A bible is too wide,uelewa wako pia umefikia japo kuielewa,akili ya mungu si kama ya mwanadamu.
Ifike mahali tuache mahaba yasio na maana.... Sasa unaposema taarifa zote zimekamilika unaweza tusaidia Biblia imeandika wapi kifo cha Cain?? Pia nchi ya Nod ambapo Cain alioa walitokea wapi while Biblia inaeleza seth kazaliwa baadae kabisa baada ya kifo cha Abel??
Wanefili tunaambiwa walikufa kwenye gharika ila tunaona wanarudi baada ya gharika?? Walirudije?? Biblia imeandika??
Nuhu alilala uchi akaonwa na HAM ila laana akapewa Canaan unaweza tusaidia wapi Biblia imeandika chanzo cha Canaan kulaaniwa na sio Ham??
Issue ya mnara wa babeli pia bado ni fumbo kuwa walitaka kujenga mnara kufika mbinguni je unafahamu mnara ule ulienda wapi baada ya lugha kuvurugwa?? Mbona hadi leo hta msingi wake hauonekani?? Hapo utasema imekamilika taarifa zote??
Tuanzie hapo kwanza