengeuka, Wakristo waasi (kama Injili ya Barnaba), na hata hadithi za kipagani kutoka Wapagani wa Kureshi na Wasabai watu waliokuwa na imani ya kuabudu miungu mingi, mwezi, jua, na majini.
Huo ni ukweli wa kihistoria ambao hauwezi kufichika tena katika zama hizi za taarifa.,teknolojia na utandawazi
Kwa hiyo, jibu langu ni HAPANA.
Siyo kweli kwamba Biblia ni stori za kahawa. Bali ni maandiko matakatifu yaliyoandikwa kwa ufunuo wa Mungu, na hata Yesu mwenyewe aliyathibitisha na kuyasimamia. Na kama Qur’an yako imekosa hata msingi wa kuaminika wa kihistoria na maandiko ya mwanzo, haina nguvu ya kuhukumu Neno la Mungu lililo hai na lenye historia, maandiko, na uthibitisho wa kihistoria wa karne nyingi.
Usifananishe na Quran ambayo Haina hata mtiririko wakueleweka
Mi toka kitambo namuamini Yesu kama wengine kabla yake hivo huna haja ya kunikaribishaKaribu kwa Yesu , muhamad hajui atakachofanywa yeye na wanaomfata
Jion njemaIsa sio Yesu ,wewe unamuamini tapeli Isa
We jamaa unachuki na Uislamu,, kama ni rahisi kuhifadhi, wewe umehifadhi juzuu ngapi??,, hizo propaganda zako unazoleta hazina mashiko,, Uislamu umekamilika na Qur'an haijaacha kuelezea kitu chochote,, we baki na chuki zako ila hivi karibuni utaujua ukweli na utakua umechelewaKWANINI NI RAHISI KUIKARIRI QURAN?
Watu wengi wanaweza kuhifadhi nyimbo za Bongo Fleva, hadithi au mashairi ya Kiarabu, lakini hiyo haimaanishi kuwa ni Neno la Mungu. Kuweza kukariri kitu hakuthibitishi kuwa ni cha kiungu.
Vivyo hivyo, hoja kwamba Qur’an ni rahisi kukaririka haithibitishi uungu wake.
Qur’an iliandikwa kwa mtindo wa mashairi ya Kiarabu (balagha), ambao ni mtindo wa kifasihi uliokuwa maarufu sana miongoni mwa Waarabu kabla ya Uislamu.
Waarabu walikuwa jamii ya kihistoria iliyotegemea ushairi na masimulizi ya mdomo. Hivyo, walikuwa hodari wa kukariri mashairi na nyimbo.
Muhammad mwenyewe alizaliwa katika mazingira hayo na Qur’an inafuata mtindo huo wa kishairi, jambo ambalo linasaidia kuwa rahisi kuhifadhi.
Kwa hiyo, urahisi wa kuihifadhi Qur’an hauoneshi uungu wake, bali ni matokeo ya kutumia mbinu za kifasihi zinazojulikana na kukubalika sana katika jamii hiyo ya Kiarabu ya wakati huo.
Pia QURANI ni kitabu kidogo sana , Ukitazama ukubwa wa Qur’an ukilinganisha na Biblia, Qur’an ni ndogo sana. Kwa mfano
Qur’an ina jumla ya Aya 6,236 (isipokuwa baadhi wanataja 6,349 kulingana na mpangilio), na ina jumla ya takriban 77,430 za maneno.
Agano Jipya peke yake lina Aya 7,957, na lina jumla ya takriban 181,253 za maneno — tayari ni kubwa zaidi ya Qur’an nzima.
Biblia nzima (Agano la Kale na Jipya) ina jumla ya Aya 31,102 na maneno 783,137.
Hii inaonesha kuwa Qur’an ni fupi mno, haina wigo mpana wa maelezo ya historia ya mwanadamu, hatima, wokovu, tabia ya Mungu na kazi yake kwa binadamu kama ilivyoelezwa kwenye Biblia.
Hakuna mpangilio wa matukio kama vile kuumbwa kwa dunia, agano la Mungu na watu wake, maisha ya manabii mbalimbali kwa muktadha wa kihistoria, ujio wa Masihi, mateso yake, kifo na kufufuka kwake kwa ajili ya wokovu wa wanadamu.,Ni ngumu hata kuitumia Quran kufanyia shughuli za Archeology maana Haina mpangilio hata wa Chronology.
Tofauti na Injili ambayo inaleta ujumbe wa Mungu wa upendo kwa ulimwengu mzima kwa njia ya Yesu Kristo, Qur’an haielezi kwa kina juu ya dhambi, toba, neema, na wokovu wa milele kwa msingi wa upendo wa Mungu unaojitolea.
Qur’an inajikita zaidi katika sheria, hukumu, na matendo ya nje, badala ya kuzama kwenye mabadiliko ya moyo na kiroho.
Kulingana na wanazuoni wa Kiislamu kama al-Tabari na Ibn Ishaq, Muhammad aliwahi kutamka aya akiwatukuza masanamu wa Quraysh , Lat, Uzza na Manat akisema
“Hawa ni malaika wa Allah, na uombezi wao unakubalika.”
Baadaye alikana maneno hayo na kusema kuwa Shetani alimghilibu na kumuingizia maneno hayo.
Tukio hilo linajulikana kama “Satanic Verses” (Aya za Shetani).Na wengi wanaojaribu kuliweka wazi Huwa wanasomewa Fatwa ya kifo mfano Salman Rushdie,n.k maana haitakiwi kuwekwa wazi.
Swali linakuja kwa Sisi wachambuzi ,wachunguzi na wasomaji wa hizi dini mbalimbali ,
Kama kweli Qur’an ni ya Mungu na Muhammad ni nabii wa kweli, je, inawezekanaje Shetani aingize aya kwenye ufunuo wa Mungu bila kugundulika mapema?
Kama Shetani aliweza kumzidi maarifa Nabii huyo, basi usahihi wa Quran unaingia mashakani.
Hakuna tukio kama hilo linalosimuliwa katika maisha ya Yesu au Musa, ambao walionyesha uwezo wa kupambanua sauti ya Mungu na ile ya adui bila kuchanganya.
Katika maeneo mengi ya Afrika na hata Uarabuni, Qur’an hutumika na baadhi ya waganga wa kienyeji katika kuagua majini, kutoa ndumba au kufukuza mapepo. ,Nadhani mshakutana sana na Nazi zenye maneno ya kiarabu ,n.k
Kuna Aya maalum zinazoitwa "Aya za Kinga" au "Aya za Ruqyah" ambazo hutumika kwa shughuli hizo. (NITALETA MADA HII PANAPO MAJAALIWA)
Hii ni tofauti kabisa na Biblia, ambayo inaonesha wazi kuwa Neno la Mungu haliwezi kuchanganywa na uchawi au waganga. Katika Biblia, watu walipokuwa wanamwamini Yesu, walichoma vitabu vyao vya uchawi hadharani (Mdo. 19:19).
Kwa hiyo, hoja kwamba Qur’an ni rahisi kukaririka haiwezi kuwa msingi wa kudai uungu wake.
Kitabu hicho ni kidogo, kina vipengele vilivyopokewa kutoka kwenye mila za Kiarabu, na hata kinasimuliwa kuwa kilishawahi kuingiliwa na Shetani.
Kinyume chake, Biblia ni pana, kina, ina historia ya wokovu kutoka Mwanzo hadi Ufunuo, na mafundisho yake yamebeba ujumbe wa neema na upendo wa Mungu kupitia kwa Yesu Kristo.
Wokovu wa kweli hauji kwa kukariri, bali kwa kumjua na kumpokea Mwana wa Mungu
Yesu Kristo aliye Njia, Ukweli na Uzima (Yohana 14:6).