Kitabu cha MWANZO katika Bible ndio msingi wa mambo matatu duniani! Intelijensia, Sayansi na Uchawi...

Che mittoga

Che mittoga

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2017
Messages
2,856
Likes
2,777
Points
280
Che mittoga

Che mittoga

JF-Expert Member
Joined Mar 28, 2017
2,856 2,777 280
Inshallah ngoja tupate na kauli ya zitto junior
Inaonekana hayupo hapa TZ. Labda akirudi.
Mimi nimejifunza mengi sana kwako Mshana jr.
Ndio maana huwa sikubishii ila nakusikiliza tu unavyotema cheche.
Hata Zitto jr, huwa namsikiliza tu na si mbishii.
Nachukua madini ya Hekima kwenu nyie wote.
Salute kwenu
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
105,987
Likes
128,527
Points
280
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
105,987 128,527 280

napokea kwa unyenyekevu mkuu
 
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Messages
10,279
Likes
11,288
Points
280
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2013
10,279 11,288 280
Nataka niachane kabisa na ulozi nikipata mtu wa kumkabidhi mfuko
:p:p:p umkabidhi JIWE mkuu.....

Kiufupi JF imenikutanisha na great thinkers wengi na kunisaidia kufahamu mambo ambayo sikuyafahamu mwanzoni kiufupi kila mada inayowekwa humu JF intelligence hutufanya tusome zaidi maana kila kitu kipya na kufikirisha.... Speaking of Mshana Jr kuna kipindi nimepita uswahilini maeneo ya mbagala nikakuta wanasoma ile mada yako ya LILITH na wanajadili nikagundua kumbe JF ina impact sana kwenye jamii.

Big up to all JF intelligence members.... Pia Much appreciation to Malcom Lumumba huwa ananiifluence sana kuingia humu jukwaani.
 
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Messages
10,279
Likes
11,288
Points
280
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2013
10,279 11,288 280
Sawa, mimi wewe na Zito inatupasa tukutane, anagalau tubadilishane mawazo. Basi ngoja nikae sawa nitakujulisha mkuu. Mshana jr
Itakuwa jambo zuri sana ukipatikana huo wasaa wakujuana nje ya hizi ID zetu... Maana kuna siku bhana mada moja humu JF ilikuwa moto sana nikadebate sana na mkuu mmoja dah nakuja kugundua baadae kumbe ile ID ni kaka yangu kabisa.... Hahahah kazi sana usikute kumbe Che mittoga ni shemeji yangu :D:p:p
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
105,987
Likes
128,527
Points
280
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
105,987 128,527 280
:p:p:p umkabidhi JIWE mkuu.....

Kiufupi JF imenikutanisha na great thinkers wengi na kunisaidia kufahamu mambo ambayo sikuyafahamu mwanzoni kiufupi kila mada inayowekwa humu JF intelligence hutufanya tusome zaidi maana kila kitu kipya na kufikirisha.... Speaking of Mshana Jr kuna kipindi nimepita uswahilini maeneo ya mbagala nikakuta wanasoma ile mada yako ya LILITH na wanajadili nikagundua kumbe JF ina impact sana kwenye jamii.

Big up to all JF intelligence members.... Pia Much appreciation to Malcom Lumumba huwa ananiifluence sana kuingia humu jukwaani.
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
105,987
Likes
128,527
Points
280
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
105,987 128,527 280
Itakuwa jambo zuri sana ukipatikana huo wasaa wakujuana nje ya hizi ID zetu... Maana kuna siku bhana mada moja humu JF ilikuwa moto sana nikadebate sana na mkuu mmoja dah nakuja kugundua baadae kumbe ile ID ni kaka yangu kabisa.... Hahahah kazi sana usikute kumbe Che mittoga ni shemeji yangu :D:p:p
imagine ungemtusi sasa.. Japo najua huwezi kufanya hivyo
 
Loeb S Mpalasinge

Loeb S Mpalasinge

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2013
Messages
1,028
Likes
588
Points
280
Loeb S Mpalasinge

Loeb S Mpalasinge

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2013
1,028 588 280
Kinachoondoa uhalisia wa hiki kitabu unachokiita Yashari ni kwamba,,,hichi ndio kile original walichokizingatia Yoshua na Samuel???? Au kimeandikwa na Wataalam flani tu??? Kina tofauti gani na injili ya baraba,,au injili ya Eva,,au injili ya mariamu Magdalene??? Je waandishi wake sio watu wenye lengo linaloshabihiana?
Kama ni hivyo kwanini Joshua,Nabii Samuel na Timotheo wamenukuu hicho kitabu na maneno yake kuwekwa kwenye Biblia??

Na pia unazungumzia authenticity!! Ila nashangaa hujauliza kwanini kitabu cha waebrania ambacho mpaka leo mwandishi wake hajulikani ila bado kimewekwa kwa Bible??

Je kina ''authenticity'' pia??
 
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Messages
10,279
Likes
11,288
Points
280
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2013
10,279 11,288 280
Kinachoondoa uhalisia wa hiki kitabu unachokiita Yashari ni kwamba,,,hichi ndio kile original walichokizingatia Yoshua na Samuel???? Au kimeandikwa na Wataalam flani tu??? Kina tofauti gani na injili ya baraba,,au injili ya Eva,,au injili ya mariamu Magdalene??? Je waandishi wake sio watu wenye lengo linaloshabihiana?
Mkuu unaweza kuwa sahihi kuwa huenda Yashari hiki sio original lakini je original ni kipi?? Ni sawa na barua za paulo zimeandikwa nyingine miaka mingi baada ya paulo kufa na wanatheologia wanakiri kuna baadhi ya barua zake ziliongezwa maneno na wanafunzi wake lakini wakiwa inspired na misimamo ya paulo.... Sawa tu na song of Solomon kimeandikwa miaka zaidi ya 400 baada ya Suleiman kufariki same as Isaya na Jeremiah kiachiolojia sura kuanzia ya 50 imeandikwa miaka mia baadae sasa tukianza kuhoji credibility ya kwamba ni original ama lah kuna vitabu vya Biblia wwe unavisoma na unaviamini licha ya kuwa na changamoto hiyo hiyo unayoona Yashari inayo.

Hata utata wa muandishi wa yashari ni sawa tu na utata wa muandishi wa kitabu cha waebrania ambaye mpaka leo hafahamiki ila kitabu chake unakiamini mkuu na kina ongea nondo nyingi sana sasa je kwanini kuwepo na double standards kwa Yashari??

Mimi naona ifike wakati tusijifunge kwenye Biblia pekee maana Mungu ameongea na watu wengi nje ya Bible ndio maana hata Yuda aliquote book of enoch ilihali kanisa halikitambui kama ni kitabu chenye utakatifu.

Muhimu tu ni kuangalia content kama inamtiririko unaoeleweka mazuri unachukua utumbo unauacha sababu 90% ya Genesis Yashari inayakubali ila tu imeongeza in details taarifa baadhi ya maelezo ambayo hayajaongelewa kwa undani na Kitabu cha mwanzo mfano issue ya mnara wa babeli,maisha ya enock,Nimrod n.k yote yapo in details zaidi.
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
105,987
Likes
128,527
Points
280
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
105,987 128,527 280
Kinachoondoa uhalisia wa hiki kitabu unachokiita Yashari ni kwamba,,,hichi ndio kile original walichokizingatia Yoshua na Samuel???? Au kimeandikwa na Wataalam flani tu??? Kina tofauti gani na injili ya baraba,,au injili ya Eva,,au injili ya mariamu Magdalene??? Je waandishi wake sio watu wenye lengo linaloshabihiana?
Nakushauri kisome kina mengi ya kuelimika
 
awake up

awake up

Member
Joined
Sep 6, 2018
Messages
38
Likes
8
Points
15
awake up

awake up

Member
Joined Sep 6, 2018
38 8 15
huna mpya ww kujisaidia kupo kwingi kijana nanawa nijisaidie kwa kula sio ama
 
Forum statistics

Threads 1,262,487
Members 485,588
Posts 30,123,570