Kitabu cha Mwanzo katika Bible ndio msingi wa mambo matatu duniani! Intelijensia, Sayansi na Uchawi

Sayansi iliyobeba siri kubwa
hqdefault.jpeg
 
Apo mwanzo mungu aliumba mbingu na nchi " ina maaana yeye hakai mbinguni wala aridhini.karibuni
 
GENESIS.
IT STARTS WITH LETTER "G"
#LETTER G HAS SEEN IN FREEMASON.
#LETTER G SEEN IN PYRAMID,ON TOP.
#POWER OF LETTER G TO THE WORLD.
 
GENESIS.
IT STARTS WITH LETTER "G"
#LETTER G HAS SEEN IN FREEMASON.
#LETTER G SEEN IN PYRAMID,ON TOP.
#POWER OF LETTER G TO THE WORLD.
N.b.Bible imeandikwa katika msingi wa siri kubwa sana,na mfumo wa ajabu,"in codes".
#Vipo vifungu ambavyo vikitumiwa kwa hesabu maalum,HULETA JAMBO TARAJIWA KWA HARAKA AIDHA ZURI AU BAYA.KWA KADRI MUOMBAJI ATAKAVYOTAKA.
Biblia sio kitabu cha kispoti spoti kama jinsi watu wengi wanavyodhani,this is a sleeping giant sphinx.
 
Biblia sio kitabu cha kispoti spoti kama jinsi watu wengi wanavyodhani,this is a sleeping giant sphinx.
GENESIS.
IT STARTS WITH LETTER "G"
#LETTER G HAS SEEN IN FREEMASON.
#LETTER G SEEN IN PYRAMID,ON TOP.
#POWER OF LETTER G TO THE WORLD.
N.b.Bible imeandikwa katika msingi wa siri kubwa sana,na mfumo wa ajabu,"in codes".
#Vipo vifungu ambavyo vikitumiwa kwa hesabu maalum,HULETA JAMBO TARAJIWA KWA HARAKA AIDHA ZURI AU BAYA.KWA KADRI MUOMBAJI ATAKAVYOTAKA.
Biblia sio kitabu cha kispoti spoti kama jinsi watu wengi wanavyodhani,this is a sleeping giant sphinx.

Jr
 
Hivi una IQ ngapi mkuu, nikisoma thread zako wiki nzima nawaza nilichosoma muda na wakati wote....maana Ni madini yasiyoelezeka, nilimuona Yule Kamanda akitolea maelezo yako ya JF Tena kataja pasipo kigugumizi sikuamini
Biblia sio kitabu cha kispoti spoti kama jinsi watu wengi wanavyodhani,this is a sleeping giant sphinx.

Jr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jina huathiri muktadha, asili, chanzo na uhalisia wa kitu..... Kitabu cha MWANZO katika Biblia takatifu ndicho kitabu msingi kinachosomwa zaidi duniani... Tena na imani na dini zote...
Nukuu na rejea nyingi kwenye malumbano mijadala, tafiti za kisayansi, tafiti za kilozi na kishirikina, ulimwengu wa nguvu ya 'supernatunal powers (nguvu zisizomithilika) na hata maandiko mbalimbali yahusuyo asili na chanzo cha ulimwengu... Huwezi kuacha kutaja kitabu hiki....
Masomo ya sayansi, fizikia, baiolojia, historia, kemia historia, filosofia uchawi na ulozi.. Yote haya katika ujumla wake unayapata katika kitabu hiki cha MWANZO....
Unaposoma... MUNGU AKATAMKA NA IKAWA... hii ni aina ya ushirikina, imani katika nguvu za asili na uwezo wa kuumba na kuunda kwa matamshi tu... Sayansi iwayo yote haina uwezo huu... Mambo hayo kwasasa ni ya manabii mitume na wachawi(wanga na washirikina)
Mungu anapotamka kuwa kaumba viumbe vyote... VINAVYOONEKANA NA VISIVYOONEKANA... mpaka leo hii sayansi imeshindwa kutoa jibu sahihi juu ya hivyo VISIVYOONEKANA!
Hapa ndipo inabidi turudi kwenye rejea ya kitabu cha MWANZO na kuona nini kilisemwa na kikawa halafu kikawaje! Na ndipo tunapata ufunuo wa ajabu na ugunduzi kwamba hii tunayoita SAYANSI YA ITHIBATI si chochote bali ni njia tu ya mwanadamu kujaribu kutafsiri kwa njia yake kile ambacho kilishaandikwa na kufanyika kwenye kitabu cha MWANZO
Hakuna kipya chini ya anga na kwa hakika bado hatujaweza kuvumbua kila kilichomo na kilichoandikwa kwenye zile kurasa chache za kitabu cha MWANZO
World encyclopedia, volumes kwa volumes za sutras, misahafu kwa misahafu, maandiko na mavitabu makubwa ya wanafilosofia maarufu kuwahi kutokea duniani... SUMMARY yao iko kwenye kitabu cha MWANZO

Kuna wenzetu wenye mawazo mbadala kuhusu Bible na kitabu cha mwanzo.. Ukiwa mwepezi wa tafakuri wanaweza kwa HAKIKA kabisa kukuteka na hoja zao mahiri kabisa lakini zisizo na hakika.. Ni wajenzi wazuri wa hoja zinazoteteresha kama wewe ni legelege lakini ukitulia na kutafakari hawana mwendelezo na hawaendi zaidi ya kilipokomea kitabu cha mwanzo...
Wataandika na kuchagiza kwa maneno mengi na misamiati huku wakiweka nukuu za wengine ambazo nazo zinaishia kwenye kuakisi kile kilichomo kwenye kitabu hicho cha mwanzo....
Tukirudi hapa JF hata jukwaa hili la intelligence kwa sehemu kubwa linatawaliwa na maandiko toka kitabu cha mwanzo...
Ni kwa Muktadha huu kitabu hiki cha MWANZO kinabaki kuwa chanzo kikuu, msingi, chimbuko na asili ya kila kitu katika maisha yetu ya kila siku... Iwe sayansi uchawi imani ama intelijensia....!!!
I salute you comrade
 
Asante sana hili la kubadili mtazamo wako kwangu halijatokea kwa bahati mbaya bali ni ufunuo wa kinabii na utimilifu wa nyakati katika jambo lililotarajiwa... Barikiwa zaidi
Nimezisoma dini na misahafu yao.. Na sheria zao na kanuni.. Nimeziabudu na kutenda kwa taratibu na sharia zao! Sikufanya haya kwa bahati mbaya... Nilikuwa natafuta kile ninachokitaka IMANI THABITI....!!!!
Moja ya sababu kwa nini ni mfuasi wako ktk mada chonganishi na fikirishi. Majibu Kuntu toka kwa swali la mtu mjinga asiye na weledi. Mtu anayedhani dini yake ndio ya Mungu na zingine ni za kubumba. Hajiulizi ikiwa ni ya Mungu kwanini hazifuti na kuiacha yake tu.

Bazazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom